ESHA BUHETI GONJWA GONJWA, TUMUOMBEENI
![](http://api.ning.com:80/files/hpMD5afDfdbMsFFhLM6YfJhJU76ebI3g3OeZFFe82Eg-f26OySkc5-iU4kHo6dYciDy46lYeSBHNHayoaRtEu36YR-co42Wy/buheti.jpg)
Stori: Shakoor Jongo MUIGIZAJI aliyelamba tuzo ya Muigizaji Bora wa Kike katika Tamasha la Zanzibar Festival Film ‘ZIFF’ mwaka huu, Esha Salim Buheti hali yake siyo nzuri na anahitaji maombi ili apone kutokana na kusumbuliwa na tatizo la uvimbe kwenye kizazi. Mwigizaji, Esha Salim Buheti akiwa hoi kitandani. Akizungumza na Ijumaa lililokwenda kumjulia hali katika Hospitali ya TMJ iliyopo Mikocheni jijini Dar,...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies11 Nov
Tatuu Zamuumbua Esha Buheti
BAADA ya hivi karibuni wasanii wa filamu waliokuwa wapenzi, Wastara Juma na Bond Suleiman kutengana, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ameibuka na kumshauri staa huyo kukubaliana na matokeo.
Aunty Lulu aliyewahi kuwa mpenzi wa Bond, alimtaka mwenzake kukubaliana na matokeo kwani huenda muda ndiyo umefika na katika mapenzi, hilo ni jambo la kawaida.
“Sina la kuzungumza juu ya Bond maana sihusiani naye, mapenzi yalikuwa zamani ila kama uchumba umevunjika basi namshauri Wastara akubaliane tu na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rYXJV*jyRSlFm5C5RuYiivAmc0rU8Os8D7xRpbqc072zUVp56NCGz50eWyQwm8yfg6dc2Y*QEO-HTFOeNbHQnt9zNjtyx2Dc/esha.jpg)
ESHA BUHETI AKACHA KUIGIZA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/f*E8U3rGFXqrVJ-YCnvvP2ahJHGLFZC8SWXtRDHbyK*K9cI-pXE9P*zouURFTcLXolYglgahjcJHoaRSpuNG2iwmQDexQaqo/Buheti.gif?width=650)
ESHA BUHETI AKIRI KUCHEPUKA
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cDEmeB8bWGTRSOKNXYmj46XWVyLe3i5-XUEvSLqYeDauDzkpX3i2tPCsqclEEFWVorQ5thAaMN3yIpV*KeXu3fP50Yf9Or8E/esha.jpg)
TATUU ZAMUUMBUA ESHA BUHETI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tV6jtHhMLWwnqqEAnVBtzmlshOUFO1wEFL0TVunN5npVTjLOo6l7YHV1edvUe8a6o43E3F0RSdLe-daIwIQEOBu-64WrdAJl/esha.jpg?width=650)
ESHA BUHETI ANANGWA, KISA MAKALIO
10 years ago
Bongo Movies29 Jun
Baridi ya Uingereza Ilimtesa Esha Buheti
MWIGIZAJI nyota wa kike Bongo Esha Buheti amefunguka kuwa baridi aliyokutana nayo nchini Uingereza hakutamani kuendelea kubaki London kwani toka azaliwe hajawahi kukutana na baridi kama aliyokutana na nayo huku, kwa alitamani kurudi Bongo.
wanasema kuna baridi Iringa sijui Tanga na sehemu nyinginezo lakini lile la London si baridi bali ni hatari, nilikuwa nimekata tamaa na kutaka kurudi kwani baridi ilikuwa kali sana,”anasema Esha.
Msanii huyo alikuwa nchini Uingereza kurekodi filamu akiwa...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y8Xf2kBXWFm6*sqGkuxv8iy3Txrf0FG94EX9I4nqH9rlLT0NPEYPqd1uMBac*RIHq9uIrJKrmTXKu74TnpT-RnvsHUcI7VXQ/esha.jpg)
ESHA BUHETI AWASHANGAA WALIOKIMBIA UCHAGUZI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DbrwTSp7ycO-B*qq0ZBwtsl0LGWfBZeNeFhw7BOYh33zAmgYkquu*pQX9MGDSYzJ6HER-BbKP2xd1fTO4wo8Wchdjoo-I4b3/msung.jpg?width=650)
ESHA BUHETI AOGOPA DHAMBI YA KUJICHORA TATUU
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yO1JdgjIDGbsfs2VrfFRZJSnkmHVJFgJNaNY1Bi-kDS6rs1Z0ewrDugWqu23pOe23t15OUx9PCn7tcyZOHUsUQ5k9Cdfve*n/5.jpg?width=650)
ESHA BUHETI AAPA KIAPO CHA KIFO