Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSANII APATA GONJWA BAYA

Stori: waandishi wetu Oooh God! Mwigizaji wa kitambo kwenye tasnia ya maigizo Bongo, Augustino Mathias ‘Tino Madhahabu’ anasumbuliwa na gonjwa baya la moyo kwa zaidi ya miaka 7 akiwa hana msaada wowote kutoka kwa wasanii wenzake hivyo kulazimika kuomba msaada kwa Watanzania ambao anaamini wana moyo wa kusaidia. Mwigizaji wa kitambo kwenye tasnia ya maigizo Bongo, Augustino Mathias ‘Tino Madhahabuna...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BABY MADAHA ADAIWA KUAMBUKIZWA GONJWA BAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII wa Bongo Fleva, Baby Madaha anadaiwa kuambukizwa gonjwa hatari la zinaa ambalo halikutajwa jina lakini likielezwa kuwa linampa wakati mgumu kisaikolojia. Chanzo kimoja kimeiambia show bize kuwa, nyota huyo amekuwa akitumia dawa za kusafisha haja ndogo kwa muda mrefu lakini bila mafanikio. Msanii wa Bongo Fleva, Baby Madaha. Show bize ilimsaka Baby Madaha mwenyewe ambapo aling’aka kwa ukali.
...

 

10 years ago

GPL

DENTI APATA GONJWA LA AJABU!

Stori: SHANI RAMADHANI “Natamani nirudi shuleni hata kama ni darasa la kwanza, kama siyo ugonjwa huu wa ajabu ningekuwa namaliza kidato cha nne mwaka huu,” ni maneno ya kijana Frank Ephraim Simon (17), mkazi wa Kijiji cha Viwege, Gongo la Mboto jijini Dar akizungumza na Amani juu ya mateso anayopata. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1Sj9u7a ...

 

11 years ago

GPL

NISHA APATA GONJWA LA AJABU

Stori: Gladness Mallya
Maskini! Staa wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ anateseka baada ya kupata gonjwa la ajabu linalomsababishia maumivu makali. Hali ya Nisha ilivyo kwa sasa. Hapa akilazimishwa kula chakula. Akizungumza rafiki yake ambaye pia ni msanii mwenzake, Happy John ‘Nyatawe’ alisema Nisha alianza kulalamika kwamba anasikia vitu vikimtembea mwilini na maumivu makali ya kichwa...

 

11 years ago

GPL

SARA APATA GONJWA LA AJABU

Stori: Mayasa Mariwata
MSANII wa sinena za Kibongo ambaye amejikita kwenye nyimbo za Injili, Sara Mvungi amejikuta kwenye wakati mgumu kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya tumbo bila kujua chanzo wala ugonjwa husika. Sara Mvungi. Akizungumza na paparazi wetu, Sara alisema katika hali ya kutaharuki tatizo hilo lilipoanza alihisi labda anasumbuliwa na ugonjwa wa ‘typhoid’ lakini alipokwenda hospitali hakukutwa na...

 

11 years ago

GPL

REHEMA FABIAN APATA GONJWA LILILOMUUA BABA’KE

Stori: Musa Mateja NOOO! Mshiriki wa Miss Kiswahili 2009 Bongo, Rehema Fabian anasumbuliwa na tatizo la maini na mapafu kuharibika, ugonjwa uliomuua baba’ke. Rehema Fabian. Akistorisha na mwanahabari wetu, Rehema alifunguka kuwa aliingia nchini tangu Desemba, mwaka jana, akiwa hoi kiasi cha kufikia kudondoka kwenye uwanja wa ndege jijini Dar akitokea China alipokuwa akiishi kwa zaidi ya mwaka. “Nililazwa kwa zaidi...

 

10 years ago

GPL

ESHA BUHETI GONJWA GONJWA, TUMUOMBEENI

Stori: Shakoor Jongo
MUIGIZAJI aliyelamba tuzo ya Muigizaji Bora wa Kike katika Tamasha la Zanzibar Festival Film ‘ZIFF’ mwaka huu, Esha Salim Buheti hali yake siyo nzuri na anahitaji maombi ili apone kutokana na kusumbuliwa na tatizo la uvimbe kwenye kizazi. Mwigizaji, Esha Salim Buheti akiwa hoi kitandani. Akizungumza na Ijumaa lililokwenda kumjulia hali katika Hospitali ya TMJ iliyopo Mikocheni jijini Dar,...

 

10 years ago

Vijimambo

Uwoya Apata Ujauzito:Yasemekana Ni Ya Msanii Milionea Jaguar Toka Kenya.





Grapevine has it that, actress Irene Uwoya is pregnant for her second child and the man behind it is non other than Kenyan artist Jaguar. "Uwoya is pregnant of Jaguar, she wants to have more kids, they love one another truly, next week she might be in Kenya to visit her man" said the sourceSWP failed to reach Uwoya, however, through her Instagram account the actress posted something which matches with what the source said. Uwoya posted the photo below touching her stomach and asked her fans...

 

9 years ago

Mtanzania

Dudu Baya kuuaga ukapera Januari

Dudu BayaNA MWANDISHI WETU

MKONGWE wa muziki nchini, Dudu Baya, anatarajia kuachana na ukapera Januari mwakani ambapo atafunga ndoa.

Msanii huyo amedai kwamba katika maisha yake amefanikiwa kupitia mambo mengi ya ujana lakini kilichobaki kwa sasa ni kuishi maisha ya ndoa.

“Ninatarajia kufunga ndoa Januari mwakani kwa kuwa tayari nimepitia maisha mbalimbali ya ujana kilichobaki ni kukaa na familia.

“Ninaishi na mwanangu Wille na mwakani ataanza kidato cha kwanza, hivyo lazima nifunge ndoa niishi kama...

 

11 years ago

BBCSwahili

W.H.O:Ebola inaweza kuwa janga baya

shirika la afya duniani lasema kuwa ugonjwa wa Ebola Magharibi mwa Afrika unaweza kusababisha janga baya iwapo hautazuiwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani