Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dudu Baya kuuaga ukapera, January

dudubaya3

Msanii mkongwe wa Hip Hop, Dudu Baya amesema hakuna kitu kinachomnyima usingizi kama maandalizi ya ndoa yake itakayofanyika January 2016.

dudubaya3

Rapa huyo ambaye pia ni baba wa mtoto mmoja aitwae Wille, ameiambia Bongo5 kuwa huu ndio wakati wake sahihi wa kuoa na kukaa na familia.

“Hakuna kitu kinaniumiza kama ndoa,” alisema.

“Nafunga ndoa January kwa sababu tayari nimeshapitia maisha yote ya ujana na sasa ni wakati wa kutulia home na familia. Wille amekuwa, mwakani anaingia form one na ninakaa...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Dudu Baya kuuaga ukapera Januari

Dudu BayaNA MWANDISHI WETU

MKONGWE wa muziki nchini, Dudu Baya, anatarajia kuachana na ukapera Januari mwakani ambapo atafunga ndoa.

Msanii huyo amedai kwamba katika maisha yake amefanikiwa kupitia mambo mengi ya ujana lakini kilichobaki kwa sasa ni kuishi maisha ya ndoa.

“Ninatarajia kufunga ndoa Januari mwakani kwa kuwa tayari nimepitia maisha mbalimbali ya ujana kilichobaki ni kukaa na familia.

“Ninaishi na mwanangu Wille na mwakani ataanza kidato cha kwanza, hivyo lazima nifunge ndoa niishi kama...

 

10 years ago

Vijimambo

DUDU BAYA AIBA SIMU NA KUDAKWA LIVE BILA CHENGA

Msanii Dudubaya Ameingia katika Skendo nyingine baada ya kushutumiwa kutaka kuiba simu ya mdau mkubwa wa Twanga pepeta ajulikanae kama Mapao ambae alikuwa amekaa naye meza moja pale Mango Garden huku Twanga Peteta wakiburudisha Tarehe 14 March..Inasemekana Papa Mapao baada ya kutosheka na Burudani aliamka na kuondoka lakini baada ya kufika nje alishtuka kuwa ameacha simu mezani na kurudi lakini alikuta simu haipo na mtu aliyemwacha hapo ni Dudubaya ambae bado alikuwa hapa .Hali ilikuwa mbaya...

 

11 years ago

Bongo5

Dudu Baya: Alikiba na Diamond tengenezeni pesa, beef sio issue!!

Dudu Baya ametoa ushauri kwa wadogo zake Diamond Platnumz na Alikiba akiwaambia kuwa watambue nguvu yao na waitumie kutengeneza fedha pamoja na sio kuendekeza ugomvi. “Ninachowashauri hawa wadogo zangu watulie chini wajitambue ni wasanii na usanii wao ni wa kutengeneza pesa, tena watengeneze hata tour ya amani wazunguke nchi nzima, wazunguke hata Afrika Mashariki na […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Andy Murry kuuaga ukapera

Ni mwaka wenye hadhi na uzito kwa mcheza tennis Andy Murray, hali hiyo si tu kutokana na matumaini yake mapya.

 

10 years ago

Bongo5

Tu8 January haina uhusiano wowote na January Makamba — Fid Q

Rapper Fareed Kubanda aka Fid Q amedai kuwa kampeni aliyoanzisha mwaka jana ya Tu8 January ambayo ilishuhudia kufanyika kwa ziara za wasanii katika baadhi ya maeneo nchini, haina uhusiano wowote na January Makamba. Akiongea kwenye kipindi cha Mambo Mseto cha Radio Citizen ya Kenya, Fid alisema kampeni hiyo ilijihusisha na kuwataka vijana kujitokeza kwenda kujiandikisha […]

 

10 years ago

GPL

TAMASHA LA TUONANE JANUARY (TUO8 JANUARY) LAFANA MJINI MOROGORO

Wasanii wa Hip hop katika anga ya muziki wa Bongofleva,Faridi Kubanda a.k.a Fid Q pamoja na Stamina wakilishambulia jukwaa kwenye tamasha la wazi la Tuo8January,hapo jana katika viwanja vya sabasaba mjini Morogoro. Msanii mwingine wa hip hop katika anga ya Bongofleva,ambaye amekuwa akifanya vyema kwenye muziki huo,Niki wa Pili akitumbuiza katika jukwaa la wazi la Tuo8Januari… ...

 

10 years ago

Mwananchi

January,makamba,wanaCCM,halmashauri,Taifa,January,Membe,wagombea,mapinduzi,chama,maoni,Amina,Migiro

Wagombea wa urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) wametoa maoni yao kwa kupitishwa katika tano bora.

 

9 years ago

Vijimambo

Nay wa Mitego Amvaa January Makamba..Adai January Ndio Mnunuzi Mkuu wa Akina Dr Slaa, Lupumba, Twaweza na Wasanii


Msanii wa bongo fleva, Nay wa Mitego amemvaa mjumbe wa kamati ya Kampeni ya CCM,January Makamba na kudai yeye ni mnunuaji mkuu wa tafiti na wasanii kwa lengo la kukisaidia chama chake.Nay alimjibu January Makamba aliyepost ujumbe ukionyesha kushangaa tuhuma dhidi ya CCM kuwa imekuwa ikinunua wanasiasa,tafiti pamoja na wasanii kwa lengo la kuulaghai umma.
"Zitto kanunuliwa. Slaa kanunuliwa. Lipumba kanunuliwa. Twaweza imenunuliwa. Synovate...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani