Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAJALIWA AONGOZA KIKAO KAZI CHA MAWAZIRI NA MAKATIBU WAKUU KUHUSU CORONA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza katika kikao kazi cha  Mawaziri na Makatibu Wakuu  cha kujadili mikakati ya kudhibiti ugonjwa  wa Corona hapa nchini, kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, leo  Machi 23, 2020. Katikati ni Waziri wa Afya,  Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu na kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto, Dk. Zainab Chaula.

Baadhi ya Mawaziri na Makatibu Wakuu wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AONGOZA KIKAO KAZI CHA MAWAZIRI NA MAKATIBU WAKUU KUHUSU CORONA




Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao kazi cha Mawaziri na Makatibu Wakuu kuhusu ugonjwa wa Corona (COVID – 19) nchini kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Machi 23, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao kazi cha Mawaziri na Makatibu Wakuu cha kujadili ugonjwa wa Corona (COVID- 19) nchini kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Machi 23, 2020. Katikati ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu na kulia ni...

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AONGOZA KIKAO CHA MAKATIBU WAKUU WA VYAMA VYA UKOMBOZI


Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akiongoza kikao cha Makatibu Wakuu wa Vyama Rafiki vilivyopigania Ukombozi wa Nchi Kusini mwa Afrika (FLM). Kushoto kwa Kinana ni Katibu Mtendaji Mkuu wa ZANU-PF ya Zimbabwe Comrade Didymus Mutasa na anayefuata ni Katibu Mkuu wa ANC ya Afrika Kusini Comrade Gwede Mantashe. Kulia kwa Kinana aliyevaa miwani ni Katibu Mkuu wa MPLA ya Angola Comrade Juliao Mateus Paulo 'Dino Matrosse' na anayefuata ni Katibu Mkuu wa SWAPO Party ya Namibia Comrade...

 

9 years ago

Dewji Blog

Majaliwa aitisha kikao cha kazi cha Baraza la Mawaziri

IMGS5561

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na  Mawaziri na Naibu Mawaziri  katika kikao cha kwanza cha kazi cha Baraza la Mawaziri alichokiitisha  Ofisini kwake jijini Dar es salaam Desemba 15, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMGS5562

IMGS5555

IMGS5554

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama wakati alipomkaribisha kuzungumza katika kikao cha kwanza cha baraza la kazi la Mwaziri, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Desemba 15,2015. (Picha na Ofisi ya...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU, MAJALIWA AITISHA KIKAO CHA KAZI CHA BARAZA LA MAWAZIRI LEO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mawaziri na Naibu Mawaziri katika kikao cha kwanza cha kazi cha Baraza la Mawaziri alichokiitisha Ofisini kwake jijini Dar es salaam Desemba 15, 2015. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama wakati alipomkaribisha kuzungumza katika kikao cha kwanza cha baraza la kazi la Mwaziri, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Desemba 15,2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI SEFUE AONGOZA SEMINA ELEKEZI YA SIKU MOJA KWA MAKATIBU WAKUU NA NAIBU MAKATIBU WAKUU IKULU LEO

 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza na Makatibu Wakuu pamoja na Manaibu Katibu Wakuu wakati akifungua Semina Elekezi kwa Makatibu hao Ikulu jijini Dar es Salaam leo January 2, 2015 Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wakisikiliza kwa makini Hotuba ya Ufunguzi iliyokuwa ikitolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika Semina elekezi ya siku moja Ikulu Jijini Dar es Salaam. Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wakisikiliza kwa makini Hotuba ya Ufunguzi...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete aongoza kikao cha Dharura cha wakuu wa nchi za EAC

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda wakati wa mkutano wa dharura wa wakuu wan chi za jumuiya hiyo uliofanyika ikulu jijini Dar es salaam leo.(picha na Freddy Maro).
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje Balozi Liberata Mulamula kwa Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni wakati kiongozi huyo wa Uganda alipowasili ikulu jijini Dar es...

 

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA AONGOZA KIKAO CHA KUJADILI MAENDELEO YA MICHEZO NCHINI



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza   na Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia kwake ) na viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) katika kikao cha kujadili maendeleo ya michezo nchini kilichofanyika kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini  Dar es salaam, Februari 25, 2020. (Picha na Ofisi ya...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIWETE AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza Kikao cha kawaida cha Baraza la Mawaziri, Jumapili Machi 15, 2015 Ikulu jijini Dar es Salaam. Kulia kwake ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue. PICHA NA IKULU

 

9 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KWANZA CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU, DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam jana Alhamisi Desemba 17, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na kushoto kwake ni Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa. Kikao hicho ni cha kwanza kufanyika tangu Rais Magufuli atangaze Baraza la Mawaziri la Serikali ya Awamu ya Tano wiki iliyopita. PICHA NA IKULU

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani