Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Wafanyakazi kula kiapo cha uadilifu’

Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma imemtaka kila mtumishi wa umma nchini kuapa kiapo cha ahadi ya uadilifu kabla ya Desemba 31, kwa kukisoma mbele ya mwajiri wake huku akishuhudiwa na wenzake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MBARAWA ATINGA OFISINI LEO MARA BAADA YA KULA KIAPO

Katibu wa iliyokuwa Wizara ya Ujenzi Eng. Mussa Iyombe akimkaribisha Waziri mpya wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa kwenye ofisi yake mpya wizarani hapo, alipowasili kwa mara ya kwanza mara baada ya kula kiapo ikulu, jijini Dar es Salaam leo. Katibu wa iliyokuwa Wizara ya Ujenzi Eng. Mussa Iyombe akimkaribisha Waziri mpya wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa, kuongea na Viongozi wa Wizara na watendaji wa Taasisi zilizo chini ya...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AHUDHURIA SHEREHE ZA KULA KIAPO ZA RAIS ZUMA WA AFRIKA KUSINI LEO

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Nelson Mandela Amphitheater katika jengo la Union Buildings mjini Pretoria kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini leo Mei 24, 2014. Rais Jacob Zuma akila kiapo katika Nelson Mandela Amphitheater katika jengo la Union Buildings mjini Pretoria wakati wa sherehe za kuapishwa kwake leo Mei 24, 2014. 
Ndege za kijeshi zikiunda umbo la "20" kuashiria miaka ishirini ya uhuru kamili...

 

11 years ago

GPL

MAMA LULU, MAMA KANUMBA WAENDA KULA KIAPO

Stori: Mwandishi Wetu
ULE udugu wa ukubwani kati ya wazazi wa mastaa wa filamu Bongo, Lucresia Karugila ‘Mama Lulu’ na  Flora Mtegoa ‘Mama Kanumba’ umezidi kukua kufuatia kwenda Bukoba, Kagera kwa ajili ya kula kiapo cha kuimarisha undugu huo. Kutoka kushoto: Flora Mtegoa, Lulu na Lucresia Karugila katika pozi. Wazazi hao wawili walijikuta katika undugu kufuatia Elizabeth Michael...

 

9 years ago

Mwananchi

Kiapo cha moto kwa makatibu

Halfa ya kuapishwa kwa makatibu wakuu na naibu makatibu wakuu 26 iliyofanyika jana Ikulu Jijini Dar es Salaam ilikuwa ya aina yake kutokana na kuapa mara mbili, huku Rais John Magufuli akiwaeleza kuwa asiyeweza kazi “aseme asile kiapo, akae kando”.

 

9 years ago

Mwananchi

Kiapo cha jasho, mawaziri wapania kazi

Hafla ya kuapishwa kwa mawaziri iliyofanyika jana Ikulu jijini Dar es Salaam ilikuwa kavu isiyo na shangwe zilizozoeleka huku mawaziri wakionekana wazi kuwa wamepania kufanyia kazi kiapo chao.

 

11 years ago

GPL

ESHA BUHETI AAPA KIAPO CHA KIFO

Stori: Shakoor Jongo
MUIGIZAJI Bora wa Kike 2014 kupitia Tuzo za Zanzibar Film Festival (Ziff), Esha Buheti ameapa kuwa iwapo atakuja kujichora tatuu au kufanya mapenzi ya jinsia moja, Mungu aingamize familia yake na kizazi chake chote. Muigizaji Bora wa Kike 2014 kupitia Tuzo za Zanzibar Film Festival (Ziff), Esha Buheti Esha alitoa kiapo hicho juzikati alipokuwa akijibu swali aliloulizwa na paparazi wetu kuhusiana na tuhuma...

 

9 years ago

Mwananchi

Mvua zapamba kiapo cha Rais Magufuli

Mvua kubwa iliyonyesha jana jijini Dar es Salaam wakati wa shughuli ya kuapishwa kwa Rais mpya wa Tanzania, Dk John Magufuli imetafsiriwa kama ishara ya baraka kwa uongozi mpya ya awamu ya tano ulioingia madarakani.

 

10 years ago

GPL

ESHA BUHETI AJIAPIZA KIAPO CHA KIFO

STAA wa Bongo Movies, Esha Buheti amejiapiza kiapo cha kifo kwa kusema kuwa kama ipo siku atajaribu mchezo wa usagaji basi atakapomaliza tu litokee gari na kumkanyaga na kufa. Staa wa Bongo Movies, Esha Buheti. Akizungumza na mwandishi wetu, Esha alisema kuwa alishajiapiza kwa kutumia Msahafu ya kuwa kamwe hawezi kufanya tendo hilo akiamini kuwa liko kinyume kabisa na Mwenyezi Mungu. “Kwa kweli mimi nikifanya usagaji siku...

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA CHUO CHA UTALII NCHINI WAUNDA BARAZA LA WAFANYAKAZI.


Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasiliamaliwatu(DHRN) wa Wizara ya Maliasili na Utalii,Said Msambachi akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Chuo cha Utalii Tanzania, uliofanyika katika Kampasi ya Temeke jijini Dar es Salaam leo kwa niaba ya Katibu mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Adelhe Meru.  Afisa Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utalii Kampasi ya Bustani,  Rosada Musoma akizungumza katika ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Chuo cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani