Mixtape ya kushtukiza ya Drake ‘IYRTITL’ kuuza kopi zaidi ya laki nne katika wiki ya kwanza
Surprise ndio mpango kwa sasa. Mixtape ya kushtukiza ya Drake, If You’re Reading This It’s Too Late iliyoachiwa usiku wa Alhamis, inatarajiwa kuuza kopi zaidi ya laki nne katika wiki yake ya kwanza kwa mujibu wa Billboard. Mixtape hiyo yenye nyimbo 17 inaweza kukamata nafasi ya kwanza kwenye chart ya Billboard 200 kwa kuuza zaidi […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo526 Nov
Album ya Adele ‘25’ kuuza nakala milioni 3 Marekani pekee kwenye wiki ya kwanza

Album mpya ya Adele, 25 inatarajiwa kuuza nakala milioni 3 nchini Marekani katika wiki yake ya kwanza kwa mujibu wa kampuni ya Nielsen Music.
Hadi November 24 album hiyo ilikuwa imeuza kopi milioni 2.8. Miongoni mwa hizo, milioni 1.45 zimeuzwa mtandaoni kwenye iTunes.
25 imeshazidi hadi rekodi ya mauzo ya album kwa wiki mbili tangu kampuni ya Nielsen ilivyoanza kufuatilia mauzo ya album mwaka 1991.
Rekodi ya awali ilishikiliwa na album ya *NSYNC, No Strings Attached iliyouza kopi 2,416,000...
9 years ago
Bongo528 Nov
Chris Brown aachia mixtape mpya ‘Before The Party’ kwa kushtukiza

Chris Brown amewa-surprise mashabiki wake #TeamBreezy kwa kuachia Mixtape ya kushtukiza ‘Before The Party’ siku ya Ijumaa November 27.
Mixtape hiyo imetoka wiki chache kabla hajaachia rasmi album yake mpya ‘Royalty’ itakayotoka Dec.18.
#BeforeTheParty is available now! This is for you #TeamBreezy! #BlackFriday #Royalty https://t.co/qnGLM4Lznw pic.twitter.com/RCB8XjveAw
— Chris Brown (@chrisbrown) November 27, 2015
‘Before The Party’ ina jumla ya nyimbo 34, zikiwemo collabo ambazo hazikuwahi...
10 years ago
Bongo513 Feb
Drake aachia albam mpya ‘If You’re Reading This It’s Too Late’ kwa kushtukiza
10 years ago
Bongo526 Feb
Nyimbo zote 17 za mixtape/album ya Drake zaingia kwenye chart ya Billboard R&B/Hip-Hop Songs
10 years ago
Bongo514 Feb
Drake amdiss Tyga kwenye mixtape mpya ‘If You’re Reading This It’s Too Late’ , Tyga amjibu
10 years ago
Mwananchi02 Nov
Kilichoharibu kura laki nne hadharani
10 years ago
Bongo518 Dec
2014 Forest Hills Drive ya J.Cole yawa album ya hip hop iliyouza zaidi kwenye wiki ya kwanza mwaka huu
11 years ago
Mwananchi21 Oct
Tanzania inahitaji walimu laki nne ifikapo mwaka 2030
9 years ago
Bongo530 Nov
Album ya Adele yavunja rekodi Marekani, yauza nakala milioni 3.38 katika wiki ya kwanza

Album mpya ya Adele, 25 imevunja rekodi kwa kuuza nakala milioni 3.38 katika wiki yake ya kwanza nchini Marekani pekee, kwa mujibu wa taarifa za Nielsen Music.
Staa huyo wa Uingereza amevunja rekodi hiyo tangu Nielsen ianze kufuatilia mauzo ya album mwaka 1991. 25 iliyotoka Novemba 20 imekuwa pia album ya kwanza kuuza nakala nyingi zaidi katika wiki ya kwanza.
Kwa Uingereza, 25 imevunja pia rekodi kwa kuuza nakala 800,000 katika wiki yake ya kwanza.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!!...