CHADEMA WAENDELEA NA KAMPENI KALENGA,WATEMBELEA JAMII YA WAMASAI.
Meneja Kampeni wa Chama cha Deokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga, Alphonse Mawazo, akicheza ngoma ya jamii ya kimasai baada ya kufanya kampeni ya nyumba kwa nyumba kumnadi mgombea ubunge wa chama hicho, Grace Tendega Mvanda. Mgombea Ubunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika uchaguzi mdogo Jimbo la Kalenga, Grace Tendega Mvanda, akizungumza kuomba kura wakati chama hicho kilipofanya kampeni ya nyumba kwa nyumba na mtu kwa mtu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziKAMPENI ZA CCM KALENGA ZATINGA KIJIJI ALICHOZALIWA MGOMBEA WA CHADEMA, MWENYEKITI WA CHADEMA NA WANACHAMA 50 WATIMKIA CCM
11 years ago
GPLCHADEMA KATIKA KAMPENI ZA UBUNGE JIMBO LA KALENGA
9 years ago
Dewji Blog26 Nov
Makundi ya jamii Asilia ya Wahadzabe, Wabarabaig,Wamasai waiomba Serikali ya Tanzania kuwatambua kama jamii nyingine!
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu, Mh. Idd Ramadhan Mapuri (katikati) akizindua taarifa ya Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu kuhusu utafiti wa Hali ya Haki za watu wenye kuishi maisha asilia Tanzania. kushoto kwake ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bi. Mary Massay na (kulia) ni mmoja wa wajumbe walioshiriki kuandaa ripoti hiyo, kutoka nchini Kenya katika taasisi ya ACHPR, Dk. Naomi Kipuri. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog).
Na...
9 years ago
Dewji Blog27 Nov
Makundi ya jamii asilia ya Wahadzabe, Wabarabaig, Wamasai waiomba Serikali ya Tanzania kuwatambua kama jamii nyingine!
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu, Mh. Idd Ramadhan Mapuri (katikati) akizindua taarifa ya Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu kuhusu utafiti wa Hali ya Haki za watu wenye kuishi maisha asilia Tanzania. kushoto kwake ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bi. Mary Massay na (kulia) ni mmoja wa wajumbe walioshiriki kuandaa ripoti hiyo, kutoka nchini Kenya katika taasisi ya ACHPR, Dk. Naomi Kipuri.(Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog).
Na...
11 years ago
Michuzi23 Feb
CHADEMA WAZINDUA RASMI KAMPENI ZA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KALENGA
Viongozi na wanachama wa CHADEMA wakielekea kwenye makumbusho ya Chifu mkwawa kabla ya kuanza kampeni hizo Hapa wakitoka kwenye Makumbusho ya Chifu Mkwawa huku hali ya hewa ikiwa ni ya ubishi kutokana na mvua kubwa kunyesha Mgombea wa Ubunge kupitia chama cha CHADEMA akinadiwa na Katibu mkuu wa chama hicho Dr. W. Slaa wakati wa kampeni hizo zilizoanza hii leo katika jimbo la Kalenga.
11 years ago
MichuziCHADEMA YAENDELEA NA KAMPENI ZAKE ZA UCHAGUZI JIMBO LA KALENGA MKOANI IRINGA
Meneja wa Kampeni za mgombea ubunge kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Alphonce Mawazo, akimwelezea mtoto Zakina Miwela, anayesoma darasa la pili katika Shule ya Msingi Lumuli, ambaye ni mtoto wa kiongozi wa CCM...
11 years ago
MichuziKAMPENI UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA,CCM YAZIDI KUIVURUGA CHADEMA,YAMNG`OA MWENYEKITI WAKE.
10 years ago
MichuziMh. Nyarandu azungumza na wanahabari kuhusu uvumi wa kuhamishwa kwa jamii ya wamasai katika hifadhi ya ngorongoro
11 years ago
GPLUCHAGUZI JIMBO LA KALENGA WAENDELEA KWA AMANI