Tazara sasa ‘mahututi’ yaomba kusaidiwa
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara), Ronald Phiri amesema shirika hilo linaweza kufa iwapo wabia wake (Tanzania na Zambia), hawatachukua hatua za dharura ikiwamo kuongeza mitaji ya kuchochea kasi na ufanisi katika uzalishaji.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo30 Dec
Wenye ulemavu waomba kusaidiwa
HALMASHAURI ya Jiji la Tanga imeombwa kuangalia uwezekano wa kutenga fedha kwa ajili ya kusaidia manunuzi ya vifaa visaidizi kwa ajili ya watu wenye ulemavu.
11 years ago
Habarileo17 May
Wachimbaji wadogo kuendelea kusaidiwa
SERIKALI imesema itaendelea na juhudi ya kuwasaidia wachimbaji madini wadogo nchini ili waweze kufikia uchimbaji wenye tija.
11 years ago
Mwananchi04 Jan
Uchumi mdogo watakiwa kusaidiwa
11 years ago
BBCSwahili01 May
Meya wa Toronto anataka kusaidiwa
10 years ago
BBCSwahili06 Jan
Mbakaji ataka kusaidiwa kufa
11 years ago
BBCSwahili04 Feb
Wazee maskini kusaidiwa Kenya
11 years ago
Habarileo05 Mar
Maelfu ya watoto, wanawake kusaidiwa Lindi
SHIRIKA lisilo la kiserikali la Save the Children, limesema linatarajia kuwasaidia watoto 14,000 na wanawake 32,000 katika vijiji 100.
10 years ago
GPLSHULE MBALIMBALI DAR KUSAIDIWA NA TAASISI YA SVF
9 years ago
Mzalendo Zanzibar03 Sep
‘’Nassra mtoto aliekatisha ndoto za kusoma anaehitaji kusaidiwa’’
Ni Nassra Salum Khalid mkaazi wa Kilima hewa wilaya ya magharib Unguja ni mwanafunzi aliekatisha masomo yake ya darasa la saba siku chache kabla ya kukaribia kufanya mtihani wa Taifa kuingia kidato cha kwanza. Nassra ni […]
The post ‘’Nassra mtoto aliekatisha ndoto za kusoma anaehitaji kusaidiwa’’ appeared first on Mzalendo.net.