MBUNGE WA KAWE HALIMA MDEE ALIPOUNGURUMA VIWANJA VYA FURAHISHA MWANZA JANA

Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Chadema, Halima Mdee, akipeana mikono kusalimiana na wafuasi wa Chadema baada ya kumaliza kuwahutubia katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Furahisha jijini Mwanza jana.
Mbunge huyo mara baada ya kumaliza kuwahutubia wafuasi wake, aliwatangazia kuanza kutoa chochote kitu ili kuchangia na kumwezesha Mbunge huyo kuweza kuendelea na ziara za mikiani ili kufanya mikutano kama huo, ambapo walijitokeza na kuchangia kila mmoja kwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
DIAMOND PLATNUMZ: MBUNGE HALIMA MDEE NI MZIGO JIMBO LA KAWE

Msanii maarufu nchini mwenye mafanikio makubwa katika sanaa ya mziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz, amevunja ukimya wake juu ya ubovu wa barabara iendayo Madale ambayo ipo kwenye jimbo la Kawe chini ya Halima Mdee.Msanii huyo ameelekeza lawama zake kwa mbunge huyo wa kupitia tiketi ya CHADEMA kwa kuwa Halima Mdee aliahidi wananchi wa jimbo hilo kuwa katika kipindi chake cha ubunge atahakikisha barabara hiyo inajengwa kwa kiwango cha lami, lakini hadi hii leo barabara imejaa tope...
10 years ago
Vijimambo
GWAJIMA, FLORA MBASHA WAIBUKIA MKUTANO WA CHADEMA KAWE, NI ULE WA KUZINDUA KITABU CHA MBUNGE HALIMA MDEE

MCHUNGAJI wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, na mwibaji nguli wa muziki wa Injili Flora Mbasha, leo hii alasiri Mei 24, wameibukia kwenye mkutano wa hadhara wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.
Wakati Gwajima alihutubia, Mbasha alitumbuiza kwenye mkutano huo uliokuwa wa kuzindua kitabu cha Mbunge wa jimbo la Kawe (CHADEMA), Flora Mbasha chenye kichwa cha habari "Utekelezaji wa...
10 years ago
Michuzi
5 years ago
The Citizen Daily24 Feb
VIDEO: Kawe MP Halima Mdee snubs Mashinji’s handshake
11 years ago
Habarileo20 Oct
Halima Mdee aihofia CCM Mwanza
MWENYEKITI wa Baraza la Wanawake Taifa (Bawacha) la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee amewataka viongozi wa Chadema kwa mikoa ya Kanda ya Ziwa kujiandaa kikamilifu kwa uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa, akionesha wasiwasi wa viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kucheza rafu katika uchaguzi huo.
11 years ago
Tanzania Daima01 Mar
HALIMA MDEE: Mbunge, mwanasheria anayesimamia hoja
LEO katika safu yetu ya Mwanamama namzungumzia Halima Mdee, Mbunge wa Jimbo la Kawe kupitia Chama cha Demokrasia na Mandeleo (CHADEMA). Huyu ni mbunge kijana ambaye baada ya kuwa mbunge...
10 years ago
Mwananchi17 Feb
MASWALI 10 KWA MBUNGE WANGU: Halima Mdee
11 years ago
Tanzania Daima02 Aug
HALIMA MDEE: Mbunge asiye na makeke anayetetea taifa
Huyu ni mbunge kijana ambaye baada ya kuwa Mbunge wa Viti Maalumu kwa kipindi cha miaka mitano, aliamua kupambana kwenye uchaguzi mkuu wa 2010 na kufanikiwa kukinyakua kiti cha jimbo...
11 years ago
Dewji Blog09 Aug
Serengeti FIESTA 2014 leo kutikisa jiji la Mwanza ndani ya viwanja vya CCM Kirumba jijini Mwanza
Mmoja wa wasanii watakaotoa burudani katika matamasha ya mwaka huu ya Serengeti Fiesta, Vanessa Mdee akizungumza wakati wa uzinduzi wa tamasha la muziki la mwaka huu la Serengeti Fiesta litakaloanza kutimua vumbi leo katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini hapo. Kushoto kwake ni Meneja wa Bia ya Serengeti, Rodney Rugambo na mmoja wa waratibu wa tamasha hilo, Sebastian Maganga . Fiesta ya mwaka huu inadhaminiwa na kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kupitia bia yake ya Serengeti Premium Lager....