Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mvua zapamba kiapo cha Rais Magufuli

Mvua kubwa iliyonyesha jana jijini Dar es Salaam wakati wa shughuli ya kuapishwa kwa Rais mpya wa Tanzania, Dk John Magufuli imetafsiriwa kama ishara ya baraka kwa uongozi mpya ya awamu ya tano ulioingia madarakani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AHUDHURIA SHEREHE ZA KULA KIAPO ZA RAIS ZUMA WA AFRIKA KUSINI LEO

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Nelson Mandela Amphitheater katika jengo la Union Buildings mjini Pretoria kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini leo Mei 24, 2014. Rais Jacob Zuma akila kiapo katika Nelson Mandela Amphitheater katika jengo la Union Buildings mjini Pretoria wakati wa sherehe za kuapishwa kwake leo Mei 24, 2014. 
Ndege za kijeshi zikiunda umbo la "20" kuashiria miaka ishirini ya uhuru kamili...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI ATANGAZA MAOMBOLEZO YA SIKU TATU YA KIFO CHA RAIS NKURUNZIZA WA BURUNDI

Pierre NkurunzizaIkulu, Chamwino.
Rais Dk. John Magufuli ametangaza maombolezo ya Kitaifa ya siku tatu kuanzia kesho Juni 13, 2020 kufuatia kifo cha Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza kilichotokea Juni 09, 2020 nchini Burundi.

Taarifa iliyotolewa na Ikulu jijini Dodoma imesema katika kipindi chote cha siku tatu za maombolezo hayo ambayo yataanza leo, hadi keshokuwa bendera zote zitapeperushwa nusu mlingoti.

Taarifa hiyo imesema, Rais Magufuli ameeleza kuwa Tanzania inatoa heshima hiyo kwa kifo...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI KUZINDUA KIPINDI CHA PILI CHA AWAMU YA TATU YA TASAF




Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt (Mst) Mhe. George Mkuchika (Mb) akisisitiza jambo kwa Waandishi wa Habari leo alipokuwa akizungumza nao kuhusu uzinduzi wa Kipindi cha Pili cha Awamu ya Tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) utakaofanyika siku ya Jumatatu tarehe 17Februari, 2020 kwenye...

 

9 years ago

CCM Blog

VIDEO: DK. MAGUFULI ALA KIAPO LEO JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa awamu ya tano, Dk. John Magufuli akiapishwa, kuona tafadhali>BOFYA HAPA

 

9 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KWANZA CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU, DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam jana Alhamisi Desemba 17, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na kushoto kwake ni Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa. Kikao hicho ni cha kwanza kufanyika tangu Rais Magufuli atangaze Baraza la Mawaziri la Serikali ya Awamu ya Tano wiki iliyopita. PICHA NA IKULU

 

9 years ago

Mwananchi

‘Wafanyakazi kula kiapo cha uadilifu’

Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma imemtaka kila mtumishi wa umma nchini kuapa kiapo cha ahadi ya uadilifu kabla ya Desemba 31, kwa kukisoma mbele ya mwajiri wake huku akishuhudiwa na wenzake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani