Waliowaibua Makongorosi, Mwaitege waachia albamu
WAZALISHAJI muziki waliorekodi albamu za kwanza za Kwaya ya Makongorosi na Bony Mwaitege, wameungana na kuingia kazini wenyewe na kufyatua albamu yao inayokwenda kwa jina la ‘Siku za Mwisho’. Akizungumza...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi24 Jun
MAASKOFU WABARIKI UZINDUZI WA ALBAMU YA BONNY MWAITEGE
VIONGOZI wa dini wakiwemo Maaskofu na Wachungaji wa Makanisa mbalimbali hapa nchini wamebariki uzinduzi wa albamu tatu za mwimbaji mahiri wa muziki wa Injili hapa nchini Bonny Mwaitege, unaotarajia kufanyika Agosti 2 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama sababu za viongozi hao wa dini kutoa baraka kwa albamu hizo ni kutokana na umahiri wa muimbaji huyo.
Msama alisema amepokea baraka hizo kutoka kwa viongozi...

MichuziBONNY MWAITEGE KUZINDUA ALBAMU TATU KWA MPIGO AGOSTI 2 JIJINI DAR
MKURUGENZI wa Msama Promotions, Alex Msama amewaita Maaskofu na viongozi wengine wa dini katika uzinduzi wa albamu tatu za mwimbaji nguli Bonny Mwaitege zinazotarajia kuzinduliwa Agosti 2 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Msama ambaye ni mdhamini wa uzinduzi huo, Maaskofu watafikisha ujumbe wa neno la Mungu kwa karibu zaidi baada ya waimbaji kumaliza kazi yao jukwaani.
Msama alisema uzinduzi huo unatarajia kusindikizwa na waimbaji mbalimbali wa...

VijimamboUZINDUZI WA ALBAMU TATU ZA MWAITEGE NI KESHO UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE, WAIMBAJI WATAKAO MSINDIKIZA WATAMBULISHWA
Boniface Mwaitege, atakaye zindua albamu zake tatu hapo kesho. Faustine Munishi, mmoja wa waimbaji wa injili atakayetoa burudani.Upendo Kilahiro, atatumbuiza.
Jesca Maguba (BN), atatumbiza
Atosha Kissava, atatumbuiza. Mwimbaji wa nyimbo za injili, Boniface Mwaitege (katikati), akiimbaji sanjari na waimbaji wenzake wakati wakitambulishwa kwa waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi. Waimbaji hao kesho watatoa burudani wakati wakimsindikiza mwimbaji mwenzao Boniface Mwaitege katika...

Michuzi03 Aug
MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI BONNE MWAITEGE AZINDUA ALBAMU ZAKE TATU KWA MPIGO JIJINI DAR
Askofu na Dokta Mwakibolwa wa EAGT pamoja na maaskofu wenzake wakiombea albam hizo kabla ya kuzizindua rasmi kushoto ni Alex Msama Mkurugenzi wa Kamuni ya Msama Promotion.Askofu na Dokta Mwakibolwa wa EAGT akizindua rasmi albam hizo kushoto Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama.Maaskofu na wachungaji wakiwa wameshikilia albam zao mara baada ya kukabidhiwa na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion.
Baadhi ya maaskofu na wachungaji waliohudhuria katika uzinduzi huo...
10 years ago
BBCSwahili16 Oct
IS waachia maeneo muhimu Kobane
Wapiganaji wa Islamic State waachia baadhi ya maeneo muhimu katika mji wa Kobane nchini Syria.
10 years ago
Mwananchi12 Aug
Wenyeviti watatu CCM waachia ngazi
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (UVCCM), Manispaa ya Bukoba, Chifu Karumuna amebwaga manyanga na kujiunga na Chadema.
10 years ago
Habarileo22 Jan
Chenge na Ngeleja waachia vyeo bungeni
WENYEVITI wa Kamati za Kudumu za Bunge, waliopendekezwa kuwajibishwa na Bunge hilo katika sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow, wamejiuzulu nyadhifa zao.
11 years ago
Michuzi24 Jul
SKYLIGHT BAND WAACHIA KIBAO KIPYA "PASUA TWENDE"
Bendi Mahiri na Machachari Jijini Dar Skylight Band wametoa wimbo wao wa Tano ikiwa ni muendelezo wa kutoa nyimbo tofauti tofauti kupitia Studio yao ya kisasa ya Skylight Production.Akiongea na Mtandao huu Meneja wa Band hiyo Aneth Kushaba AK47 amesema wimbo huo unaitwa “Pasua Twende” ambo umetungwa na Mkurugenzi Mkuu wa bendi hiyo Dk. Sebastian Ndege akishirikiana na wanamuziki wa Bendi hiyo.Aneth akaongezea kwamba wimbo huo ni wa tano kutolewa katika mtiririko wa nyimbo zao zilizokwisha...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania