Matokeo makubwa sasa yaneemesha elimu
KUONGEZEKA kwa viwango vya ufaulu kwa shule za Msingi na Sekondari kwa wanafunzi waliofanya mtihani mwaka jana kumeelezwa kutokana na kutekelezwa kwa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa wakati wa kuzindua vitabu vya Uchambuzi wa Matokeo ya Shule za Msingi kwa mwaka 2013 katika utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi21 Apr
Tunasubiri ‘Matokeo Makubwa Sasa’ katika elimu
11 years ago
Michuzi
MKUU WA MKOA WA RUKWA AFANYA ZIARA YA KUHAMASISHA MPANGO WA MATOKEO MAKUBWA SASA (BRN) KATIKA SEKTA YA ELIMU MKOANI HUMO

11 years ago
Tanzania Daima27 Jul
Matokeo makubwa sasa bila maandalizi makubwa
ILI kupata matokeo yoyote makubwa na mazuri katika jambo lolote, lazima uwe umefanya maandalizi makubwa kabla. Hii ndiyo hali halisi ukiachilia mbali miujiza ya Mwenyezi Mungu anayeweza kufanya chochote. Tanzania...
11 years ago
Mwananchi21 Jul
Tunasubiri ‘Matokeo Makubwa Sasa’ Madola
11 years ago
Habarileo02 May
Darasa la 7 kufanya tena Matokeo Makubwa Sasa
WANAFUNZI wa Darasa la Saba waliofanya mtihani wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) wakiwa darasa la sita, watafanya mtihani mwingine wa aina hiyo kabla ya kufanya mtihani wa mwisho wa kumaliza elimu ya msingi mwaka huu kwa lengo la kuongeza ufaulu.
11 years ago
Habarileo29 Dec
Sekondari 1,200 zaingizwa `Matokeo Makubwa Sasa’
SHULE 1, 200 za sekondari zilizojengwa na wananchi kwa kushirikiana na Serikali zimeingizwa kwenye utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) kwa ajili ya uboreshaji wa mazingira ya kufundishia na kujifunzia, imefahamika.
11 years ago
Habarileo13 Jan
Diwani: Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa ni kiini macho
DIWANI wa Kata ya Kaengesa, Ameir Nkurlu amedai mpango wa Serikali wa Matokeo Makubwa Sasa ni kiini macho, hauwezekani kutekelezwa.
10 years ago
Michuzi