MKUTANO WA KAMPENI YA MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN, PEMBA
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wa Micheweni Pemba akiwa katika mikutano yake ya Kampeni kisiwani humo mkutano huu ukiwa ni wa nne katika kuomba kura kuiongoza Zanzibar, Akisoma Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2015/2020 jinsi ya kuleta maendeleo kwa Wananchi wa Zanzibar katika Sekta mbali mbali za Kijamii.Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea Uwakilishi kwa Tiketi ya CCM katika Jimbo la...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMkutano wa Kampeni Mgombea wa Urais wa Zanzibar Dk Shein Gando Wete Pemba.
Mgombea Urais wa Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wa Gando akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake wa Kampeni Kisiwani Pemba.
Mgombea Urais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, akiwatambulisha Wagombea Ubunge wa CCM Wilaya ya Wete Pemba wakati wa Mkutano wake wa Kampeni uliofanyika katika viwanja vya mpira Gando Pemba.
Mgombea Urais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, akiwatambulisha Wagombea Uwakilishi wa CCM Wilaya ya...
9 years ago
GPLMKUTANO WA KAMPENI YA MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN VIWANJA VYA MICHEWENI PEMBA
9 years ago
GPLMGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KWA TIKETI YA CCM DK SHEIN AFUNGA MKUTANO WAKE WA KAMPENI KISIWANI PEMBA
9 years ago
Dewji Blog18 Sep
Mkutano wa Kampeni za Mgombea wa Urais CCM Dk Ali Mohamed Shein, Jimbo la Mkoani Pemba
9 years ago
VijimamboMKUTANO WA KAMPENI YA MGOMBEA WA URAIS CCM DK ALI MOHAMED SHEIN,JIMBO LA MKOANI PEMBA
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Shein, akiwahutubia Wananchi wa Pemba katika mkutano wake wa Kampeni kisiwani huo uliofanyika katika viwanja vya mpira...
9 years ago
MichuziMkutano wa Kampeni Mgombea Urais wa CCM Zanzibar Dk Shein, Viwanja vya Bungi Zanzibar
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya mkutano Bungi akiwapungia mkono Wananchi waliohudhuria mkutano huo wa Kampeni katika viwanja vya mpira Bungi akiongozana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai . Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakimsikiliza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein. uliofanyika katika viwanja vya bungi.Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,...
9 years ago
GPLMGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AENDELEA NA MIKUTANO YAKE YA KAMPENI ZANZIBAR
9 years ago
VijimamboMGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AENDELEA NA MIKUTANO YAKE YA KAMPENI KATIKA VIWANJA CHA GARAGARA MTONI ZANZIBAR,
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Ndg Yussuf Mohammed akizungumza na Wananchi na...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar23 Oct
Dk Shein Afunga Mkutano wake wa Kampeni Pemba
Friday, October 23, 2015 Dk Shein Afunga Mkutano wake wa Kampeni Pemba Na Mwandishi Wetu Pemba. MakamuMwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amemuunga mkono […]
The post Dk Shein Afunga Mkutano wake wa Kampeni Pemba appeared first on Mzalendo.net.