Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matokeo makubwa sasa bila maandalizi makubwa

ILI kupata matokeo yoyote makubwa na mazuri katika jambo lolote, lazima uwe umefanya maandalizi makubwa kabla. Hii ndiyo hali halisi ukiachilia mbali miujiza ya Mwenyezi Mungu anayeweza kufanya chochote. Tanzania...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MKUTANO WA MAANDALIZI YA KUINGIZA SEKTA YA AFYA KATIKA MPANGO WA MATOKEO MAKUBWA SASA

 Mtendaji Mkuu wa Ofisi ya Rais-Usimamizi wa Utekezaji wa Miradi (PDB) inayosimamia Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), Bw. Omari Issa akifafanua jambo wakati wa mkutano wa awali wa maandalizi ya kujadili vipaumbele vya sekta ya afya vitakavyoingizwa katika BRN. Mkutano huo wa siku nne umeanza jijini Dar es Salaam leo Jumanne. Kushoto ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid.

 Mkurugenzi wa SIKIKA, Bw. Irinei Kiria akiwasilisha mada kuhusu sekta ya afya wakati wa mkutano wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Tunasubiri ‘Matokeo Makubwa Sasa’ Madola

Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo bendera yake itapepea jijini Glasgow, Scotland katika ufunguzi wa Michezo ya Jumuiya ya Madola itakayofanyika Julai 23 kwenye Uwanja wa Celtic Perth.

 

11 years ago

Habarileo

Matokeo makubwa sasa yaneemesha elimu

KUONGEZEKA kwa viwango vya ufaulu kwa shule za Msingi na Sekondari kwa wanafunzi waliofanya mtihani mwaka jana kumeelezwa kutokana na kutekelezwa kwa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa wakati wa kuzindua vitabu vya Uchambuzi wa Matokeo ya Shule za Msingi kwa mwaka 2013 katika utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa.

 

10 years ago

Mwananchi

Tunasubiri ‘Matokeo Makubwa Sasa’ katika elimu

Matatizo yanayoendelea kuzikabili shule za msingi, sekondari na vyuo vya elimu ya juu hapa nchini yamejenga dhana miongoni mwa wananchi kwamba Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) katika sekta ya elimu nchini hautapata mafanikio au kufikia malengo yaliyokusudiwa katika muda uliopangwa. Itakumbukwa kwamba mpango huo ulizinduliwa Agosti 14, 2013 na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi jijini Dar es Salaam sambamba na maonyesho ya wazi.

 

11 years ago

Habarileo

Sekondari 1,200 zaingizwa `Matokeo Makubwa Sasa’

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru KawambwaSHULE 1, 200 za sekondari zilizojengwa na wananchi kwa kushirikiana na Serikali zimeingizwa kwenye utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) kwa ajili ya uboreshaji wa mazingira ya kufundishia na kujifunzia, imefahamika.

 

11 years ago

Habarileo

Darasa la 7 kufanya tena Matokeo Makubwa Sasa

WANAFUNZI wa Darasa la Saba waliofanya mtihani wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) wakiwa darasa la sita, watafanya mtihani mwingine wa aina hiyo kabla ya kufanya mtihani wa mwisho wa kumaliza elimu ya msingi mwaka huu kwa lengo la kuongeza ufaulu.

 

10 years ago

Dewji Blog

Matokeo makubwa sasa ni kwa wanafunzi sio Waalimu

Sekondari ya Ilulu wilayani Kilwa inaupungufu wa madawati, wanafunzi wengi wanakaa katika benchi, stul za maabara. (21)

Na Mwandishi wetu

CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) wilayani Njombe mkoani Njombe kimeitaka serikali kufanya tafiti za kutosha katika miradi yake ukiwemo wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), wakidai unawazidishia mzigo wa kuwajibika bila kuongezwa ujira.

Chama hicho pia kimeitaka Serikali kusitisha biashara holela ya vitabu vya kiada kutokana na kupingana kwa baadhi ya vipengele hivyo; kusababisha ugumu katika ufundishaji.

Katibu wa CWT wilaya ya Njombe,   Salama Lupenza, aliyasema hayo mwishoni...

 

11 years ago

Habarileo

Diwani: Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa ni kiini macho

DIWANI wa Kata ya Kaengesa, Ameir Nkurlu amedai mpango wa Serikali wa Matokeo Makubwa Sasa ni kiini macho, hauwezekani kutekelezwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani