Dudu Baya kuuaga ukapera Januari
NA MWANDISHI WETU
MKONGWE wa muziki nchini, Dudu Baya, anatarajia kuachana na ukapera Januari mwakani ambapo atafunga ndoa.
Msanii huyo amedai kwamba katika maisha yake amefanikiwa kupitia mambo mengi ya ujana lakini kilichobaki kwa sasa ni kuishi maisha ya ndoa.
“Ninatarajia kufunga ndoa Januari mwakani kwa kuwa tayari nimepitia maisha mbalimbali ya ujana kilichobaki ni kukaa na familia.
“Ninaishi na mwanangu Wille na mwakani ataanza kidato cha kwanza, hivyo lazima nifunge ndoa niishi kama...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo524 Dec
Dudu Baya kuuaga ukapera, January
![dudubaya3](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/06/dudubaya3-300x194.jpg)
Msanii mkongwe wa Hip Hop, Dudu Baya amesema hakuna kitu kinachomnyima usingizi kama maandalizi ya ndoa yake itakayofanyika January 2016.
Rapa huyo ambaye pia ni baba wa mtoto mmoja aitwae Wille, ameiambia Bongo5 kuwa huu ndio wakati wake sahihi wa kuoa na kukaa na familia.
“Hakuna kitu kinaniumiza kama ndoa,” alisema.
“Nafunga ndoa January kwa sababu tayari nimeshapitia maisha yote ya ujana na sasa ni wakati wa kutulia home na familia. Wille amekuwa, mwakani anaingia form one na ninakaa...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/ubtjjB69Gtg/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-AyrWFzbm2jY/VQ1qq4IrSkI/AAAAAAAABHs/gUFIz8T7Bxc/s72-c/Dudu-Baya.jpg)
DUDU BAYA AIBA SIMU NA KUDAKWA LIVE BILA CHENGA
![](http://1.bp.blogspot.com/-AyrWFzbm2jY/VQ1qq4IrSkI/AAAAAAAABHs/gUFIz8T7Bxc/s1600/Dudu-Baya.jpg)
11 years ago
Bongo530 Jul
Dudu Baya: Alikiba na Diamond tengenezeni pesa, beef sio issue!!
10 years ago
BBCSwahili20 Mar
Andy Murry kuuaga ukapera
9 years ago
StarTV17 Nov
Wahanga wa mgodi nyangarata wasimulia walivyoweza kuishi kwa siku 41 wakila wa dudu
Wahanga wa maafa ya kufukiwa na kifusi kwenye machimbo ya Nyangarata wilayani Kahama mkoani Shinyanga takribani Siku 41 wakiwa chini ya Ardhi wamesema kuwa waliofanikisha kunusuru maisha yao kwa kula wadudu walipokuwa katika shimo hilo.
Hata hivyo kati ya wahanga 6 mmoja aliyetambulika kwa jina la Mussa Supana alipoteza maisha na watano walinusurika na kulazwa kwenye Hospitali ya Halmashauri ya mji wa Kahama, huku viungo vyao vikiwa vimekakamaa na hali zao bado taabani kufuatia kukosa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ug6ORo4NSNRkrD8qtuk1R4bGVWoxx8vhyiPqifGC8qVM44iZlEunWUhT1gPI08sMQHshKr-58R4BizGVjx-zTG9fIQCsoOV4/tino.jpg)
MSANII APATA GONJWA BAYA
11 years ago
BBCSwahili02 Aug
W.H.O:Ebola inaweza kuwa janga baya
11 years ago
Tanzania Daima26 Jun
Amin auaga ukapera
NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Amin Mwinyimkuu ‘Amini’, ameukacha ukapera kwa kufunga ndoa na msanii Farida Bashir ‘Namcy Vana’ aliyeimba wimbo ‘Kantangaze’. Ndoa hiyo ilifungwa Juni 22 nyumbani...