LAIVU BILA CHENGA WEMA SEPETU DODOMA
Siku ya mkesha wa mwaka mpya kulifanyika Bonge la Party ndani ya Ukumbi wa Matei lounge ambapo team nzuma ya Endeless Fame walikinukisha pande hizo huku kukiwa na maelfu ya wakazi wa Dodoma waliohudhuria Party hiyo..
Katika Party hiyo wema Sepetu alipoingika katika ukumbi wa Matei Lounge alikuwa yuko poa yani namaanisha alikuwa hajagida kilevi chochote...Ila baada ya muda wa kama Nusu saa Madam Wema alionekana kuwa karibu na Meneja wa Boss Ngasa Tz ambaye anajulikana kwa jina la Meneja Erick...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo13 Mar
HII NDIYO PROJECT YA WEMA NA OMMY DIMPOZ LIVE BILA CHENGA




10 years ago
Bongo Movies12 Aug
Picha: Wema Sepetu na Steve Nyerere Wakiwa Ikulu ya Dodoma na Rais Kikwete
Hizi ni baadhi ya picha za mastaa wabongo movies, Wema Sepetu na Steve Nyerere zilizo trend siku ya leo kwenye mtandao wa instagram wakiwa na Rais Kitwete Ikulu ndogo, Dodoma.
“Wakati nyie mnaongea upuuzi… Yangu yaninyookea….. Alhamdulillah… Wa moja havai mbili… Abadan asilan…. Earlier today… Ikulu… Dodoma… Thank u Mr.President”-Wema aliandika hayo kwenye moja ya picha hizo.
Kwa maneno hayo, inawezekana mastaa hawa wakawa wamepata shavu kutoka kwa...
11 years ago
Vijimambo
MAKONDA AMTWANGA CHUPA WARIOBA LIVE BILA CHENGA




Kwa upande wake Gwiji La masuala ya habari nchini na Mhariri wa Gazeti la...
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Vijimambo
DUDU BAYA AIBA SIMU NA KUDAKWA LIVE BILA CHENGA

10 years ago
Vijimambo13 Mar
MKE AVAA KININJA, AMFUATILIA MUMEWE, AMFUMANIA LIVE BILA CHENGA
Kwa mujibu wa mama Baraka,...
11 years ago
GPL
PENZI LA LUPITA NYONG’O NA K’NAAN SASA LIVE BILA CHENGA
10 years ago
Bongo Movies27 May
'Wema Sepetu Msamehe Kajala' Mashabiki Wamlilia Wema
Ikiwa ni masaa kadhaa yamepita toka msanii wa filamu nchini Kajala Masanja kufunguka ya moyoni juu ya Wema Sepetu na Petit Man na kueleza kuwa kamwe katika maisha yake ya hapa Duniani hawezi kusahau fadhila na moyo wa upendo ambao
ulioneshwa na watu wao kipindi ambacho alikuwa na matatizo na jinsi walivyoweza kujitolea mpaka kufikia hatua ya kuweza kumsaidia katika matatizo ambayo alikuwa anakabiliana nayo kwa kipindi kile.
Kajala alifunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instgram na...