Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Nitawashangaa wajumbe Zanzibar kupinga Serikali tatu’

Kamishna wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Ali Saleh amesema atawashangaa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar (BLW), iwapo watapinga mfumo wa Serikali tatu uliopendekezwa katika Rasimu ya Pili ya Katiba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yatumia makanisa kupinga serikali tatu

SERIKALI imeendelea kuibeza rasimu ya pili ya katiba iliyowasilishwa bungeni na aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba kwa madai kuwa imekuja na hoja ya...

 

9 years ago

StarTV

Wajumbe wateule waendelea kupinga kufutwa kwa matokeo Uchaguzi  Zanzibar

Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Wateule Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF) wamesema hawapo tayari kurudia Uchaguzi Mkuu kwa madai ya kuwa uchaguzi uliofanyika Oktoba 25 siyo batili.

Huku wakiitaka Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kutengua tamko la kufutwa kwa matokeo ya Uchaguzi na badala yake kutangaza matokeo ya Majimbo yote yaliyofanyika uchaguzi huo.

Abubakari Khamis Bakari ametoa tamko hilo ambalo ni azimio la wawakilishi wateule 27 kupitia chama hicho Zanzibar na kusema kuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali tatu zawatesa wajumbe

WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikiweka msimamo wa kupinga muundo wa serikali tatu, baadhi ya wajumbe wameelezwa kusikitishwa na mjadala kujikita kwenye muundo wa serikali. Wakizungumza na Tanzania Daima jana,...

 

11 years ago

Mwananchi

CCM Zanzibar wajipanga kukwamisha Serikali tatu

Wabunge na Wawakilishi wa CCM Zanzibar tayari wamekutana na kupanga mkakati wa pamoja kwa nia ya kupinga Mfumo wa Muungano wa Serikali tatu uliopendekezwa katika Rasimu ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imefahamika juzi visiwani Zanzibar.

 

10 years ago

Mwananchi

TLS yafungua kesi kupinga Bunge la Katiba J’tatu

Wakati Bunge Maalumu la Katiba likihitimisha rasmi vikao vyake jana, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kimefungua kesi Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kupinga mwenendo wa Bunge hilo.

 

10 years ago

Mwananchi

CUF kuandamana siku tatu kupinga Bunge la Katiba

Chama cha Wananchi (CUF) kitafanya maandamano ya siku tatu za kazi kupinga kuendelea kufanyika kwa vikao vya Bunge la Katiba ambayo yatafanyika katika mikoa ya Dodoma na Dar es Salaam.

 

9 years ago

Michuzi

WAJUMBE WA BARAZA LA WAKILISHI WA CUF ZANZIBAR WAMEPINGA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA ZANZIBAR KUFUTWA

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiWAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wa Chama chama Wananchi (CUF)wamepinga matokeo ya uchaguzi uliofanyika hivi karibuni kufutwa  kutokana na mtu aliyefanya utenguzi huo ni utashi wake na sio Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC).
Wajumbe 27 wa baraza hilo wamewasili jijini Dar es Salaam kuzungumza na waandishi wa habari juu ya kizungumkuti cha matokeo ya uchaguzi kufutwa huku wakiwa wenyewe hatambui hatua hiyo.
Akizungumza  mmoja wa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi,...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AWASILI ZANZIBAR AKITOKEA PEMBA BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU TATU PEMBA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea Kisiwani Pemba baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu.(Picha na Ikulu)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani