Chris Brown Aachia Ngoma Mpya Nyingine – Little More
Cover ya album mpya ‘Royalty’ ya Chris Brown
BAADA ya kuachia ngoma zake mfululizo, staa wa muziki wa Pop, Chris Brown ameendeleza mfululizo wake kwa kutoa ngoma mpya ijulikanayo kama Little More ambayo itapatikana kwenye albamu yake mpya ya Royalty atakayoiachia kesho Ijumaa Desemba 18.
Ngoma zake nyingine zilizotangulia kutoka kwenye albamu hiyo ni Zero, Fine By Me, Back to Sleep, Anyway aliyomshirikisha Tayla Parxy pamoja na Wrist aliyomshirikisha Solo Lucci.
Imeandaliwa na Andrew...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo528 Nov
Chris Brown aachia mixtape mpya ‘Before The Party’ kwa kushtukiza
![chris-brown-btp](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/chris-brown-btp-300x194.jpg)
Chris Brown amewa-surprise mashabiki wake #TeamBreezy kwa kuachia Mixtape ya kushtukiza ‘Before The Party’ siku ya Ijumaa November 27.
Mixtape hiyo imetoka wiki chache kabla hajaachia rasmi album yake mpya ‘Royalty’ itakayotoka Dec.18.
#BeforeTheParty is available now! This is for you #TeamBreezy! #BlackFriday #Royalty https://t.co/qnGLM4Lznw pic.twitter.com/RCB8XjveAw
— Chris Brown (@chrisbrown) November 27, 2015
‘Before The Party’ ina jumla ya nyimbo 34, zikiwemo collabo ambazo hazikuwahi...
10 years ago
Bongo523 Aug
New Song: Chris Brown aachia single mpya inayobeba jina la album yake ‘X’
10 years ago
Bongo515 Aug
New Music Video: Chris Brown aachia video mpya ya ‘New Flame’ Feat. Usher & Rick Ross
9 years ago
Bongo504 Dec
Producer wa ‘Speak With Ur Body’ ya AY, Riley na wa ‘Touch Me’ Zaire, wametengeneza ngoma hii ya mixtape mpya ya Chris Brown
![12317815_1527711034213834_727218960_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12317815_1527711034213834_727218960_n-300x194.jpg)
Producer wa hit single ya AY ‘Speak With Your Body’ aliyowashirikisha wamarekani, Romeo na Lamyia Good, Riley pamoja na yule aliyetayarisha ngoma yake ‘Touch Me’ aliyomshirikisha Sean Kingston, Zaire Koalo wamechangia wimbo mmoja kwenye mixtape mpya ya Chris Brown.
Mixtape hiyo yenye nyimbo 34, Before The Party ilitoka kwa kushtukiza siku kadhaa zilizopita. Riley na Zaire wametayarisha wimbo uitwao Second Hand Love’ uliomo kwenye mixtape hiyo.
“Check out @chrisbrownofficial new project...
9 years ago
MillardAyo03 Jan
Chris Brown kwenye tuhuma nyingine za kumpiga mwanamke…
Staa wa R&B wa Marekani Chris Brown amekuwa haishiwi headlines..baada ya matukio mfululizo yakimuhusisha na Polisi, headlines zimerudi tena kwake. Ukiachia lile tukio la kumpiga mwanamuziki mwenzake Rihanna mwaka 2009 na kutakiwa kutojihusisha na kosa lolote kwa miaka mitano hili ni tukio lingine lilolomrudisha kwenye mikono ya polisi huko Las Vegas. Jana jumamosi akiwa katika […]
The post Chris Brown kwenye tuhuma nyingine za kumpiga mwanamke… appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Bongo516 Jan
Mahakama yamtandika Chris Brown nyundo nyingine, probation yasogezwa mbele
9 years ago
MillardAyo24 Dec
Nyumbani kwa Chris Brown kuna nini?!.. Nyingine ya mwanamke kuvamia nyumba yake imenifikia!
Miezi kadhaa iliyopita, Chris Brown aliziandika headlines baada ya taarifa kusambaa kuwa kuna mwanamke alivamia nyumba yake na kujikaribisha mpka ndani pamoja na kuchora kuta za nyumba za staa huyo na maandishi yaliyosema ‘I Love You Chris’… hiyo ilikuwa miezi saba iliyopita, kuna nyingine mpya inayofanana na hiyo pia! Siku ya jumanne tarehe 22 December […]
The post Nyumbani kwa Chris Brown kuna nini?!.. Nyingine ya mwanamke kuvamia nyumba yake imenifikia! appeared first on...
9 years ago
MillardAyo16 Dec
Ni mdundo baada ya mdundo… hii ni nyingine kutoka kwa Chris Brown, ‘Wrist’ feat. Solo Lucci – (Video)!
Staa wa muziki kutoka Marekani, Chris Brown anazidi kuzisogeza videos kutoka kwenye album yake ya saba, Royalty. Baada ya kusiogeza kwetu video ya Back to Sleep jana 15 December 2015, leo staa huyo anaileta kwetu mdundo mwengine kwenye video, ngoma inaitwa Wrist na hii pia inapatikana kwenye album mpya ya Chris Brown, Royalty itakayokuwa sokoni […]
The post Ni mdundo baada ya mdundo… hii ni nyingine kutoka kwa Chris Brown, ‘Wrist’ feat. Solo Lucci – (Video)! appeared first on...
10 years ago
GPL23 Aug