HII NDIYO PROJECT YA WEMA NA OMMY DIMPOZ LIVE BILA CHENGA
Baada ya Ali kiba kuachia single mpya iitwayo Cheka Chaketua hivi karibuni, sasa basi good news ninayotaka kukusogezea ni kwamba Omary Nyembo aka Ommy Dimpoz ameshare nasi hizi kava nne zinazokaribisha ujio wa single yake mpya iitwayo Wanjera inayotarajiwa kuachia kesho tarehe 13, 2015.Kwenye kava hizo zinamuonesha Ommy Dimpoz yuko na msanii wa Bongo Movies, Wema Sepetu.Credit:Millard Ayo:com
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog31 Aug
Washington DC habari ya mujini ni Shilole na Ommy Dimpoz Live Jumapili hii Sept 6 sikukuu ya Labor Day
![](http://4.bp.blogspot.com/-wkCfZFGKebY/Vd6pkKXss-I/AAAAAAAATaQ/Jbgjf80AlqI/s640/OMMY%2BSHISHI%2BOC%2B3.jpg)
10 years ago
CloudsFM10 Feb
Picha za Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kimahaba zilipigwa usiku ‘mnene’,Dimpoz adai hakuwa na fahamu.
Zile picha za mahaba zilizosambaa kwenye mitandao zikimuonyesha Staa wa Bongo Fleva,Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kitandani zimezidi kuzua utata baada ya Ommy kusema hakujua alipigwa saa ngapi kwani hakuwa na fahamu bali aulizwe Wema.
Ommy amezungumza na Uheard na Soudy Brown alisema kuwa hana maelezo zaidi ya kuzungumza zaidi ya kusema kuwa hajui ni muda upi zilipigwa picha hizo.
Wiki hii picha hizo zilisambaa mitandaoni na kuzua maswali kuwa Ommy Dimpoz ameamua kujiweka kwa Wema baada ya...
10 years ago
VijimamboLAIVU BILA CHENGA WEMA SEPETU DODOMA
10 years ago
Vijimambo07 Oct
USIJE UKAMTAFUTA MCHAWI KWENYE NDOA YAKO HABARI NDIYO HII JITIRIRSHE MWENYEWE LIVE BILA KING'AMUZI
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/590/amz/worldservice/live/assets/images/2014/10/07/141007141807_short_men_1.jpg)
Wanaume ambao ni wafupi kwa kimo mara nyingi wanasifika kuwa waume bora kuliko wanaume warefu.
Pia inaarifiwa huwa na busara zaidi kufidia kimo chao, amekiri Adam Gopnik, mwanamme mmoja wenye umbo dogo.Wiki kadhaa zilizopita, wana soshologia wawili kutoka Chuo Kikuu cha New York, walichapisha waraka mrefu ulioangalizia maisha ya watu wafupi.
Utafiti wao ulizua mjadala mkali kutoka kwa kile kinachoweza kusemekana kuwa...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-J76miZuFhFs/VFaRAG0Bn3I/AAAAAAADMEo/9e4CYR6LKzU/s72-c/460d1635680a56656d6cf60da6b69d89.jpg)
MAKONDA AMTWANGA CHUPA WARIOBA LIVE BILA CHENGA
![](http://2.bp.blogspot.com/-J76miZuFhFs/VFaRAG0Bn3I/AAAAAAADMEo/9e4CYR6LKzU/s1600/460d1635680a56656d6cf60da6b69d89.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-lJlLQivegVQ/VFaRAOyHVaI/AAAAAAADMEs/8EvkaBWtMjY/s1600/a3dddd0632c0910e452897e99fb543b3.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-unHWENmRZ7c/VFZ20jcCbEI/AAAAAAAAHh8/PcgJv2UG3Pk/s1600/10421163_1509450082674572_8761469456438407104_n.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-L8JTxuuFIj4/VFaKUQfZDHI/AAAAAAAGvGM/Hmf-nIvwcEc/s640/IMG-20141102-WA0013.jpg)
Kwa upande wake Gwiji La masuala ya habari nchini na Mhariri wa Gazeti la...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-AyrWFzbm2jY/VQ1qq4IrSkI/AAAAAAAABHs/gUFIz8T7Bxc/s72-c/Dudu-Baya.jpg)
DUDU BAYA AIBA SIMU NA KUDAKWA LIVE BILA CHENGA
![](http://1.bp.blogspot.com/-AyrWFzbm2jY/VQ1qq4IrSkI/AAAAAAAABHs/gUFIz8T7Bxc/s1600/Dudu-Baya.jpg)
10 years ago
Vijimambo13 Mar
MKE AVAA KININJA, AMFUATILIA MUMEWE, AMFUMANIA LIVE BILA CHENGA
Kwa mujibu wa mama Baraka,...
10 years ago
Bongo Movies14 Feb
Ommy Dimpoz Anogewa na Penzi la Wema!
Mahaba: Mwanamuziki Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ ameamua kukiri wazi kuwa ananogewa na penzi la Wema Sepetu ‘Madame’.
Akizungumza na wa GPL Februari 11, mwaka huu maeneo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Dimpoz alisema anawashangaa sana watu kuendelea kumsakama juu ya uhusiano wake na Madame wakati yeye anafahamu shemeji yake kwa Nasibu Abdul ‘Diamond’ ni Zarina Hassan ‘Zari’ kwa sasa.
“Nashindwa kuelewa kuna watu wamekuwa wakinitumia ujumbe eti Diamond atanimaindi kwa ukaribu wangu na...
10 years ago
Mtanzania19 Feb
Ommy Dimpoz: Wema siyo mpenzi wangu
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, amesema anashangazwa na uvumi unaoendelea kuwa yupo katika uhusiano na mwigizaji wa filamu, Wema Sepetu.
Akielezea kuhusu picha zilizosambaa kwenye mitandano ya kijamii, Ommy Dimpoz, alisema walikuwa Afrika Kusini kwa mapumziko ndipo picha hizo zilipopigwa.
“Tunapiga picha nyingi sana na Wema, hii siyo mara ya kwanza, lakini sijui kwanini hizi zimetengeneza taswira nyingine kwa mashabiki,”...