Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwigulu Nchemba mgeni rasmi Tamasha la Upendo wa Mama Dar

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akizungumza. Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akizungumza.
 Na Mwandishi Wetu NAIBU Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba anatarajiwa kuongoza Tamasha Maalumu la 'Upendo wa Mama' linalotarajiwa kufanyika katika Kanisa la Rutheran Mabibo Extenal jijini Dar es Salaam na kushirikisha waimbaji wengi kutoka ndani na nje ya Tanzania. Akizungumzia tamasha hilo leo jijini Dar es Salaam, Rais wa taasisi ya Upendo kwa Mama Foundation yenye makao makuu yake mkoani Arusha, Injinia Carlos Mkundi alisema Naibu...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Mama Salma Kikwete mgeni rasmi kwenye tamasha la kwanza la vitabu vya hadithi kwa watoto wa shule za msingi

DSC_0481

Baadhi ya watoto wa shule za msingi jijini Dar wakifanya mazoezi ya maigizo kwa ajili ya tamasha la kesho kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa.

DSC_0533

Na Mwandishi wetu

WANAFUNZI wa shule za Msingi nchini, wameshauriwa kuwa na mazoea ya kusoma vitabu kwa lengo la kuwa wagunduzi wa vitu mbalimbali.

Akizungumza  jijini Dar es Salaam,Mkurugenzi Mtendaji wa  Taasisi ya Soma, Demere Kitunga wakati wa maandalizi ya tamasha la kwanza la vitabu vya hadithi kwa watoto wa Shule za msingi.

Kitunga amesema...

 

11 years ago

GPL

MAMA SALMA KIKWETE MGENI RASMI KWENYE TAMASHA LA KWANZA LA VITABU VYA HADITHI KWA WATOTO WA SHULE ZA MSINGI‏

Baadhi ya watoto wa shule za msingi jijini Dar wakifanya mazoezi ya maigizo kwa ajili ya tamasha la kesho kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa. Mmoja wa watoto akionyesha kipaji chake wakati wa mazoezi kwa vitendo kupitia hadithi mbalimbali walizosoma kutoka kwenye vitabu. Na Mwandishi wetu WANAFUNZI wa shule za Msingi nchini, wameshauriwa kuwa na… ...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE MGENI RASMI KILELE CHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MKOANI DAR

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokewa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Raymond Mushi wakati akiwasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja katika kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani mkoani Dar esb Salaam terehe 8.3.2015.Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na mamia ya akina mama kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani mkoani Dar es Salaam tarehe 8.3.2015.Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea zawadi...

 

10 years ago

Michuzi

AKINAMAMA ZAIDI YA 50 KUFAIDIKA NA TAMASHA LA UPENDO KWA MAMA.

Ndani ya mwezi ujao wa Kumi na Moja (November) Tarehe 2 itakuwa ni siku yenye Neema kwani Arusha Kutashushwa Baraka ya Kumthamini na kumuonyesha Upendo Mama Wa Kitanzania na Duniani Kote.
Hadi sasa Maandalizi ya Tamasha la Upendo kwa Mama Yamekamilika ambapo Tarehe 2 November 2014 Ndani ya Viwanja vya Sheikh Amri Abeid Kutafanyika tamasha hilo lililobarikiwa jina la UPENDO KWA MAMA ambapo Tamasha hilo litaongozwa na waimbaji wa Nyimbo za Injili wakubwa kutoka humu Nchini na Nchi Jirani ya...

 

10 years ago

Michuzi

Mama Tunu Pinda Mgeni rasmi katika Mkutano wa akina mama wa Kitanzania waishio Uingereza

Mama Tunu Pinda alikuwa Mgeni rasmi katika Mkutano cha akina mama wa Kitanzania waishio Uingereza , Kilichoandaliwa na Kikundi cha Umoja wa Wanawake kiitwacho Tanzania Women Association UK (TAWA UK).
Mama Tunu Pinda alihudhuria Mkutano huo kwa mualiko wa mwenyeji wake Mrs Joyce Kallaghe Mke wa Balozi wa Tanzania Uk, Peter Kallaghe.
Mtoa mada aliyeongozana na Mama Tunu , alikuwa ni Mama Anna Matinde , mwanamke Mjasiriamali mahiri na aliyebobea ambaye ana kofia mbalimbali za Uwakilishi wa...

 

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA UPENDO WA MAMA KUFANYIKA JIJINI ARUSHA TAREHE 2 NOVEMBA 2014

SAM_0646Engineer Carlos Mkindi ambaye ni mkurugenzi wa mkundi production akiongea na vyombo vya habari kuhusiana na Tamasha kubwa la upendo kwa mama linalotarajiwa kufanyika jijini Arusha katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid tarehe 02-11-2014SAM_0669Engineer Carlos Mkindi ambaye ni mkurugenzi wa mkundi production akiongea na wanahabari kuhusiana na Tamasha la Upendo kwa mama ambalo linalenga kutoa mitaji kwa zaidi ya akina mama 50 wajasiriamali ili kuwawezesha kujiajiri pamoja na kuwaombea na...

 

9 years ago

Habarileo

JK mgeni rasmi Tamasha la Amani

RAIS Jakaya Kikwete amekubali kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Kuombea Amani nchini litakalofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Jumapili wiki hii. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama, Rais Kikwete amekubali kuwa mgeni rasmi siku hiyo katika tamasha la kuombea amani Tanzania kuelekea katika Uchaguzi Mkuu mwezi ujao.

 

11 years ago

GPL

MAMA SHUJAA WA CHAKULA WAINGIA RASMI KIJIJI CHA MAISHA PLUS, PROFESA ANNA TIBAIJUKA MGENI RASMI KATIKA SHEREHE HIZO

Profesa Anna Tibaijuka Waziri wa Nyumba Ardhi na  maendeleo ya Makazi wa pili kutoka kulia pamoja na Babu wa Kijiji cha Maisha Plus akiwasalimia akina mama Shujaa wa Chakula ambao wameingia Rasmi Kijiji cha Maisha Plus Jana usiku. Akina Mama Shujaa wa Chakula Wakiwa wanamuimbia wimbo maalum Profesa Anna Tibaijuka Waziri wa Nyumba Ardhi na  maendeleo ya Makazi mara baada ya kuwasili Kijijini… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani