Baridi ya Uingereza Ilimtesa Esha Buheti
MWIGIZAJI nyota wa kike Bongo Esha Buheti amefunguka kuwa baridi aliyokutana nayo nchini Uingereza hakutamani kuendelea kubaki London kwani toka azaliwe hajawahi kukutana na baridi kama aliyokutana na nayo huku, kwa alitamani kurudi Bongo.
wanasema kuna baridi Iringa sijui Tanga na sehemu nyinginezo lakini lile la London si baridi bali ni hatari, nilikuwa nimekata tamaa na kutaka kurudi kwani baridi ilikuwa kali sana,”anasema Esha.
Msanii huyo alikuwa nchini Uingereza kurekodi filamu akiwa...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/f*E8U3rGFXqrVJ-YCnvvP2ahJHGLFZC8SWXtRDHbyK*K9cI-pXE9P*zouURFTcLXolYglgahjcJHoaRSpuNG2iwmQDexQaqo/Buheti.gif?width=650)
ESHA BUHETI AKIRI KUCHEPUKA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rYXJV*jyRSlFm5C5RuYiivAmc0rU8Os8D7xRpbqc072zUVp56NCGz50eWyQwm8yfg6dc2Y*QEO-HTFOeNbHQnt9zNjtyx2Dc/esha.jpg)
ESHA BUHETI AKACHA KUIGIZA
9 years ago
Bongo Movies11 Nov
Tatuu Zamuumbua Esha Buheti
BAADA ya hivi karibuni wasanii wa filamu waliokuwa wapenzi, Wastara Juma na Bond Suleiman kutengana, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ameibuka na kumshauri staa huyo kukubaliana na matokeo.
Aunty Lulu aliyewahi kuwa mpenzi wa Bond, alimtaka mwenzake kukubaliana na matokeo kwani huenda muda ndiyo umefika na katika mapenzi, hilo ni jambo la kawaida.
“Sina la kuzungumza juu ya Bond maana sihusiani naye, mapenzi yalikuwa zamani ila kama uchumba umevunjika basi namshauri Wastara akubaliane tu na...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cDEmeB8bWGTRSOKNXYmj46XWVyLe3i5-XUEvSLqYeDauDzkpX3i2tPCsqclEEFWVorQ5thAaMN3yIpV*KeXu3fP50Yf9Or8E/esha.jpg)
TATUU ZAMUUMBUA ESHA BUHETI
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y8Xf2kBXWFm6*sqGkuxv8iy3Txrf0FG94EX9I4nqH9rlLT0NPEYPqd1uMBac*RIHq9uIrJKrmTXKu74TnpT-RnvsHUcI7VXQ/esha.jpg)
ESHA BUHETI AWASHANGAA WALIOKIMBIA UCHAGUZI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tV6jtHhMLWwnqqEAnVBtzmlshOUFO1wEFL0TVunN5npVTjLOo6l7YHV1edvUe8a6o43E3F0RSdLe-daIwIQEOBu-64WrdAJl/esha.jpg?width=650)
ESHA BUHETI ANANGWA, KISA MAKALIO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yO1JdgjIDGbsfs2VrfFRZJSnkmHVJFgJNaNY1Bi-kDS6rs1Z0ewrDugWqu23pOe23t15OUx9PCn7tcyZOHUsUQ5k9Cdfve*n/5.jpg?width=650)
ESHA BUHETI AAPA KIAPO CHA KIFO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DbrwTSp7ycO-B*qq0ZBwtsl0LGWfBZeNeFhw7BOYh33zAmgYkquu*pQX9MGDSYzJ6HER-BbKP2xd1fTO4wo8Wchdjoo-I4b3/msung.jpg?width=650)
ESHA BUHETI AOGOPA DHAMBI YA KUJICHORA TATUU
10 years ago
Bongo Movies21 Mar
Esha Buheti Atoboa Kinachoendelea Huko London
Mrembo na Staa wa Bongo Movies, Esha Buheti yupo nchini Uingereza akirekodi filamu huko iliyoandaliwa na Didas Entertainment ya inayomilikiwa na mtanzania anayeishi huko, Eshe yupo na wasanii wengine .
Wasanii walioambatana na msanii huyo ni pamoja na meneja wa kampuni hiyo kwa Bongo Husna Chobis, Yusuf Mlela wasanii hawa wanaungana na wasanii wengine kutoka nchini nyingine za Kiafrika sambamba na waingereza katika kurekodi sinema hiyo.
“Tunashukru tunaendelea vizuri katika kazi yetu...