Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampeni ya "Najiamini Naweza" Ya Mitandao Ya Jamii

Napenda kukutambulisha juhudi yetu mpya inayoitwa “Najiamini Naweza” - ambayo ni matokeo ya ushirikiano kati ya Maanisha! Limited (http://www.maanisha.co.tz/) na Hivos Twaweza (http://www.twaweza.org/).  
Kampeni hii imelenga kuonyesha harakati za kila siku za maisha ya Watanzania.  Kampeni inahamasisha wananchi kutambua uwezo na wajibu walio nao katika kutafuta suluhu za kero/changamoto wanazokumbana nazo. Tunafahamu kwamba mabadiliko huanza na mtu mmoja na pia jinsi huyo mmoja anavyoweza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Jamii yashauriwa kuzingatia matumizi salama ya mitandao

yusuphNA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM

WATAALAMU wa mitandao wametoa wito kwa jamii juu ya matumizi salama ya mitandao ili kupunguza uhalifu katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.

Wakizungumza na MTANZANIA kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa mawasiliano, mtaalamu wa usalama katika mitandao na uchunguzi wa makosa ya digitali, Yusuph Kileo, alisema matumizi mabaya ya mitandao yasipodhibitiwa yanaweza kuchangia kuyumba kwa...

 

11 years ago

Michuzi

Mjadala kuhusu Mitandao ya kijamii kutoka Jamii Production

Karibu katika kipindi hiki cha kwanza cha moja kwa moja (Live) kilichorushwa toka studio zetu za Washington DC Katika kipindi hiki, mjadala ulikuwa juu ya MITANDAO YA KIJAMII. Washiriki walikuwa Prof Nicholas Boaz. Mwalimu wa Mawasiliano kutoka Chuo kikuu cha Maryland.
Mzee Emmanuel Muganda. Mtangazaji mkongwe aliyefanya kazi zaidi ya miaka 30 katika Idhaa za Sauti ya Amerika (VOA) na pia Denzel Musumba. Mmiliki wa Border Media Group ambaye kwa miaka mingi amekuwa akitangaza kupitia ...

 

9 years ago

Mwananchi

Kampeni zatawala mitandao ya kijamii

Wakati kampeni za Uchaguzi Mkuu zikipamba moto majukwaani, matumizi ya mitandao ya kijamii imeshika kasi kwa makundi na watu binafsi kuitumia kuwanadi wagombea wao.

 

10 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Dewji Blog

Kampeni ya 2 Get Noted kujumuisha simu, mitandao ya kijamii na matangazo ya nje

samsung logo

Kwa kawaida matangazo ya nje vya habari huwa na muingiliano wenye kushika hatamu, kuunganisha, matokeo mazuri na ushawishi mkubwa. Hali kadhalika, matangazo ya nje yanapojumuishwa na teknolijia ya kidigitali, mitandao ya kijamii na simu za kiganjani hufanikisha wepesi wa maudhui kufikia wahusika wanapokuwa mbali na makazi yao kwa kuwa njia nyingine sio mbadala kufika huko.  Samsung Electronics Tanzania ikishirikiana na Continental Outdoor Media Ltd wameanzisha kampeni madhubuti inayohusisha...

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Nandy — Najiamini

Video mpya kutoka kwa mwanadada Nandy wimbo unaitwa “Najiamini” video imetaalishwa na kampuni ya Kokwa Production

 

10 years ago

Tanzania Daima

NHIF kuendesha kampeni jamii kujiunga CHF

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unatarajia kuendesha kampeni ya siku 60 nchini kuhamasisha jamii kujiunga na huduma za mfuko wa Afya ya Jamii (CHF/Tika). Kampeni hiyo ambayo...

 

11 years ago

Michuzi

CHADEMA WAENDELEA NA KAMPENI KALENGA,WATEMBELEA JAMII YA WAMASAI.

 Meneja Kampeni wa Chama cha Deokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga, Alphonse Mawazo, akicheza ngoma ya jamii ya kimasai baada ya kufanya kampeni ya nyumba kwa nyumba kumnadi mgombea ubunge wa chama hicho, Grace Tendega Mvanda.  Mgombea Ubunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika uchaguzi mdogo Jimbo la Kalenga, Grace Tendega Mvanda, akizungumza kuomba kura wakati chama hicho kilipofanya kampeni ya nyumba kwa nyumba na mtu kwa mtu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani