Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUTOKA MAKTABA: ANKAL NA WANAHABARI NGULI NCHINI

Ankal akiwa na sehemu ya wanahabari nguli nchini katika hafla ya michezo ya wanahabari katika viwanja wa Leaders Club jijini Dar es salaam. Kutoka kushoto ni Haji Sunday Manara, Angetile Osiah, Samson Mfalila, Ankal, Aboubakar Liongo, Edo Kumwembe na Rashidi Kejo

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KUTOKA MAKTABA: ANKAL, LIONGO, NGAHYOMA NA RAZA

Mwaka 1997: Ankal (enzi hizo akiwa Daily News) na wenzie Aboubakar Liongo (enzi hizo akiwa RTD) Marehemu John Ngahyoma (akiwa The Express) na Mhe. Mohamed Raza, enzi hizo akiwa mfadhili wa michezo, alipowakaribisha nyumbani kwake mjini Zanzibar.

 

10 years ago

Michuzi

Kutoka maktaba: Ankal akiwa loliondo mwaka 1990

Hapa ni Loliondo Guest House kijijini Loliondo alimofikia Ankal wakati akifuatilia sakata la Loliondogate mwaka 1990.

 

11 years ago

Michuzi

Kutoka maktaba: Mzee Ruksa na kamati ya saidia taifa stars ishinde mwaka 1994 na wanahabari Ikulu

Mwaka 1994: Rais Ali Hassan Mwinyi akiwa na wajumbe wa kamati ya Saidia Taifa Stars ishinde Ikulu jijini Dar es salaam baada ya timu hiyo kunyakua ubingwa wa Chalenji. Kutoka kulia mstari wa mbele ni Ankal, Brigedia Moses Nnauye (RiP), Mwenyekiti wa FAT Alhaj Muhidin Ndolanga, Rais Mwinyi, Waziri wa Elimu na Utamaduni Profesa Philemon Sarungi, Mwenyekiti wa kamati hiyo na Mwenyekiti wa makampuni ya IPP Reginald Mengi, Mbunge wa Dodoma Kuwayawaya S. Kuwayawaya na Kamanda Richard Mwaikenda....

 

10 years ago

Michuzi

Kutoka Maktaba: Magufuli - (2005) tutasafiri kutoka Mtwara hadi Bukoba kwenye barabara ya lami

WANANCHI wataweza kusafiri kutoka Mtwara hadi Bukoba kwenye barabara ya lami,hayo yalisemwa Bungeni Mjini Dodoma wakati Waziri wa Ujenzi John Magufuli alipokua akijibu swali la Martha Mlata (Viti Maalum-CCM), swali lililohoji juu ya ahadi ya Serikali katika kipindi cha awamu ya nne na ahadi hiyo iliyosema wananchi wataweza kusafiri kwa taxi toka Mtwara hadi Bukoba.
Waziri Magufuli alisema kuwa nia ya msemo huo ni kuonesha kwamba wananchi wataweza kusafiri toka Mtwara hadi Bukoba kwa lami...

 

11 years ago

Michuzi

Mazishi ya Mwanahabari Nguli nchini, Mzee Nkwabi Ng’wanakilala

Mwanahabari wa Reuters nchini Bw. Fumbuka Ng’wanakilala (aliyebeba msalaba), pamoja na wadogo zake, Lugendo  (kushoto) na Manyanda (kulia), wakiwaongoza waombolezaji waliobeba jeneza lenye mwili wa Baba yao, Marehemu Mwl. Nkwabi Ng’wanakilala baada ya kuwasili nyumbani kwao Kibamba nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam Julai 01 mwaka huu, kwa ajili mazishi. 
Mwl. Ng’wanakilala, ambaye alikuwa Mhadhiri katika Idara ya Habari na Mawasiliano ya Umma ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT),...

 

9 years ago

Michuzi

KUTOKA MAKTABA YA GLOBU YA JAMII

 Abiria wa Treni ya Reli ya kati inayofanya safari zake kati ya Dar es salaam kwenda Kigoma, wakimuangalia mmoja wa abiria mwenzao akiwa nje ya Treni hiyo wakati ikiendelea na safari, kwa madai ya kumkwepa mkaguzi wa tiketi (TT) wa Treni hiyo.Hii ilikuwa ni mwanzoni mwa mwaka 2013.

 

10 years ago

Michuzi

MDAU NGULI CHIEF MKWAWA ALAMBA NONDOZZZ INGINE YA UZAMILI KUTOKA CHUO KIKUU HURIA

MDAU NGULI WA GLOBU YA JAMII MHANDISI MKWAWA AKA CHIEF AMELAMBA NONDOZZZ YA SHAHADA YA UZAMILI KTK UONGOZI WA BIASHARA-MBA (FINANCE) KUTOKA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA. HII NI SHAHADA YA PILI YA UZAMILI KUTUNUKIWA MWAKA HUU WA 2014, BAADA YA ILE YA MASTER OF ENGINEERING SCIENCE (METALLURGY) KUTOKA CHUO KIKUU CHA CURTIN (WASM) NCHINI AUSTRALIA MWEZI AUGUST 2014. Mhandisi Mkwawa akivalishwa shada la maua na mai waifu  wake mamaa Warda muda mfupi baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani