Chris Brown aachia mixtape mpya ‘Before The Party’ kwa kushtukiza
Chris Brown amewa-surprise mashabiki wake #TeamBreezy kwa kuachia Mixtape ya kushtukiza ‘Before The Party’ siku ya Ijumaa November 27.
Mixtape hiyo imetoka wiki chache kabla hajaachia rasmi album yake mpya ‘Royalty’ itakayotoka Dec.18.
#BeforeTheParty is available now! This is for you #TeamBreezy! #BlackFriday #Royalty https://t.co/qnGLM4Lznw pic.twitter.com/RCB8XjveAw
— Chris Brown (@chrisbrown) November 27, 2015
‘Before The Party’ ina jumla ya nyimbo 34, zikiwemo collabo ambazo hazikuwahi...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers17 Dec
Chris Brown Aachia Ngoma Mpya Nyingine – Little More
Cover ya album mpya ‘Royalty’ ya Chris Brown
BAADA ya kuachia ngoma zake mfululizo, staa wa muziki wa Pop, Chris Brown ameendeleza mfululizo wake kwa kutoa ngoma mpya ijulikanayo kama Little More ambayo itapatikana kwenye albamu yake mpya ya Royalty atakayoiachia kesho Ijumaa Desemba 18.
Ngoma zake nyingine zilizotangulia kutoka kwenye albamu hiyo ni Zero, Fine By Me, Back to Sleep, Anyway aliyomshirikisha Tayla Parxy pamoja na Wrist aliyomshirikisha Solo Lucci.
Imeandaliwa na Andrew...
9 years ago
Bongo504 Dec
Producer wa ‘Speak With Ur Body’ ya AY, Riley na wa ‘Touch Me’ Zaire, wametengeneza ngoma hii ya mixtape mpya ya Chris Brown

Producer wa hit single ya AY ‘Speak With Your Body’ aliyowashirikisha wamarekani, Romeo na Lamyia Good, Riley pamoja na yule aliyetayarisha ngoma yake ‘Touch Me’ aliyomshirikisha Sean Kingston, Zaire Koalo wamechangia wimbo mmoja kwenye mixtape mpya ya Chris Brown.
Mixtape hiyo yenye nyimbo 34, Before The Party ilitoka kwa kushtukiza siku kadhaa zilizopita. Riley na Zaire wametayarisha wimbo uitwao Second Hand Love’ uliomo kwenye mixtape hiyo.
“Check out @chrisbrownofficial new project...
11 years ago
Bongo523 Aug
New Song: Chris Brown aachia single mpya inayobeba jina la album yake ‘X’
11 years ago
Bongo515 Aug
New Music Video: Chris Brown aachia video mpya ya ‘New Flame’ Feat. Usher & Rick Ross
10 years ago
Bongo513 Feb
Drake aachia albam mpya ‘If You’re Reading This It’s Too Late’ kwa kushtukiza
9 years ago
Bongo530 Nov
Trey Songz aachia mixtape mpya ‘Kwa Yeyote Anayehusika’, isikilize yote hapa

Baada ya Chris Brown, Rick Ross, Lil Wayne na wengine kuachia mixtape zao hivi karibuni, Muimbaji wa RnB, Trey Songz na yeye ametoa ya kwake.
Trey Songz ameachia mixtape yake inayoitwa ‘To Whom It May Concern’ (Kwa yeyote anayehusika) kwenye siku yake ya kuzaliwa Nov. 28 ambapo sasa amefikisha umri wa miaka 31.
TO WHOM IT MAY CONCERN TRACKLISTING
1. “Blessed” (prod. by Mano)
2. “Everybody Say” feat. MIKExANGEL and Dave East (prod. by Mano)
3. “Walls” feat. MIKExANGEL and Chisanity (prod. by...
9 years ago
Bongo507 Nov
Diddy aachia Mixtape mpya ‘MMM’ bure kama zawadi ya birthday yake (Isikilize yote)

Jumatano ya November 4 ilikuwa ni birthday ya Sean John Combs maarufu kama Diddy ambaye amefikisha miaka 46.
Katika kusheherekea birthday yake, rapper huyo mkongwe aliamua kuwa-surprise mashabiki wake kwa kuachia mixtape mpya ‘MMM’ (Money Making Mitch) ambayo ameitoa bure kwa yeyote anayetaka kudownload.
“Good Afternoon World!! Today is a big day!!! I am releasing a SONIC MOTION PICTURE, which is FREE and AVAILABLE EVERYWHERE. I want to thank everybody that has supported me over the years...
10 years ago
Dewji Blog31 Oct
DJ Kflip aachia mixtape nyingine kwa youtube isikilize kwa mara ya kwanza hapa
Breakfast mix is a radio show mixed by DJ K FLIP Every Monday to Friday 7am to 10am (EAT)… Download JEMBE FM APP on GOOGLE PLAYSTORE to listen worldwide.
Akizungumza na Gsengo Blog DJ huyo anayepiga mzigo ndani ya moja ya Hottest radio station inayo kuja kwa kasi toka pande za Rock City, amesema kuwa huo ni mwanzo wa mpango wake wa kuachia Mix Tape kila wiki kupitia Youtube na rasmi ameanza kufanya hivyo wiki hii (leo) yenye historia kwa taifa la Tanzania ambapo taifa linashuhudia...
11 years ago
GPL23 Aug