Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nywele ya Lincoln yauzwa kwa dola 25,000

Vitu vya aliyekuwa rais wa 16 wa Marekani Abraham Lincoln vimeuzwa katika mnada Marekani na kupata dola 800,000.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Sanamu ya paka yauzwa kwa dola 80,000

Sanamu moja ya paka wa Misri,ambayo nusra itupiliwe mbali kama taka,imeuzwa nchini Uingereza kwa takriban dola 80,000.

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Tiketi mechi ya Ujerumani, Ufaransa yauzwa dola 1,000

Tiketi ya pambano la Ujerumani na Ufaransa yafika dola 1,000 katika soko la ulanguzi wa tiketi.

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAZI YA MICHAEL JACKSON ‘NEVERLAND’ YAINGIA RASMI SOKONI, YAUZWA KWA DOLA MILIONI 100

292899DB00000578-3101512-Everlasting_There_are_still_a_few_small_signs_that_the_property_-a-18_1432854494050Makazi maarufu ya marehemu Michael Jackson, yameingizwa sokoni kwa mara ya kwanza tangu kifo chake.  Nyumba hiyo ipo katika maeneo ya Santa Barbara, California nchini Marekani. Makazi hayo yanauzwa kwa dola milioni 100.292899E700000578-3101512-Not_the_same_Neverland_pictured_2001_now_known_as_Sycamore_Valle-a-25_1432854494339Makazi hayo yanayouzwa na kampuni ya Sotheby’s and Hilton & Hyland iliyolipa deni alilokuwa akidaiwa MJ na kuyachukua, yana ukubwa wa futi za mraba 12,000 na yamo katikati ya maziwa mawili huku nyumba ikiwa na vyumba 8.2928999A00000578-3101512-Mini_town_While_the_amusement_park_has_now_been_removed_there_ar-a-23_1432854494233Na sasa yamebadilishwa jina kutoka Neverland na kuwa...

 

10 years ago

Habarileo

Ndoo ya maji Kimara yauzwa 1,000/-

WAKAZI wa Kimara jijini Dar es Salaam wanaendelea kununua ndoo ya majisafi kwa Sh 1,000 na maji hayo hayapatikani kwa urahisi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Barua ya Mao Zedong yauzwa $918,000

Barua iliyoandikwa na kiongozi wa chama cha Kikomunisti cha Uchina Mao Zedong 1937 imeuzwa £605,000 ($918,000) kwenye mnada.

 

10 years ago

Dewji Blog

Tigo yatoa dola 40,000 kwa miradi ya wajasiriliamali jamii

1

Mkurugenzi Mkuu  wa Tigo Bw. Diego Gutierrez akimkabidhi cheti cha ushiriki kwenye shindano la Tigo Digital Changemakers  kwa Severin Philemon wakati wa kutangaza washindi wa shindano hilo kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.

Tigo kwa kushirikiana na shirika lisilo la kiserikali Reach for Change leo imetangaza washindi wawili wengine wa wajasiriliamali jamii watakaodhaminiwa kiasi cha dola elfu 20,000 kila mmoja kwa ajili ya kuendesha miradi yao inayolenga kuinua hali ya maisha...

 

10 years ago

Mwananchi

Ikulu yakanusha Rais kulipwa Dola 16,000 kwa mwezi

>Siku moja baada ya tovuti ya Mwananchi kunukuu habari zilizoripotiwa na Mtandao wa African Review, kuhusu mishahara ya marais wa Afrika na kwingineko duniani, Ikulu imekanusha habari hizo ikisema si za kweli.

 

10 years ago

Michuzi

ACACIA KUKUSANYA DOLA 200,000 KWA AJILI YA UFADHILI WA ELIMU KWA WATOTO MASKINI, NI KUPITIA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO

 KAMPUNI ya ACACIA inayojishughulisha na uchimbaji na utafutaji madini, imezindua kampeni ya kukusanya fedha kupitia kupanda mlima Kilimanjaro, leo Jumatatu Juni 22, 2015, ambapo fedha hizo zitakwenda kusaidia sekta ya elimu kwenye maeneo yanayozunguka migodi mitatu inayomilikiwa na kampouni hiyo ya North Mara, Bulyanhulu na Buzwagi.

Akizungumza muda mfupi kabla ya kuanza kwa safari ya kupanda mlima Kilimanjaro kwenye lango la Machame,iliyo shirikisha watu 21, Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni...

 

10 years ago

Dewji Blog

KINUKAMORI waomba dola 30,000 kutengeneza ajira kwa watu 300

DSC_0218

Mkurugenzi Mtendaji wa EWP na Mkurugenzi wa Kinukamori Enterprises, Bw. Alpha Phares Moshi (wa pili kushoto) akimkaribisha Mratibu Mkazi  wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la maendeleo UNDP, Alvaro Rodriguez alipowasili kwenye Taasisi isiyo ya kiserikali inayo shughulika na uhifadhi wa mazingira eneo la Kinukamori, Marangu mkoani Kilimanjaro wakati wa ziara yake ya kukagua miradi mbalimbali inayofadhiliwa na UNDP huku akiwa amembatana na Mratibu wa Kitaifa miradi ya COMPACT...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani