Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kutoka Maktaba: Magufuli - (2005) tutasafiri kutoka Mtwara hadi Bukoba kwenye barabara ya lami

WANANCHI wataweza kusafiri kutoka Mtwara hadi Bukoba kwenye barabara ya lami,hayo yalisemwa Bungeni Mjini Dodoma wakati Waziri wa Ujenzi John Magufuli alipokua akijibu swali la Martha Mlata (Viti Maalum-CCM), swali lililohoji juu ya ahadi ya Serikali katika kipindi cha awamu ya nne na ahadi hiyo iliyosema wananchi wataweza kusafiri kwa taxi toka Mtwara hadi Bukoba.
Waziri Magufuli alisema kuwa nia ya msemo huo ni kuonesha kwamba wananchi wataweza kusafiri toka Mtwara hadi Bukoba kwa lami...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

DK MAGUFULI AKISHINDA URAIS AAHIDI SERIKALI KUJENGA RELI KUTOKA MTWARA HADI MBAMBA BAY RUVUMA, KUPUNGUZA BEI YA VIFAA VYA UJENZI

 Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa kampeni wa CCM kumnadi mgombea urais Dk John Magufuli  wilayani Masasi leo. Dk Magufuli amesema kuwa CCM ikishinda Serikali  itajenga Reli kuanzia Mtwara hadi Mbamba Bay Ruvuma  Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi katika mkutano wa kampeni mjini Masasi, mkoani Mtwara leo. Mfuasi wa CCM  akiwa amejichora usoni huku kidevuni akiwa aqmeandika jina la Mgombea Urais wa Tanzania kuptia CCM, Dk Magufuli.
 Wananchi...

 

10 years ago

Michuzi

Kutoka Maktaba. DKT JOHN POMBE MAGUFULI ENZI ZA UJANA WAKE

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Maghufuli alipokuwa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)  Makutopora mwaka 1983 kwa mujibu wa sheria

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yasaini makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa wa kutoa maji kutoka mto Ruvuma hadi Mtwara

01

Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Mbogo Futakamba akiwa na Rais wa Kampuni ya China Railway International Group Co. Ltd Dkt. Lu Bo wakisaini makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa kutoa maji kutoka mto Ruvuma hadi Mtwara. Makubaliano hayo yalifanyika Beijing, China tarehe 10 Januari 2015. nyuma ya Katibu Mkuu (aliyesimama) ni Waziri wa Maji Mheshimiwa Prof. Jumanne Abdallah Maghembe (Mb).

03

Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Mbogo Futakamba akipeana mikono na Rais wa Kampuni ya China...

 

10 years ago

Michuzi

KUTOKA MAKTABA: JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI SEMINARI YA KATOKE (FOMU ONE) MWAKA 1975

John Pombe Joseph Magufuli alipokuwa kidato cha kwanza katika Seminari ya Katoke mwaka 1975.

 

10 years ago

Habarileo

‘Barabara ya lami ya Dodoma hadi Iringa itakuza uchumi’

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete amesema kufunguka kwa barabara kutoka Dodoma hadi Iringa, kutakuza shughuli za kiuchumi na kupunguza umasikini kutokana na barabara hiyo kuwa sehemu ya barabara kuu inayoanzia Cape Town nchini Afrika Kusini kupitia Tanzania hadi Cairo, Misri, maarufu kama The Great North Road.

 

10 years ago

Michuzi

KUTOKA MAKTABA: DKT.JOHN J.P MAGUFULI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM 1985/1986

Kutoka Kushoto: Dkt.Abel Minani, Dkt.John P.J Magufuli na Dkt.John Kyaruzi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam muhula wa mwaka 1985/1986.

 

9 years ago

Michuzi

Kutoka Maktaba: Dkt John Pombe Magufuli akiwa masomoni Chuo Kikuu cha Dar es salaam

Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt John Pombe Magufuli (aliyechuchumaa) akiwa kwenye maabara ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam wakati wakati akiwa mwanafunzi  mwaka 1985. Dkt Magufuli alisomea Kemia, Hisabati na Elimu. Kupata wasifu wake zaidi BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani