Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BRAZIL 2014: Tiketi mechi ya Ujerumani, Ufaransa yauzwa dola 1,000

Tiketi ya pambano la Ujerumani na Ufaransa yafika dola 1,000 katika soko la ulanguzi wa tiketi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Sanamu ya paka yauzwa kwa dola 80,000

Sanamu moja ya paka wa Misri,ambayo nusra itupiliwe mbali kama taka,imeuzwa nchini Uingereza kwa takriban dola 80,000.

 

10 years ago

BBCSwahili

Nywele ya Lincoln yauzwa kwa dola 25,000

Vitu vya aliyekuwa rais wa 16 wa Marekani Abraham Lincoln vimeuzwa katika mnada Marekani na kupata dola 800,000.

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Jeshi la watu 10,000 laipokea Ujerumani ‘kibingwa’ leo

Zaidi ya watu 10,000 wamejitokeza katika uwanja wa ndege wa Berlin Tegel kuipokea timu yao ya taifa leo, kufuatia kutwaa kwake ubingwa wa Dunia kwa mara ya 4 mnamo Jumapili.

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Mechi Brazil, Argentina yasubiriwa kwa hamu

>Mechi inayosubiriwa kwa hamu zaidi na mashabiki wa soka hapa ni Brazil na Argentina kama zitafanikiwa kutinga fainali za Kombe la Dunia katika pambano litakachezwa Julai 13  kwenye Uwanja wa Maracana.

 

11 years ago

Mwananchi

Brazil 2014: Neymar, Oscar waipamba Brazil mechi ya ufunguzi

Mabao mawili ya Neymar na moja la Oscar yametosha kuwapa wenyeji wa Kombe la Dunia, Brazil ushindi mnono wa 3-1 dhidi ya Croatia, katika mchezo wa kufungua wa mashindano hayo jana.

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Ni Brazil na Ujerumani

>Wenyeji Brazil wamefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1, katika mchezo wa pili wa robo fainali jana mjini Fortaleza.

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Ufaransa yaichakaza Jamaica

Matuidi na Benzema walifunga tena katika kipindi cha pili, wakati Giroud na Antoine Griezmann wakiongeza ushindi huo kufikia mabao manane.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani