Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Michael Jordan anaingiza dola milioni 100 kila mwaka, fahamu zinakotoka

Mchezaji wa zamani wa mpira wa kikapu, Michael Jordan aliingiza dola milioni 100 kutoka kwa Nike na washirika wengine mwaka jana kwa mujibu wa mtandao wa Forbes, kuliko mwanamichezo yeyote aliyestaafu. Pesa aliyoingiza mwaka jana, ni zaidi ya dola milioni 90 ya mshahara aliolipwa kwenye kipindi cha miaka 15 aliyochezea kwenye timu za Chicago Bulls […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAKAZI YA MICHAEL JACKSON ‘NEVERLAND’ YAINGIA RASMI SOKONI, YAUZWA KWA DOLA MILIONI 100

292899DB00000578-3101512-Everlasting_There_are_still_a_few_small_signs_that_the_property_-a-18_1432854494050Makazi maarufu ya marehemu Michael Jackson, yameingizwa sokoni kwa mara ya kwanza tangu kifo chake.  Nyumba hiyo ipo katika maeneo ya Santa Barbara, California nchini Marekani. Makazi hayo yanauzwa kwa dola milioni 100.292899E700000578-3101512-Not_the_same_Neverland_pictured_2001_now_known_as_Sycamore_Valle-a-25_1432854494339Makazi hayo yanayouzwa na kampuni ya Sotheby’s and Hilton & Hyland iliyolipa deni alilokuwa akidaiwa MJ na kuyachukua, yana ukubwa wa futi za mraba 12,000 na yamo katikati ya maziwa mawili huku nyumba ikiwa na vyumba 8.2928999A00000578-3101512-Mini_town_While_the_amusement_park_has_now_been_removed_there_ar-a-23_1432854494233Na sasa yamebadilishwa jina kutoka Neverland na kuwa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Aliyeiba dola Milioni 100 arejeshwa China

Shirika la habari la taifa la Uchina, linaarifu kuwa afisa wa zamani ambaye anashutumiwa kwa ufisadi mamilioni ya dola, amerejeshwa nyumbani

 

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA BARRICK YAILIPA SERIKALI DOLA MILIONI 100




Waziri wa Fedha na Mipango Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) wa pili kushoto, akipokea hundi kifani ya dola milioni 100 kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa Kampuni ya Barrick Bw. Hilaire Diarra (wa pili kushoto), Jijini Dodoma Tarehe 26 Mei, 2020, ikiwa ni sehemu ya malipo ya dola milioni 300 ambazo Kampuni hiyo ilikubali kuilipa Serikali kumaliza mzozo uliokuwepo kati ya Serikali na Kampuni hiyo hatua iliyosababisha pia kuanzishwa kwa Kampuni ya Ubia ya Madini ya Twiga kati ya Serikali na...

 

9 years ago

Bongo5

Michael Jackson aongoza orodha ya ‘Forbes World’s top-earning dead celebrity’ kwa dola M 115 mwaka huu

Kwa mujibu wa Forbes, marehemu Michael Jackson ndiye mtu maarufu (waliofariki) aliyeingiza pesa nyingi zaidi mwaka huu duniani, kwa kiasi cha dola milioni 115 ikiwa ni miaka sita toka mfalme huyo wa Pop duniani afariki dunia June 25, 2009. Huu ni mwaka wa tatu mfululizo MJ anatajwa kuongoza orodha hiyo ya Forbes. Mwaka jana aliingiza […]

 

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA BARRICK YAILIPA SERIKALI DOLA MILIONI 100, WAZIRI WA FEDHA AHUTUBIA HAFLA HIYO


Na Farida Ramadhani na Josephine Majura

KAMPUNI ya Barrick imeilipa Tanzania dola milioni 100, sawa na takriban sh. bilioni 250, ikiwa ni sehemu ya malipo ya dola milioni 300 ambazo Kampuni hiyo ya Madini ilikubali kulipa kama fidia ya kodi.

Mfano wa Hundi ya kiasi hicho cha fedha imekabidhiwa na Meneja Mkazi wa Kampuni ya Barrick, Bw. Hilaire Diarra kwa Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, kwa niaba ya Serikali, Jijini Dodoma leo Mei 26, 2020.

Akizungumza baada ya...

 

9 years ago

Michuzi

ZAIDI YA WATOTO MILIONI 3.1 WENYE UMRI CHINI YA MIAKA MITANO HUFARIKI DUNIA KILA MWAKA HUKU WENGINE MILIONI 161 KUPATA MATATIZO YA KUDUMAA MWILI

 Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Michael John akizungumza juu ya Upungufu wa vitamini na Baadhi ya Madini muhimu kama Vitamini A, folate, Madini chuma Zinki na madini joto ni chazo cha vifo kwa Watoto chini ya miaka Mitano na chanzo kikubwa cha maradhi mbalimbali kote Duniani, kulia ni Mkurungenzi Mtendaji wa Taasisi ya Global Alliance for Iproved Nutrition (GAIN) ,Marc van Amerngen katika mkutano uliofanyika  leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurungenzi Mtendaji wa...

 

10 years ago

Habarileo

Wasomi 100,000 kila mwaka wapaswa kujiajiri

BUNGE limeelezwa kuwa kila mwaka vijana 100,000 nchini wanaomaliza vyuo vikuu wanatakiwa kwani serikali na sekta binafsi ina uwezo wa kuajiri vijana 50,000 kati ya wanafunzi 150,000 wanaomaliza kila mwaka.

 

11 years ago

BBCSwahili

Watoto milioni 2 kuzaliwa kila mwaka China

Uchina yalegeza sera yake ya mtoto 1 kwa familia ili kukabiliana na tisho la kiuchumi la kupungukiwa na nguvu kazi za vijana.

 

10 years ago

Mtanzania

Wafanyakazi milioni 2.3 wafariki dunia kila mwaka

Dk. Makongoro MahangaNa Debora Sanja, Dodoma
WAFANYAKAZI milioni 2.3 duniani wanafariki dunia kila mwaka kutokana na ajali na magonjwa yatokanayo na kazi.
Kauli hiyo ilitolewa mjini Dodoma jana na Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga wakati akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Afya na Usalama Mahali pa Kazi Duniani.
Alisema takwimu hizo ambazo ni kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) zinaonyesha kwamba kila sekunde 15 mfanyakazi mmoja anafariki kutokana na ajali au magonjwa duniani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani