Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DUDU BAYA AIBA SIMU NA KUDAKWA LIVE BILA CHENGA

Msanii Dudubaya Ameingia katika Skendo nyingine baada ya kushutumiwa kutaka kuiba simu ya mdau mkubwa wa Twanga pepeta ajulikanae kama Mapao ambae alikuwa amekaa naye meza moja pale Mango Garden huku Twanga Peteta wakiburudisha Tarehe 14 March..Inasemekana Papa Mapao baada ya kutosheka na Burudani aliamka na kuondoka lakini baada ya kufika nje alishtuka kuwa ameacha simu mezani na kurudi lakini alikuta simu haipo na mtu aliyemwacha hapo ni Dudubaya ambae bado alikuwa hapa .Hali ilikuwa mbaya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAKONDA AMTWANGA CHUPA WARIOBA LIVE BILA CHENGA

Polisi na watu wengine wakijaribu kumtuliza jaji Warioba baada ya kupigwa chupa na Makonda kwenye mdahalo wa katiba uliofanyika leo na baadae kuvunjika kutokana na vurugu hizo.
Jaji Wariba akitulizwa na baadhi ya watu na polisi aliyekuwepo hapo kwenye mdahalo wa katiba uliofanyika leo Jumapili Novemba 2, 2014 jijini Dar.
Watu wakipata na mshangao wakijiuliza maswali mengi yasikua na majibuPalikua patashika nguo chanika
Kwa upande wake Gwiji La masuala ya habari nchini na Mhariri wa Gazeti la...

 

10 years ago

Vijimambo

MKE AVAA KININJA, AMFUATILIA MUMEWE, AMFUMANIA LIVE BILA CHENGA

MUME ATAKA KUKATA MSHIKO Mume huyo alipoulizwa juu ya tabia hiyo alikataa katakata kuongea na kuwambia makamanda wa OFM kuwa hayo mambo anaomba yaishie hapohapo kisha kuzama kwenye waleti na kutoa fedha.Hata hivyo, makamanda wetu walizikataa na kuendelea kufanya kazi yao kwa mujibu wa kiapo chao cha kutopokea hongo wala rushwa hivyo waliondoka eneo hilo wakimwacha mama Baraka akipambana na mumewe huku binti akiachiwa aende zake.Mdada akihamaki baada ya kufumaniwa.
Kwa mujibu wa mama Baraka,...

 

10 years ago

Vijimambo

HII NDIYO PROJECT YA WEMA NA OMMY DIMPOZ LIVE BILA CHENGA

Baada ya Ali kiba kuachia single mpya iitwayo Cheka Chaketua hivi karibuni, sasa basi good news ninayotaka kukusogezea ni kwamba Omary Nyembo aka Ommy Dimpoz ameshare nasi hizi kava nne zinazokaribisha ujio wa single yake mpya iitwayo Wanjera inayotarajiwa kuachia kesho tarehe 13, 2015.Kwenye kava hizo zinamuonesha Ommy Dimpoz yuko na msanii wa Bongo Movies, Wema Sepetu.Credit:Millard Ayo:com

 

9 years ago

Mtanzania

Dudu Baya kuuaga ukapera Januari

Dudu BayaNA MWANDISHI WETU

MKONGWE wa muziki nchini, Dudu Baya, anatarajia kuachana na ukapera Januari mwakani ambapo atafunga ndoa.

Msanii huyo amedai kwamba katika maisha yake amefanikiwa kupitia mambo mengi ya ujana lakini kilichobaki kwa sasa ni kuishi maisha ya ndoa.

“Ninatarajia kufunga ndoa Januari mwakani kwa kuwa tayari nimepitia maisha mbalimbali ya ujana kilichobaki ni kukaa na familia.

“Ninaishi na mwanangu Wille na mwakani ataanza kidato cha kwanza, hivyo lazima nifunge ndoa niishi kama...

 

9 years ago

Bongo5

Dudu Baya kuuaga ukapera, January

dudubaya3

Msanii mkongwe wa Hip Hop, Dudu Baya amesema hakuna kitu kinachomnyima usingizi kama maandalizi ya ndoa yake itakayofanyika January 2016.

dudubaya3

Rapa huyo ambaye pia ni baba wa mtoto mmoja aitwae Wille, ameiambia Bongo5 kuwa huu ndio wakati wake sahihi wa kuoa na kukaa na familia.

“Hakuna kitu kinaniumiza kama ndoa,” alisema.

“Nafunga ndoa January kwa sababu tayari nimeshapitia maisha yote ya ujana na sasa ni wakati wa kutulia home na familia. Wille amekuwa, mwakani anaingia form one na ninakaa...

 

11 years ago

Bongo5

Dudu Baya: Alikiba na Diamond tengenezeni pesa, beef sio issue!!

Dudu Baya ametoa ushauri kwa wadogo zake Diamond Platnumz na Alikiba akiwaambia kuwa watambue nguvu yao na waitumie kutengeneza fedha pamoja na sio kuendekeza ugomvi. “Ninachowashauri hawa wadogo zangu watulie chini wajitambue ni wasanii na usanii wao ni wa kutengeneza pesa, tena watengeneze hata tour ya amani wazunguke nchi nzima, wazunguke hata Afrika Mashariki na […]

 

10 years ago

GPL

PENZI LA LUPITA NYONG’O NA K’NAAN SASA LIVE BILA CHENGA

Lupita Nyong’o na K’Naan. WASANII maarufu kutoka Afrika wanaotamba katika ngazi za kimataifa --  K’Naan kutoka Somalia aliyetamba sana na wimbo wake wa Kombe la Dunia mwaka 2010 na mwanadada wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kushinda Tuzo za Oscar, Lupita Nyong’o,  wameonekana wakiwa pamoja katika mgahawa mmoja huko Brooklyn, Marekani. Mwanadada wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kushinda Tuzo...

 

10 years ago

Vijimambo

LAIVU BILA CHENGA WEMA SEPETU DODOMA

Siku ya mkesha wa mwaka mpya kulifanyika Bonge la Party ndani ya Ukumbi wa Matei lounge ambapo team nzuma ya Endeless Fame walikinukisha pande hizo huku kukiwa na maelfu ya wakazi wa Dodoma waliohudhuria Party hiyo..Katika Party hiyo wema Sepetu alipoingika katika ukumbi wa Matei Lounge alikuwa yuko poa yani namaanisha alikuwa hajagida kilevi chochote...Ila baada ya muda wa kama Nusu saa Madam Wema alionekana kuwa karibu na Meneja wa Boss Ngasa Tz ambaye anajulikana kwa jina la Meneja Erick...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani