Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbakaji ataka kusaidiwa kufa

Wizara ya sheria nchini Ubelgiji, imesema kuwa mwanamume aliyepatikana na hatia ya mauaji na ubakaji sasa hatasaidiwa katika azma yake ya kutaka kufariki kama alivyokuwa ameomba.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KINANA ATINGA BUMBULI, ANG'AKA KIWANDA CHA CHAI KUFA MPONDE, ATAKA VIONGOZI WALIOHUSIKA WAWAJIBISHWE.













Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi katika kata ya Mponde, akiwa katika ziara ya kukagua na kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia ya kuzitatua, katika jimbo la Bumbuli, wilayani Lushoto mkoani Tanga,  Septemba 29, 2014.      Akizungumza na mamia ya wananchi waliofurika kwenye viwanja vya Kijiji cha Mponde, Kinana ameitaka serikali kuwachukulia hatua za kisheria viongozi wote waliohusika kwa namna moja au nyingine...

 

10 years ago

Mwananchi

Mtoto adai mke wa ‘mbakaji’ alificha siri

Mtoto wa kike wa miaka 13 aliyenajisiwa na mwajiri wake, ameeleza kuwa alimtaarifu mke wa mtuhumiwa kuhusu vitendo hivyo, lakini wawili wakasameheana na kumtaka asiwaambie watu.

 

11 years ago

Mwananchi

Uchumi mdogo watakiwa kusaidiwa

Serikali imeshauriwa kutumia nguvu zaidi kuwekeza katika uchumi mdogo, ambao ndiyo unashikiliwa na kundi kubwa la Watanzania.

 

11 years ago

BBCSwahili

Meya wa Toronto anataka kusaidiwa

Wakili wa meya huyo, amesema Bwana Ford amekiri kuwa na tatizo la utumizi mbaya wa madawa ya kulevya na kwamba angetaka kusaidiwa.

 

11 years ago

Habarileo

Wachimbaji wadogo kuendelea kusaidiwa

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Stephen MaseleSERIKALI imesema itaendelea na juhudi ya kuwasaidia wachimbaji madini wadogo nchini ili waweze kufikia uchimbaji wenye tija.

 

10 years ago

Habarileo

Wenye ulemavu waomba kusaidiwa

HALMASHAURI ya Jiji la Tanga imeombwa kuangalia uwezekano wa kutenga fedha kwa ajili ya kusaidia manunuzi ya vifaa visaidizi kwa ajili ya watu wenye ulemavu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wazee maskini kusaidiwa Kenya

Serikali itawapatia wazee masikini dola 24 kila mmoja kwa mwezi katika juhudi za kupunguza umasikini nchini

 

11 years ago

Mwananchi

Tazara sasa ‘mahututi’ yaomba kusaidiwa

Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara), Ronald Phiri amesema shirika hilo linaweza kufa iwapo wabia wake (Tanzania na Zambia), hawatachukua hatua za dharura ikiwamo kuongeza mitaji ya kuchochea kasi na ufanisi katika uzalishaji.

 

11 years ago

Habarileo

Maelfu ya watoto, wanawake kusaidiwa Lindi

SHIRIKA lisilo la kiserikali la Save the Children, limesema linatarajia kuwasaidia watoto 14,000 na wanawake 32,000 katika vijiji 100.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani