UPENDO NKONE ANUSURIKA KULAANIWA
Makala: Gabriel Ng’osha UKISIKILIZA wimbo wake wa Hapa Nilipo, Usinipite Bwana, Usifurahi Juu Yangu na Upendo wa Yesu, hakika utagundua kwamba kuna kitu Mungu amekiweka katika ubongo wa mwimba wa nyimbo za Injili mahiri nchini, Upendo Nkone. Mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili nchini, Upendo Nkone. Ana sauti nzuri, nyimbo zake zinagusa wengi kutokana na ujumbe mzito ambao Mungu amemtumia ahubiri Injili kwa watu...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo29 Aug
Upendo Nkone kuombea amani
MWIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili anayetamba katika muziki huo, Upendo Nkone amekubali kushiriki katika Tamasha la Kuombea Amani katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25, mwaka huu.
10 years ago
MichuziUpendo Nkone kumsindikiza Bonny Mwaitege
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama Nkone amekuwa wa kwanza na ameonesha nia ya kumsindikiza Mwaitege kwa sababu ya ubora wa uzinduzi huo. “Uzinduzi wa Mwaitege utakuwa ni wa aina yake kwa sababu maandalizi yake kwa yamefanywa kwa ustadi mkubwa hasa...
10 years ago
Mtanzania21 May
Upendo Nkone: Umaarufu ni shida, mateso
NA RHOBI CHACHA
MWIMBAJI mahiri wa nyimbo za injili, Upendo Nkone, amesema umaarufu kwa wasanii ni mateso kwa kuwa humjengea woga msanii kufanya jambo lolote popote hata kama moyo wake unapenda.
Upendo alieleza kwamba, msanii maarufu anapofanya jambo tofauti jamii humchukulia tofauti hali inayofanya ashindwe ama afikie mafanikio kwa mateso makubwa ya kutafuta kimya kimya.
“Umaarufu kwa msanii ni mzuri lakini ni mateso, uzuri ni kwa kuwa unarahisisha kazi zako lakini ni mateso kwa namna...
11 years ago
MichuziUpendo Nkone kumsindikiza Rose Muhando
MWIMBAJI mahiri wa nyimbo za Injili, Upendo Nkone ni miongoni mwa wasanii watakaosindikiza uzinduzi wa albamu ya Rose Muhando.Muhando anatarajia kuzindua albamu hiyo Agosti 3, mwaka huu ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam na kuendelea katika mikoa mbalimbali nchini ukiwemo Mwanza Uwanja wa CCM Kirumba, Agosti 10. Akizungumza na gazeti hili, Muhando alisema Nkone tayari amekubali kushiriki katika uzinduzi huo na ana matumaini litakuwa tamasha la aina yake.Nkone ametamba na albamu...
9 years ago
MichuziUpendo Nkone naye ajitosa Tamasha la Krismasi
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama Kamati imefanikisha makubaliano na mwimbaji huyo.Msama alisema Nkone anaungana na wenzake Rose Muhando, Ephraim Sekeleti...
11 years ago
GPLUPENDO NKONE AOTESHWA NYIMBO, AANZA KUIMBA - 3
11 years ago
GPLUPENDO NKONE AKITOA MATUMAINI NDANI YA UWANJA WA TAIFA
11 years ago
GPLUPENDO NKONE AJIFUNGIA CHOONI KUKWEPA HESABU DARASANI - 2