Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM Zanzibar wajipanga kukwamisha Serikali tatu

Wabunge na Wawakilishi wa CCM Zanzibar tayari wamekutana na kupanga mkakati wa pamoja kwa nia ya kupinga Mfumo wa Muungano wa Serikali tatu uliopendekezwa katika Rasimu ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imefahamika juzi visiwani Zanzibar.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

‘Nitawashangaa wajumbe Zanzibar kupinga Serikali tatu’

Kamishna wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Ali Saleh amesema atawashangaa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar (BLW), iwapo watapinga mfumo wa Serikali tatu uliopendekezwa katika Rasimu ya Pili ya Katiba.

 

11 years ago

Mwananchi

Mbowe aitahadharisha CCM kuhusu Serikali Tatu

Leticia Ghati na Haji Ambar Khamis jana wamechaguliwa kuwa Makamu Wenyeviti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, katika Mkutano Mkuu wa Nane wa chama hicho uliofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee.

 

11 years ago

Mwananchi

Molloimet: Kukataa serikali tatu, CCM ijiandae kuwa chama cha upinzani

Agosti 5 mwaka huu, wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanatarajiwa kuanza kukutana tena mjini Dodoma kujadili rasimu ya mabadiliko ya Katiba.

 

10 years ago

Habarileo

Ukawa wajipanga uchaguzi Serikali za Mitaa

VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vimehimizana kushirikiana na kuja na nguvu ya pamoja katika uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu.

 

10 years ago

Habarileo

CCM wajipanga kuuaga umasikini

IMEELEZWA kuwa endapo wanachama na viongozi wote wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) watalipa ada zao kwa asilimia 100 kitakuwa na uwezo wa kukusanya Sh bilioni 12 kwa mwezi na kuzidi ruzuku inayotolewa na serikali kwa vyama vya siasa.

 

10 years ago

Dewji Blog

Singida wajipanga kufanikisha uchaguzi wa serikali za mitaa

DSC02243

Mkurugenzi wa manispaa ya Singida, Joseph Mchina, akitangaza ratiba ya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa mwaka huu,mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani).

Na Nathaniel Limu, Singida

HALMASHAURI  ya manispaa ya Singida,imejipanga vema kwa ajili ya kuhakikisha uchaguzi wa serikali za mitaa 2014, unakuwa huru,haki  na wa amani.

Hayo yamesemwa na msimamizi wa uchaguzi wa manispaa hiyo, Joseph Mchina, wakati akitangaza ratiba ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu mbele ya waandishi...

 

10 years ago

Mwananchi

CCM wajipanga kumng’oa Mdee Kawe

Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema) ameanza kuonja joto la kuwania ubunge katika jimbo hilo baada ya watu wanane kujitokeza kwa siku ya kwanza kuitaka nafasi hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

CCM yahoji Serikali ya Umoja Zanzibar

Mnadhimu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar (BLW), Salmin Awadh Salmin amesema wawakilishi wa CCM wanajiandaa kuwasilisha hoja binafsi kwenye Baraza hilo ili kuwapa nafasi wananchi waulizwe iwapo wanataka kuendelea na Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), au la.

 

11 years ago

Habarileo

CCM wajipanga kumnyang’anya jimbo Msigwa wa Chadema

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Manispaa ya Iringa kimetangaza mpango mkakati wa kulikomboa Jimbo la Uchaguzi la Iringa Mjini. Mpango huo ulitangazwa katika mkutano mkubwa, uliofanyika juzi kwenye uwanja wa Mwembetogwa mjini hapa. Jimbo hilo kwa sasa linaongozwa na Mchungaji Peter Msigwa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) aliyechaguliwa katika Uchaguzi Mkuu wa 2010.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani