Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania yapongezwa kwa uongozi bora wa Kikundi Kazi cha Mawaziri Jumuiya ya Madola

Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola ukiendelea pembezoni mwa Mkutano wa 70 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Jijini New York, Marekani.Sekretarieti ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola wamesifu kazi iliyofanywa na Tanzania kama Mwenyekiti wa Kikundi Kazi cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa jumuiya hiyo ya kusimamia na kuimarisha misingi imara ya jumuiya katika kipindi cha miaka miwili iliyopita. Hayo yamesemwa na Dkt. Josephine Ojiambo Makamu Katibu Mkuu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Membe aongoza mkutano wa Kikosi Kazi cha Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola jijini London

Mwenyekiti wa Kikosi Kazi cha Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe akiendesha kikao cha 43 cha chombo hicho cha utendaji cha Jumuiya ya Madola Jijini London Uingereza.

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MEMBE AONGOZA MKUTANO WA MAWAZIRI WA JUMUIYA YA MADOLA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe akiongoza Mkutano wa 45 wa Kikundi Kazi cha Mawaziri wa Jumuiya ya Madola, (Commonwealth Ministerial Action Group-CMAG) unaofanyika Mjini London, Uingereza tarehe 11 na 12 Machi, 2015. Waziri Membe ni Mwenyekiti wa Kikundi Kazi hicho ambaye aliteuliwa wakati wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Madola uliofanyika nchini Sri Lanka mwaka 2013. Kushoto kwa Waziri Membe ni Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo, Bw....

 

10 years ago

Vijimambo

Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola awasili London

Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania Mhe. Bernard Membe akiwa na Waziri wa Masuala ya Afrika wa Uingereza Mhe. James Duddridge baada ya kuwasili Jijini London kwa ajili ya kikao cha kazi cha Jumuiya ya Madola tarehe 11-12 Machi 2015.Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania Mhe. Bernard Membe akiwa...

 

11 years ago

Michuzi

MH. NKAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA MAWAZIRI WA MICHEZO WA JUMUIYA YA MADOLA NCHINI SCOTLAND

Naibu Waziri wa Habari, Vijana na Michezo, Mhe. Juma Nkamia (wa pili kushoto mstari wa mbele) akiongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Mawaziri wa Michezo wa Jumuiya ya Madola leo jijini Glasgow, Uskochi (Scotland). Mkutano huo unafanyika kabla ya ufunguzi rasmi wa michezo ya Jumuiya hiyo, utakaofanyika keshokutwa haoa Glasgow. Agenda kuu ya Mkutano huo ni Michhezo kwa Maendeleo na Amani.

 

10 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola awasili Mjini London

Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Mhe. Bernard Membe mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege Jijini London na kupokelewa na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mhe. Peter Kallaghe na Naibu Mkuu Mkuu wa Ubalozi Msafiri Marwa (wa pili kushoto) na Mkuu wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Celestine Mushy.
Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola na Waziri wa...

 

11 years ago

Michuzi

Timu ya Tanzania kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola yakaribishwa rasmi leo katika kijiji maalum cha michezo hiyo Glasgow

Waogeleaji wa Tanzania Mariam Foum, Hilal Hemed na Ammaar Ghadiyali wakiwa tayari kwa michuano jijini Glasgow. Timu ya Tanzania kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola imekaribishwa rasmi leo katika kijiji maalum cha michezo hiyo Glasgow,  Uskochi.Timu ya Tanzania kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola imekaribishwa rasmi leo kayika kijiji maalum cha michezo hiyo Glasgow,  Uskochi.

 

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Utumishi wa Jumuiya ya Madola

Jakaya-Kikwete1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimimwa Dokta Jakaya Mrisho Kikwete.

Na Pius Yalula-MAELEZO-Dar es salaam

Tanzania inatarajia  kuwa mwenyeji wa mkutano wa 12 wa watumishi wa umma wa  nchi za Afrika ambazo ni wanachama Jumuiya ya Madola utakaonza Jumatatu ijayo jijini Dar es salaam.

Mkutano huo unatarajiwa kufunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimimwa Dokta Jakaya Mrisho Kikwete na kufungwa na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mheshimiwa Dokta Ali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani