Kiapo cha jasho, mawaziri wapania kazi
Hafla ya kuapishwa kwa mawaziri iliyofanyika jana Ikulu jijini Dar es Salaam ilikuwa kavu isiyo na shangwe zilizozoeleka huku mawaziri wakionekana wazi kuwa wamepania kufanyia kazi kiapo chao.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog15 Dec
Majaliwa aitisha kikao cha kazi cha Baraza la Mawaziri
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mawaziri na Naibu Mawaziri katika kikao cha kwanza cha kazi cha Baraza la Mawaziri alichokiitisha Ofisini kwake jijini Dar es salaam Desemba 15, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama wakati alipomkaribisha kuzungumza katika kikao cha kwanza cha baraza la kazi la Mwaziri, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Desemba 15,2015. (Picha na Ofisi ya...
9 years ago
MichuziWAZIRI MKUU, MAJALIWA AITISHA KIKAO CHA KAZI CHA BARAZA LA MAWAZIRI LEO
5 years ago
CCM BlogMAJALIWA AONGOZA KIKAO KAZI CHA MAWAZIRI NA MAKATIBU WAKUU KUHUSU CORONA
Baadhi ya Mawaziri na Makatibu Wakuu wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-6YLDrY9BtwA/VgVCHBrKLLI/AAAAAAAAifs/aDfVnu0btXQ/s72-c/NY%2BCWM%2B5.jpg)
Tanzania yapongezwa kwa uongozi bora wa Kikundi Kazi cha Mawaziri Jumuiya ya Madola
![](http://4.bp.blogspot.com/-6YLDrY9BtwA/VgVCHBrKLLI/AAAAAAAAifs/aDfVnu0btXQ/s640/NY%2BCWM%2B5.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-cRpsY-bVow0/VJijru4Q_PI/AAAAAAAG5LE/OB2ZXDBallw/s72-c/CMAG-Meeting-3-1024x683.jpg)
Membe aongoza mkutano wa Kikosi Kazi cha Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola jijini London
![](http://2.bp.blogspot.com/-cRpsY-bVow0/VJijru4Q_PI/AAAAAAAG5LE/OB2ZXDBallw/s1600/CMAG-Meeting-3-1024x683.jpg)
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AONGOZA KIKAO KAZI CHA MAWAZIRI NA MAKATIBU WAKUU KUHUSU CORONA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao kazi cha Mawaziri na Makatibu Wakuu kuhusu ugonjwa wa Corona (COVID – 19) nchini kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Machi 23, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao kazi cha Mawaziri na Makatibu Wakuu cha kujadili ugonjwa wa Corona (COVID- 19) nchini kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Machi 23, 2020. Katikati ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu na kulia ni...
9 years ago
Mwananchi08 Dec
‘Wafanyakazi kula kiapo cha uadilifu’
9 years ago
Mwananchi02 Jan
Kiapo cha moto kwa makatibu
9 years ago
Mwananchi06 Nov
Mvua zapamba kiapo cha Rais Magufuli