Wanawake 8,500 kufariki dunia kila mwaka kwa sababu ya ujauzito
Mkurugenzi wa shirika lisilo la kiserikali la Evidence for Action (E4A) Tanzania,Craig John Felar, akitoa mada yake juu ya kampeni ya ‘Muokoe Mama muokoe mtoto mchanga’ (Mama ye) kwenye semina iliyohudhuriwa na baadhi ya viongozi kutoka vilabu vya waandishi habari mikoa mbalimbali nchini .Semina hiyo ya siku mbili iliyoandaliwa na UTPC,ilifanyika katika ukumbi wa mikutano wa Lion hotel jijini Dar.
Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vilabu vya waandishi wa habari Tanzania ,wakifuatlia...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo21 Jun
Wanawake 8,000 hufa kwa ujauzito kila mwaka
LICHA ya mafanikio yaliyopatikana Tanzania, bado inakabiliwa na tatizo kubwa la vifo vya akinamama 8,000 kila mwaka kutokana na sababu zinazohusiana na ujauzito, vingi vikiwa vya vijijini.
Hayo yalibainishwa na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Kebwe Stephen Kebwe katika hotuba iliyosomwa kwa niaba yake na Mkuu wa Wilaya ya Nkasi , Iddy Kimanta.
Alisema hayo katika sherehe za makabidhiano ya vyumba vitano vya kisasa na vifaa vya upasuaji, zilizofanyika juzi kijijini Mwimbi...
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://4.bp.blogspot.com/-Sx3VoK6o0LI/VS4SV6wZv8I/AAAAAAAACFE/M7h1GCxNr38/s72-c/page%2B12%2B-13%2Bcopy.jpg)
11 years ago
KwanzaJamii25 Apr
Kansa inaua wanawake 250,000 kila mwaka
10 years ago
Mtanzania29 Apr
Wafanyakazi milioni 2.3 wafariki dunia kila mwaka
Na Debora Sanja, Dodoma
WAFANYAKAZI milioni 2.3 duniani wanafariki dunia kila mwaka kutokana na ajali na magonjwa yatokanayo na kazi.
Kauli hiyo ilitolewa mjini Dodoma jana na Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga wakati akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Afya na Usalama Mahali pa Kazi Duniani.
Alisema takwimu hizo ambazo ni kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) zinaonyesha kwamba kila sekunde 15 mfanyakazi mmoja anafariki kutokana na ajali au magonjwa duniani...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-uiquAjs2VZQ/XkV3mjLgZZI/AAAAAAALdS0/DpNjENDFG-gOnwj1-GcyoO9kSf1Mr-u4QCLcBGAsYHQ/s72-c/4-16.jpg)
TANZANIA KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE WA AFRIKA JULAI 31 KILA MWAKA
![](https://1.bp.blogspot.com/-uiquAjs2VZQ/XkV3mjLgZZI/AAAAAAALdS0/DpNjENDFG-gOnwj1-GcyoO9kSf1Mr-u4QCLcBGAsYHQ/s640/4-16.jpg)
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akiwa na mmoja wa Muasisi wa PAWO Bibi.Tecla Sumbo mara baada ya kufungua mkutano wa waasisi wa Umoja wa Jumuiya za Wanawake katika nchi huru za Afika (PAWO) tawi la Tanzania na Wizara uliolenga kutoa maoni yao katika uboreshaji wa Sera ya Maendeleo ya Wanawake na Jinsia uliofanyika leo jijini Dar Es Salaam.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/1-25.jpg)
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akizungumza wakati mkutano na waasisi...
10 years ago
MichuziNEWS ALERT: WACHIMBAJI WA DHAHABU ZAIDI YA 20 WADAIWA KUFARIKI DUNIA KWA KUFUKIWA KIFUSI HUKO KAHAMA
Kwa mujibu wa kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga, Justus Kamugisha amesema kuwa usiku wa kuamkia leo kuna wachimbaji ambao walivamia machimbo hayo ambayo yaliachwa kuchimbwa muda mrefu na ndipo wakaanza shughuli ya...