NISHA APATA GONJWA LA AJABU
![](http://api.ning.com:80/files/7TcBzbi1eXofpH8pTM4d0FjCQEFCNX0VlnhvywabglEglM*L2gS0X13Wfkcvl5DvJjRZnRQf3ZlPXpZzGahkQof-t3RLwi-b/nisha.jpg?width=650)
Stori: Gladness Mallya Maskini! Staa wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ anateseka baada ya kupata gonjwa la ajabu linalomsababishia maumivu makali. Hali ya Nisha ilivyo kwa sasa. Hapa akilazimishwa kula chakula. Akizungumza rafiki yake ambaye pia ni msanii mwenzake, Happy John ‘Nyatawe’ alisema Nisha alianza kulalamika kwamba anasikia vitu vikimtembea mwilini na maumivu makali ya kichwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qSAS7eZtx6DQ**MISep5QfVgswZVJ6DvvVG71GYQq7XKOq4POKytjGUfZwklCLfW4CM908q8xr*L*vOwT4-JjezZgPQMJvOi/denti.gif?width=650)
DENTI APATA GONJWA LA AJABU!
Stori: SHANI RAMADHANI “Natamani nirudi shuleni hata kama ni darasa la kwanza, kama siyo ugonjwa huu wa ajabu ningekuwa namaliza kidato cha nne mwaka huu,†ni maneno ya kijana Frank Ephraim Simon (17), mkazi wa Kijiji cha Viwege, Gongo la Mboto jijini Dar akizungumza na Amani juu ya mateso anayopata. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1Sj9u7a ...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/O0rRt4kCpso1BuzQ3M6*fNNq996l*rWAnUY8XZqdqcEF*PczQk4vS7Rc*WwFWuCMawWGRNbIZRRVxCTpLBBGpj9Ou89V4i4U/SARA.jpg?width=650)
SARA APATA GONJWA LA AJABU
Stori: Mayasa Mariwata
MSANII wa sinena za Kibongo ambaye amejikita kwenye nyimbo za Injili, Sara Mvungi amejikuta kwenye wakati mgumu kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya tumbo bila kujua chanzo wala ugonjwa husika. Sara Mvungi. Akizungumza na paparazi wetu, Sara alisema katika hali ya kutaharuki tatizo hilo lilipoanza alihisi labda anasumbuliwa na ugonjwa wa ‘typhoid’ lakini alipokwenda hospitali hakukutwa na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SWXdzvDqQaJyEom4T*vzg46P1FJiMU46OFfVdvOivYaazJyv3FBtQMvKzolu0bwyGDlUyA5LiuCQ4rpZ5InWrcOHjmLdsHai/FRONTUWAZI.jpg?width=650)
GONJWA LA AJABU
Na Makongoro Oging’ MAAJABU ya Mungu! Ukisema wewe unaumwa sana, inawezekana hujawaona wagonjwa wengine! Faiza Masaka Paga (23)(pichani), mkazi wa Chanika –Msumbiji, Ilala jijini Dar amekumbwa na gonjwa la ajabu ambalo mpaka sasa madaktari hawajajua ni nini kwani sehemu ya kiuno na kalio upande wa kushoto imevimba na kumfanya aonekane ana kama nundu kubwa ya kutisha! Faiza Masaka mkazi wa Chanika akionyesha jinsi...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DBD4PE5EidWWUCtxtyedMD9H3ZhGD3wvKroacFqVzJmzzVklSIKArLuGodah8ZGZ4Bk-FCPj9pmEmenErylJL4qKF7OdKHxr/gonjwa.jpg?width=650)
GONJWA LA AJABU LAMTESA
Stori: Makongoro oging’
Lawrent Lawrian, 42 (pichani), ni mkazi wa Kijiji cha Nyakisogo, Wilaya ya Biharamlo, mkoani Kagera, amekuwa mwenye huzuni na kukosa raha kwa muda wa miaka 35 kutokana na gonjwa la ajabu linalomtesa ambalo limemsababishia mambo mengi ikiwa ni pamoja na kutoendelea na masomo. Kijana Lawrent Lawrian, akiwa na uvimbe wa ajabu kichwani mwake. Gonjwa hilo la ajabu ni uvimbe kama nundu kichwani wenye...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/o1QX7UF1Vt64DdF-6YTBDMR-gO2fGcrOpZSOPLQZurBAYFn6UA8gb*lMAC0MjbOkH6gUFS7TDb8yzaqEHih41JG3X6K-doCk/FRONTRISASI.gif?width=650)
WEMA AGUNDULIKA NA GONJWA LA AJABU
Musa Mateja
Habari mbaya ikufikie kuwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Endless Fame Films Productions ambaye yupo kwenye harakati za kuwania Ubunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Singida, Wema Isaac Sepetu amegundulika kuwa na gonjwa la ajabu linalomsababishia kukosa raha ambalo linakua kadiri siku zinavyosonga. Staa wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu. Gonjwa hilo limegundulika hivi karibuni machoni mwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SVfVaVsl8W1ZNWMIF0J8o6-UEGVqY46BvSZ5eFD4Eto28kDugmiHTiYi0NBFjG2V2-C2rKuxnpYRO-RlUc7nUszqQOJTe2wV/215Uwazi.jpg?width=650)
MTOTO AKUMBWA NA GONJWA LA AJABU!
Na Mwandishi Wetu MTOTO Mariam Shabani (5) aishiye Bunju A Zone Kizota nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambaye alizaliwa akiwa mzima, amekumbwa na ugonjwa wa ajabu unaowashangaza wazazi wake. Mtoto Mariam Shabani akiwa katika mateso baada ya kupatwa na gonjwa la ajabu. Mzazi wa mtoto huyo, Idd Shaban aliwaambia waandishi wetu kuwa mwanaye akiwa mchanga alisadikika kuwa na matatizo ya ubongo lakini ukuaji wake ulikuwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y4MVF3b94yIQ0rpb5nImndskXmZ8BZJTal-HWnfLm*Nx6ivOQlaO9*dnTnrPzrW0AFmn1NybsskAhl7JtfVnfXBUSnM1Wokg/gonjwa.jpg?width=650)
MCHUNGAJI AKUMBWA NA GONJWA LA AJABU
Stori: Makongoro Oging’
WAKATI waumini wa makanisa mbalimbali wamekuwa wakiamini kuwa wachungaji ni watu wenye uwezo wa kuwaondolea matatizo yao, yakiwemo magonjwa, Mchungaji Langeni Mwasibira (39) wa Kanisa la Baptist, lililopo Kyela mkoani Mbeya yupo hoi hospitalini Muhimbili jijini Dar es Salaam. Mchungaji Langeni Mwasibira. Mchungaji huyo yupo katika mateso makubwa baada ya gonjwa la ajabu kumkumba na kuwapa hofu...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LGdhCycw6D*bevTWi81wpiaj8EEdM*xCFUdp7MqcWtkuzpDZgI5f9gS1p6BchBw1Z3tB1x6ruHRwhvJEdrQ5rIF4veJkSYNi/BACKUWAZI.gif?width=650)
GONJWA LA AJABU LAIBUKA JIJINI DAR
Haruni Sanchawa na Makongoro Oging’ Mshituko mkubwa umewakumba wakazi wa Kijitonyama Kwaally Maua B, wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam baada ya Ijumaa kuamkia Jumamosi iliyopita kuibuka kwa ugonjwa wa ajabu ulioua watu wawili ghafla na kuwapa hofu kubwa wakazi wa eneo hilo.  .....Soma zaidi====>http://bit.ly/1IZ0iNF
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mK50tPAXydX*rmMm0MnyCrLAVj3RTEpu9KFLjqLaUqbNo44UyYhez3iw-5wYQwkIZkkRmubZYvw3GXMsFskAY*qyHgCJF1sG/india.jpg?width=650)
MTOTO MWENYE GONJWA LA AJABU... ATUA INDIA
Stori: Gladness Mallya BAADA ya kuteseka kwa muda mrefu kwa ugonjwa wa ajabu kwenye miguu, hatimaye mtoto Hamis Hashim Liguya (13) ametua nchini India kwa ajili ya matibabu. Mtoto Hamis Hashim Liguya (13). Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar Jumamosi iliyopita, majira ya saa 6 mchana, ndugu, jamaa na wadau mbalimbali walifika kumsindikiza mtoto huyo aliyewasili India Jumapili iliyopita....
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania