Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyakazi milioni 2.3 wafariki dunia kila mwaka

Dk. Makongoro MahangaNa Debora Sanja, Dodoma
WAFANYAKAZI milioni 2.3 duniani wanafariki dunia kila mwaka kutokana na ajali na magonjwa yatokanayo na kazi.
Kauli hiyo ilitolewa mjini Dodoma jana na Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga wakati akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Afya na Usalama Mahali pa Kazi Duniani.
Alisema takwimu hizo ambazo ni kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) zinaonyesha kwamba kila sekunde 15 mfanyakazi mmoja anafariki kutokana na ajali au magonjwa duniani...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

ZAIDI YA WATOTO MILIONI 3.1 WENYE UMRI CHINI YA MIAKA MITANO HUFARIKI DUNIA KILA MWAKA HUKU WENGINE MILIONI 161 KUPATA MATATIZO YA KUDUMAA MWILI

 Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Michael John akizungumza juu ya Upungufu wa vitamini na Baadhi ya Madini muhimu kama Vitamini A, folate, Madini chuma Zinki na madini joto ni chazo cha vifo kwa Watoto chini ya miaka Mitano na chanzo kikubwa cha maradhi mbalimbali kote Duniani, kulia ni Mkurungenzi Mtendaji wa Taasisi ya Global Alliance for Iproved Nutrition (GAIN) ,Marc van Amerngen katika mkutano uliofanyika  leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurungenzi Mtendaji wa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Watoto milioni 2 kuzaliwa kila mwaka China

Uchina yalegeza sera yake ya mtoto 1 kwa familia ili kukabiliana na tisho la kiuchumi la kupungukiwa na nguvu kazi za vijana.

 

10 years ago

Dewji Blog

PPF yaandalia futari wafanyakazi wake, ni utaratibu wa kila mwaka kuonyesha mshikamano

MKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio, (wapili kushoto), akichukua futari wakati alipowaandalia futari wafanyakazi wake kwenye hoteli ya City Garden jijini Dar es Salaam. PPF imekuwa na utaratibu kama huo wa kuwaandalia futari wadau wa Mfuko huo hali kadhalika wafanyakazi wake, kila mwaka ili kuonyesha mshikamano wa pamoja Mmoja wa wafanyakazi akityoa shukrani kwa niaba ya wwenzake baada ya futari hiyo. Erio, akizungumza mwishoni mwa hafla hiyo.

 

10 years ago

GPL

KIFUA KIKUU: UGONJWA UNAOUA ZAIDI YA WATU MILIONI 1 DUNIANI KILA MWAKA

Mgonjwa wa kifua kikuu akipatiwa matibabu. KWA Tanzania, watu 120,191 hukisiwa kuwa na ugonjwa wa kifua kikuu kila mwaka, hii ni kutokana na taarifa ya Shirika la USAID ya mwaka 2007 na vifo vinavyotokana na ugonjwa wa kifua kikuu ni 32,000 kila mwaka hapa nchini Tanzania. Takwimu za Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) zinaonyesha kuwa Tanzania ni ya 15 kati ya nchi 22 ambazo zimeathiriwa sana na ugonjwa huu na kwa mujibu wa...

 

10 years ago

Bongo5

Michael Jordan anaingiza dola milioni 100 kila mwaka, fahamu zinakotoka

Mchezaji wa zamani wa mpira wa kikapu, Michael Jordan aliingiza dola milioni 100 kutoka kwa Nike na washirika wengine mwaka jana kwa mujibu wa mtandao wa Forbes, kuliko mwanamichezo yeyote aliyestaafu. Pesa aliyoingiza mwaka jana, ni zaidi ya dola milioni 90 ya mshahara aliolipwa kwenye kipindi cha miaka 15 aliyochezea kwenye timu za Chicago Bulls […]

 

11 years ago

Dewji Blog

Wanawake 8,500 kufariki dunia kila mwaka kwa sababu ya ujauzito

DSC07909

Mkurugenzi wa shirika lisilo la kiserikali la Evidence for Action (E4A) Tanzania,Craig John Felar, akitoa mada yake juu ya kampeni ya ‘Muokoe Mama muokoe mtoto mchanga’ (Mama ye) kwenye semina iliyohudhuriwa na baadhi ya viongozi kutoka vilabu vya waandishi  habari mikoa mbalimbali nchini .Semina hiyo ya siku mbili iliyoandaliwa na UTPC,ilifanyika katika ukumbi wa mikutano wa Lion hotel jijini Dar.

DSC07908DSC07908

Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vilabu vya waandishi wa habari Tanzania ,wakifuatlia...

 

10 years ago

Raia Mwema

Magufuli: Laptop kila mwalimu, milioni 50/- kila kijiji

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeahidi kutoa kompyuta mpakato (laptop) kwa kila mwalimu hapa nchini

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Mwananchi

Mgombea CCM, mpigakura wafariki dunia dunia ghafla

Mikoani. Mgombea uenyekiti kupitia CCM Mtaa wa Swea, Kata ya Mkolani, Nyamagana, Mwanza, Pius Mihayo amefariki dunia ghafla akiwa mtaani kwake, muda mfupi baada ya kupiga kura.

 

11 years ago

Mwananchi

Tisa wafariki dunia, 10 wajeruhiwa

Watu tisa wamekufa na wengine 10 kujeruhiwa baada ya basi dogo la abiria aina ya Toyota Coaster kugonga lori la mizigo aina ya Fiat, Iveco, lililokuwa limeegeshwa pembeni mwa Barabara ya Mwanza - Musoma.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani