Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ESHA BUHETI AOGOPA DHAMBI YA KUJICHORA TATUU

Stori: Imelda Mtema
MSANII wa filamu za Kibongo, Esha Buheti, amesema kuwa anaweza akafanya vitu vingi vya kujiremba lakini anaogopa sana kujichora tatuu kwani ni dhambi. Msanii wa filamu za Kibongo, Esha Buheti. Akizungumza na mwandishi wa habari hii,  Esha alisema kuwa kitu ambacho anahisi inaweza kuwa ni moja ya dhambi mbaya kabisa ni kujichora tatuu mwilini kwani katika dini yoyote au dhehebu lolote halikubali mtu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Tatuu Zamuumbua Esha Buheti

BAADA ya hivi karibuni wasanii wa filamu waliokuwa wapenzi, Wastara Juma na Bond Suleiman kutengana, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ameibuka na kumshauri staa huyo kukubaliana na matokeo.

Aunty Lulu aliyewahi kuwa mpenzi wa Bond, alimtaka mwenzake kukubaliana na matokeo kwani huenda muda ndiyo umefika na katika mapenzi, hilo ni jambo la kawaida.

“Sina la kuzungumza juu ya Bond maana sihusiani naye, mapenzi yalikuwa zamani ila kama uchumba umevunjika basi namshauri Wastara akubaliane tu na...

 

9 years ago

GPL

TATUU ZAMUUMBUA ESHA BUHETI

LICHA ya kula kiapo kuwa hatokuja kujichora tatuu ya aina yoyote mwilini mwake miezi kadhaa iliyopita, staa wa filamu Bongo, Esha Buheti hivi karibuni ameumbuka baada ya kunaswa akiwa na tatuu kibao mwilini mwake. Staa wa filamu Bongo, Esha Buheti. Tukio hilo lilitokea kwenye bethidei ya mwigizaji Wema Sepetu iliyofanyika katika Ukumbi wa Wema, Kijitonyama jijini Dar ambapo paparazi wetu baada ya kumfoitoa picha kadhaa mrembo...

 

10 years ago

GPL

ESHA BUHETI AKIRI KUCHEPUKA

Na Brighton Masalu
Mwigizaji Bongo, Esha Buheti, licha ya kuwa ndani ya ndoa, amekiri kuchepuka na mcheza mpira mmoja ambaye hakutaka kuweka wazi jina lake. Mwigizaji Bongo, Esha Buheti. Akizungumza na Ijumaa, Esha aliweka wazi hisia zake kuwa kwa sasa ana kifaa kipya chenye hadhi na amekuwa akitupia picha zake mitandaoni kisha anazitoa. “Najua wambeya watataka kumchunguza mpenzi wangu wa sasa ndiyo maana namuweka...

 

10 years ago

GPL

ESHA BUHETI AKACHA KUIGIZA

MREMBO asiye na majivuno kunako anga la filamu Bongo, Esha Buheti amenawa mikono kwenye ulingo wa filamu kutokana na kuchoshwa na malipo kiduchu anayoyapata kwenye tasnia hiyo na kugeukia kwenye mambo ya ujasiriamali. ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1hzjtor

 

9 years ago

GPL

ESHA BUHETI AWASHANGAA WALIOKIMBIA UCHAGUZI

Na Gladness Mallya MSANII wa filamu Bongo, Esha Buheti ameibuka na kuwashangaa wasanii na waliokimbia uchaguzi mkuu wakiacha haki yao ya msingi ya kupiga kura. Msanii wa filamu Bongo, Esha Buheti. Akipiga stori na gazeti hili, Esha alisema wasanii waliosafiri kwenda nchi jirani kuhofia vita na kuacha kupiga kura siyo wazalendo wa nchi yao, kwani jambo hilo ni muhimu na ni haki ya kila mmoja. “Siendi sehemu yoyote, niko Dar na...

 

10 years ago

Bongo Movies

Baridi ya Uingereza Ilimtesa Esha Buheti

MWIGIZAJI nyota wa kike Bongo Esha Buheti amefunguka kuwa baridi aliyokutana nayo nchini Uingereza hakutamani kuendelea kubaki London kwani toka azaliwe hajawahi kukutana na baridi kama aliyokutana na nayo huku, kwa alitamani kurudi Bongo.

wanasema kuna baridi Iringa sijui Tanga na sehemu nyinginezo lakini lile la London si baridi bali ni hatari, nilikuwa nimekata tamaa na kutaka kurudi kwani baridi ilikuwa kali sana,”anasema Esha.

Msanii huyo alikuwa nchini Uingereza kurekodi filamu akiwa...

 

10 years ago

GPL

ESHA BUHETI ANANGWA, KISA MAKALIO

Na Rhoda Josiah
MJINI kuna vituko! Kitendo cha kutojaaliwa makalio makubwa kwa staa wa filamu za Kibongo, Esha Buheti kimemsababishia anangwe na wasanii wenzake. Staa wa filamu za Kibongo, Esha Buheti. Akipiga stori na paparazi wetu, Esha alisema anafahamu na anawashangaa watu wanaoponda maeneo hayo ya mwili wake kwani kwa upande wake anaamini kuwa mwanamke sura, makalio majaaliwa kwani hata mwanaume aliyemuoa analijua hilo...

 

11 years ago

GPL

ESHA BUHETI AAPA KIAPO CHA KIFO

Stori: Shakoor Jongo
MUIGIZAJI Bora wa Kike 2014 kupitia Tuzo za Zanzibar Film Festival (Ziff), Esha Buheti ameapa kuwa iwapo atakuja kujichora tatuu au kufanya mapenzi ya jinsia moja, Mungu aingamize familia yake na kizazi chake chote. Muigizaji Bora wa Kike 2014 kupitia Tuzo za Zanzibar Film Festival (Ziff), Esha Buheti Esha alitoa kiapo hicho juzikati alipokuwa akijibu swali aliloulizwa na paparazi wetu kuhusiana na tuhuma...

 

10 years ago

GPL

ESHA BUHETI AJIAPIZA KIAPO CHA KIFO

STAA wa Bongo Movies, Esha Buheti amejiapiza kiapo cha kifo kwa kusema kuwa kama ipo siku atajaribu mchezo wa usagaji basi atakapomaliza tu litokee gari na kumkanyaga na kufa. Staa wa Bongo Movies, Esha Buheti. Akizungumza na mwandishi wetu, Esha alisema kuwa alishajiapiza kwa kutumia Msahafu ya kuwa kamwe hawezi kufanya tendo hilo akiamini kuwa liko kinyume kabisa na Mwenyezi Mungu. “Kwa kweli mimi nikifanya usagaji siku...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani