LVG; Naweza kuondoka mwenyewe Man United
Kocha wa Manchester United Louis van Gaal amesema kuwa anaweza "kujiuzulu mwenyewe" baada ya Stoke City kuwapiga magoli 2-0
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo25 Dec
Wachezaji watano ambao kama Jose Mourinho atakuwa kocha wa Man United watapenda kuondoka …
Headlines za Jose Mourinho kuhusishwa kukaribia kujiunga na klabu ya Manchester United bado zinazidi kushika kasi sehemu mbalimblia, kwa wapenzi na mashabiki wa soka duniani kote kwa sasa vijiwe vyao mara nyingi mada kuu ni Louis van Gaal na Jose Mourinho. December 25 Mtu wangu wa nguvu nimekutana na list kutoka sokka.com ya wachezaji watano wa […]
The post Wachezaji watano ambao kama Jose Mourinho atakuwa kocha wa Man United watapenda kuondoka … appeared first on...
10 years ago
Mtanzania26 Mar
Falcao kuondoka Manchester United
MANCHESTER, ENGLAND
MSHAMBULIAJI wa timu ya Manchester United raia wa Colombia, Radamel Falcao, amesema mwisho wa msimu ataondoka katika klabu hiyo na kutafuta sehemu ambayo ataweza kupata nafasi ya kucheza.
Mchezaji huyo ambaye alijiunga na klabu hiyo kwa mkopo akitokea klabu ya Monaco, bado hajaonesha uwezo wake chini ya kocha, Louis van Gaal, ambapo mpaka sasa amefanikiwa kufunga mabao manne msimu huu katika ligi.
Falcao amekuwa akitokea benchi tangu Februari katika mchezo dhidi ya...
10 years ago
Africanjam.Com![](http://2.bp.blogspot.com/-URh96cTKLAQ/VXP-0sR7BPI/AAAAAAAAB8o/DHtA8nO0Qyo/s72-c/Di.jpg)
MSIMAMO WA DI MARIA, KUBAKI AU KUONDOKA MANCHESTER UNITED..
![](http://2.bp.blogspot.com/-URh96cTKLAQ/VXP-0sR7BPI/AAAAAAAAB8o/DHtA8nO0Qyo/s400/Di.jpg)
Di Maria amekuwa kwenye wakati mgumu katika msimu wake wa kwanza baada ya kuonekana amecheza chini ya kiwango katika msimu ambao United imemaliza kwenye nafasi ya nne na kufanikiwa kufuzu michuano ya ligi ya mabingwa ambayo...
10 years ago
BBCSwahili24 Jul
Dzeko kuondoka Man City
9 years ago
BBCSwahili29 Oct
Liverpool,Man City zashinda Man United nje
9 years ago
TheCitizen28 Sep
Man City slip allows Man United to claim summit
10 years ago
BBCSwahili03 Feb
FA: Man United kuivaa Cambridge United
9 years ago
BBCSwahili16 Sep
UEFA : Man United, Man City zachapwa