Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kutoka maktaba: Mzee Ruksa na kamati ya saidia taifa stars ishinde mwaka 1994 na wanahabari Ikulu

Mwaka 1994: Rais Ali Hassan Mwinyi akiwa na wajumbe wa kamati ya Saidia Taifa Stars ishinde Ikulu jijini Dar es salaam baada ya timu hiyo kunyakua ubingwa wa Chalenji. Kutoka kulia mstari wa mbele ni Ankal, Brigedia Moses Nnauye (RiP), Mwenyekiti wa FAT Alhaj Muhidin Ndolanga, Rais Mwinyi, Waziri wa Elimu na Utamaduni Profesa Philemon Sarungi, Mwenyekiti wa kamati hiyo na Mwenyekiti wa makampuni ya IPP Reginald Mengi, Mbunge wa Dodoma Kuwayawaya S. Kuwayawaya na Kamanda Richard Mwaikenda....

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KUTOKA MAKTABA: ANKAL NA WANAHABARI NGULI NCHINI

Ankal akiwa na sehemu ya wanahabari nguli nchini katika hafla ya michezo ya wanahabari katika viwanja wa Leaders Club jijini Dar es salaam. Kutoka kushoto ni Haji Sunday Manara, Angetile Osiah, Samson Mfalila, Ankal, Aboubakar Liongo, Edo Kumwembe na Rashidi Kejo

 

10 years ago

Michuzi

Kutoka maktaba: Ankal akiwa loliondo mwaka 1990

Hapa ni Loliondo Guest House kijijini Loliondo alimofikia Ankal wakati akifuatilia sakata la Loliondogate mwaka 1990.

 

10 years ago

Michuzi

kutoka maktaba: Basi la Mbeya-Masasi mwaka 1977

Basi lilikata mbuga likitokea Mbeya kuelekea Masasi. Wenye data watusaidie jina la basi hii iliyoletwa na mdau Joseph Mwaisango wa Mbeya Yetu

 

10 years ago

Michuzi

KUTOKA MAKTABA: JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI SEMINARI YA KATOKE (FOMU ONE) MWAKA 1975

John Pombe Joseph Magufuli alipokuwa kidato cha kwanza katika Seminari ya Katoke mwaka 1975.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani