Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania inahitaji walimu laki nne ifikapo mwaka 2030

Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, (UNESCO) hivi karibuni limetoa ripoti inayoonyesha Tanzania itahitaji angalau walimu 406,600, ifikapo mwaka 2030.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Gesi chafu kupunguzwa hadi ifikapo 2030

Muungano wa Ulaya wakubaliana kupunguza mabadiliko ya hali ya hewa kwa kupunguza gesi chafu kwa asilimia 40.

 

10 years ago

Vijimambo

Tanzania ifikapo mwaka 2025.

Watanzania wana matarajio mengi kuhusu maisha yao ya baadayeWananchi wanamatumaini kuwa nchi itakuwa yenye uchumi wa kati ifikapo 20254 Desemba 2014, Dar es Salaam: Zaidi ya nusu ya wananchi (54%) wanafikiri kuwa maisha yao yatakuwa bora zaidi ifikapo mwaka 2025. Huu ndio mtazamo wa wananchi wakio katika makundi yote- vijana kwa wazee, wanaume kwa wanawake, na wakazi wa vijijini na mijini. Mtazamo huu ni tofauti kabisa na ule wa nchi za Marekani na Ulaya ambapo karibu wananchi saba kati ya...

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania kufikia kipato cha kati ifikapo mwaka 2025

Na Greyson Mwase, Ujerumani

Tanzania inatarajiwa kuondoka kwenye kundi la nchi masikini na  kuhamia kwenye kundi la nchi zenye kipato cha kati ifikapo mwaka 2025. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo alipokuwa akifungua  kongamano linaloendelea huko Berlin nchini Ujerumani  kama njia mojawapo ya kuadhimisha jubilee ya miaka 50 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Kongamano hilo  linakutanisha wadau mbalimbali ikiwa ni pamoja na mabalozi, wataalamu...

 

9 years ago

Mwananchi

Kilichoharibu kura laki nne hadharani

Kutokujua kusoma, uelewa mdogo na ukosefu wa elimu ya mpiga kura, ni mambo ambayo yamechangia kwa kiasi kikubwa kuharibika kura katika uchaguzi uliofanyika wiki iliyopita.

 

10 years ago

Bongo5

Mixtape ya kushtukiza ya Drake ‘IYRTITL’ kuuza kopi zaidi ya laki nne katika wiki ya kwanza

Surprise ndio mpango kwa sasa. Mixtape ya kushtukiza ya Drake, If You’re Reading This It’s Too Late iliyoachiwa usiku wa Alhamis, inatarajiwa kuuza kopi zaidi ya laki nne katika wiki yake ya kwanza kwa mujibu wa Billboard. Mixtape hiyo yenye nyimbo 17 inaweza kukamata nafasi ya kwanza kwenye chart ya Billboard 200 kwa kuuza zaidi […]

 

10 years ago

Vijimambo

MWAKA 2030 UWE MWISHO WA TOFAUTI YA USAWA WA KIJINSIA-UN

 Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Ramadhan Mwinyi akiwa na  wajumbe  kutoka Zanzibar  waliohudhuria mkutano wa  59 wa CSW Anna Maembe,  Katibu Mkuu,  Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto akifuatilia  hitimisho la Mkutano wa 59 wa Kamisheni kuhusu Hadhi ya  Wanawake. Nyuma yake  ni  Mhe. Jaji Angela Kileo Sehemu ya Ujumbe wa Tanzania wakifuatilia  uhitimishwaji wa  Mkutano wa  59 wa  CSW

Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

 

5 years ago

Michuzi

Naibu waziri Uujenzi aagiza kipande cha barabara Njombe-Moronga kikamilishwe ifikapo mwezi Octoba Mwaka huu.

Na Amiri kilagalila,Njombe Naibu waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi  Elias kwandikwa amemuagiza mkandarasi anayejenga barabara ya Njombe kuelekea wilayani Makete kipande cha Njombe-Moronga kuhakikisha anakamilisha ujenzi  wa kipande hicho na kuhakikisha imekamilika ifikapo mwezi Oktoba mwaka huu. Agizo hilo amelitoa wakati akikagua ujenzi wa barabara hiyo katika ziara yake ya kikazi ya siku moja ambapo amesema anataka kuona ujenzi huo unakamilika ili wananchi waendelee...

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Augustine Mahiga atembelea AICC na Laki Laki Arusha

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Kanda na Kimataifa, Balozi Augustine Mahiga(kulia)akiwasili kwenye  kituo cha mikutano cha  kimataifa cha Arusha International Conference Center (AICC) ambacho ni sehemu ya Wizara hiyo,kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa AICC, Elishilia Kaaya. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kanda na Kimataifa, Balozi Augustine Mahiga akisaini kitabu cha wageni. Mkurugenzi Mtendaji wa  Arusha International Conference Center...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani