Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AWASILI ZANZIBAR AKITOKEA PEMBA BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU TATU PEMBA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea Kisiwani Pemba baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu.(Picha na Ikulu)

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA MIKOA MIWILI YA KASKAZINI NA KUSINI PEMBA WAKATI WA ZIARA YAKE LEO.

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindizi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Serikali alipowasili Uwanja wa Ndege Chakechake Pemba akiwa katika ziara yake ya kikazi .(Picha na Ikulu) BAADHI ya Viongozi wa Mikoa Miwili ya Kaskazini na Kusini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akizungumza na Viongozi hao katika ukumbi Ikulu Ndogo Chakechake Pemba leo 12/5/2020.(Picha na Ikulu)

 

10 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AFUTARISHA WANANCHI WETE, PEMBA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)akishiriki katika swala ya magharibi iliyoswalishwa na Sheikh Jamal Mohammed Abeid kabla ya futari iliyotayarisha kwa Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba jana jioni katika viwanja vya Ikulu ya Wete Pemba. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akiwa na Viongozi katika futari aliyowaandalia wananchi wa Mkoa wa Kaskazini  Pemba iliyofanyika...

 

10 years ago

Michuzi

Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein Afutarisha Mkanyageni, Pemba

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Mkoani  Mkoa wa Kusini Pemba Bw. Hemed Suleiman wakati alipowasili katika viwanja vya Skuli ya Mkanyageni katika futari iliyoitayarisha kwa Wananchi wa Kijiji cha Mkanyageni  Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini  Pemba Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba Bi Hanuna Ibrahim Masoud wakati alipowasili katika...

 

9 years ago

Vijimambo

MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MAMA MWANAMWEMA SHEIN, AENDELEA NA ZIARA YAKE KUWAOMBEA KURA WAGOMBEA WA CCM ZANZIBAR.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akiwasili katika ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu cha Mwalimu Nyerere Bububu kwa ajili ya kuzungumza na Viongozi wa Wanawake wa Wilaya ya Mfenesini Unguja Kichama kuwaombea Kura Wagombea Wote wa Chama cha Mapinduzi CCM.Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Wilaya ya Mfenesini Unguja Kichama akitowa salamu za Wilaya yake kwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, kabla ya kuaza kwa mkutano huo uliofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Bububu.

 

11 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DKT ALI MOHAMED SHEIN ATEMBELEA PEMBA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Dk.Juma Malik Akili,wakati alipotembelea maendeleo ya Ujenzi wa barabara tatu za Mkoa wa Kaskazini Pemba,ikiwemo Konde,-Wete,Wete Gando na Gando –Ukunjwi,katika ziara ya Mkoa huo Mkurugenzi  Mtendaji  wa Kampuni ya Mecco Tanzania Abdulkadir Sheikh Bujet akitoa maelezo kwa Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMUAGA RAIS WA AFRIKA YA KUSINI BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU MOJA NCHINI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (kushoto) na Rais wa Afrika ya Kusini, Jacob Zuma wakifurahia burudani ya ngoma za asili, wakati wakiwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Rais Zuma alipokuwa akiondoka baada ya kumaliza ziara yake ya siku moja nchini. Rais wa Afrika ya Kusini, Jacob Zuma na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakikagua gwaride la heshima, wakati Rais huyo wa Afrika ya...

 

9 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA KAMPENI YA MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN, PEMBA

Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wa Micheweni Pemba akiwa katika mikutano yake ya Kampeni kisiwani humo mkutano huu ukiwa ni wa nne katika kuomba kura kuiongoza Zanzibar, Akisoma Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2015/2020 jinsi ya kuleta maendeleo kwa Wananchi wa Zanzibar katika Sekta mbali mbali za Kijamii.Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea Uwakilishi kwa Tiketi ya CCM katika Jimbo la...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS WA ZANZIBAR, DK. SHEIN AFUNGUA MKUTANO WA NNE WA SIKU TATU WA MABALOZI WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif anayetembea kati kati ya zulia jekundu akisindikizwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernard Membe kulia yake na Naibu waziri wa Wizara hiyo Mh. Mahadhi Juma kushoto yake wakiingia ndani ya Hoteli ya Ramada Dar es salaam kwenye ufungaji wa Mkutano wa Nne wa Mabalozi wa Tanzania nchi mbali mbali Duniani.Balozi Seif kwa Niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyejkiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Ali Mohammed Shein akiufunga...

 

10 years ago

Vijimambo

DKT. MAGUFULI AWASILI KISIWANI ZANZIBAR NA KUPATA WADHAMINI WENGI KATIKA MIKOA YA UNGUJA NA PEMBA

Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia mchakato wa uhakiki wa kadi za wanachama wa CCM Wilaya ya Mfenesini Kisiwani Zanzibar waliojitokeza kumdhamini.Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa fomu yenye orodha ya Wadhamini waliojitokeza kumdhamini katika mbio za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama hicho kutoka kwa Mussa Haji Katibu wa CCM Wilaya ya Mfenesini Kisiwani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani