Dudu Baya: Alikiba na Diamond tengenezeni pesa, beef sio issue!!
Dudu Baya ametoa ushauri kwa wadogo zake Diamond Platnumz na Alikiba akiwaambia kuwa watambue nguvu yao na waitumie kutengeneza fedha pamoja na sio kuendekeza ugomvi. “Ninachowashauri hawa wadogo zangu watulie chini wajitambue ni wasanii na usanii wao ni wa kutengeneza pesa, tena watengeneze hata tour ya amani wazunguke nchi nzima, wazunguke hata Afrika Mashariki na […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo524 Dec
Dudu Baya kuuaga ukapera, January
![dudubaya3](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/06/dudubaya3-300x194.jpg)
Msanii mkongwe wa Hip Hop, Dudu Baya amesema hakuna kitu kinachomnyima usingizi kama maandalizi ya ndoa yake itakayofanyika January 2016.
Rapa huyo ambaye pia ni baba wa mtoto mmoja aitwae Wille, ameiambia Bongo5 kuwa huu ndio wakati wake sahihi wa kuoa na kukaa na familia.
“Hakuna kitu kinaniumiza kama ndoa,” alisema.
“Nafunga ndoa January kwa sababu tayari nimeshapitia maisha yote ya ujana na sasa ni wakati wa kutulia home na familia. Wille amekuwa, mwakani anaingia form one na ninakaa...
9 years ago
Mtanzania28 Dec
Dudu Baya kuuaga ukapera Januari
NA MWANDISHI WETU
MKONGWE wa muziki nchini, Dudu Baya, anatarajia kuachana na ukapera Januari mwakani ambapo atafunga ndoa.
Msanii huyo amedai kwamba katika maisha yake amefanikiwa kupitia mambo mengi ya ujana lakini kilichobaki kwa sasa ni kuishi maisha ya ndoa.
“Ninatarajia kufunga ndoa Januari mwakani kwa kuwa tayari nimepitia maisha mbalimbali ya ujana kilichobaki ni kukaa na familia.
“Ninaishi na mwanangu Wille na mwakani ataanza kidato cha kwanza, hivyo lazima nifunge ndoa niishi kama...
10 years ago
Bongo515 Aug
Babu Tale: Sidhani kama kuna beef kati ya Diamond na Alikiba
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/ubtjjB69Gtg/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-AyrWFzbm2jY/VQ1qq4IrSkI/AAAAAAAABHs/gUFIz8T7Bxc/s72-c/Dudu-Baya.jpg)
DUDU BAYA AIBA SIMU NA KUDAKWA LIVE BILA CHENGA
![](http://1.bp.blogspot.com/-AyrWFzbm2jY/VQ1qq4IrSkI/AAAAAAAABHs/gUFIz8T7Bxc/s1600/Dudu-Baya.jpg)
11 years ago
Bongo523 Jul
Alikiba aweka wazi chanzo cha beef kati yake na Diamond, akiri yeye ni shabiki wa nyimbo za Platnumz lakini….!
11 years ago
BBCSwahili07 Aug
Mapenzi sio pesa, roho inatosha
10 years ago
Bongo Movies24 Jun
Ujumbe: Tutafute Pesa Sio Kusengenyana-Ray
Pesa Ni Sabuni Ya Roho Hata Kama Mdogo Utaitwa Mzee Hata Kama Una Sura Ya Kawaida Utaitwa Handsome Boy Hata Kama Una Roho Mbaya Utaambiwa Una Roho Nzuri . SASA VIJANA WENZANGU TUPAMBANE KUTAFUTA PESA NA C KUSENGENYANA.. (MONEY TALKS)
raythegreatest on instagram
10 years ago
Bongo502 Sep
Wizkid aizungumzia beef yake na Davido, asema hana beef na mtu (video)