New Song: Chris Brown aachia single mpya inayobeba jina la album yake ‘X’
Kuelekea Septemba 16, tarehe ambayo Chris Brown anatarajia kuachia album yake mpya, Jana (August 22) ameachia single mpya inayobeba jina la album hiyo ‘X’. X imetengenezwa na producer aitwaye Diplo.
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo524 Aug
Chris Brown kuita album yake ijayo jina la mtoto wake ‘ROYALTY’
9 years ago
Bongo523 Oct
Video: Adele aachia single mpya ‘Hello’ na tracklist ya album yake ijayo ‘25’
9 years ago
Bongo515 Oct
Chris Brown atangaza tarehe ya kuachia album yake mpya ‘Royalty’
9 years ago
Bongo517 Oct
Picha: Chris Brown azidi kuonesha mapenzi kwa mwanaye ‘Royalty’ kwenye cover ya album mpya aliyoipa jina la mtoto huyo
9 years ago
Bongo506 Jan
Chris Brown ali-direct video 8 za album yake mpya ‘Royalty’, zitazame zote
![breezy](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/breezy-300x194.jpg)
Chris Brown ni muimbaji wa R&B ambaye ameshatuonesha kipaji kingine cha kuongoza utengenezaji wa video za muziki. Hua anapenda ku-direct baadhi ya video zake.
Kwenye album yake iliyopita ‘X’ ali-direct video 6 ambazo baadhi ni ‘Fine China’, ‘Love More’, ‘Loyal’, ‘New Flame’.
Kwa mujibu wa Billboard, Breezy pia ame direct video nane (8) za album yake mpya ‘Royalty’ aliyoitoa mwishoni mwa mwaka jana. Video hizo ni, ‘Liquor’, ‘Zero’, ‘Fine By Me’, ‘Back To Sleep’, ‘Wrist’, ‘Anyway’, ‘Picture...
9 years ago
Global Publishers17 Dec
Chris Brown Aachia Ngoma Mpya Nyingine – Little More
Cover ya album mpya ‘Royalty’ ya Chris Brown
BAADA ya kuachia ngoma zake mfululizo, staa wa muziki wa Pop, Chris Brown ameendeleza mfululizo wake kwa kutoa ngoma mpya ijulikanayo kama Little More ambayo itapatikana kwenye albamu yake mpya ya Royalty atakayoiachia kesho Ijumaa Desemba 18.
Ngoma zake nyingine zilizotangulia kutoka kwenye albamu hiyo ni Zero, Fine By Me, Back to Sleep, Anyway aliyomshirikisha Tayla Parxy pamoja na Wrist aliyomshirikisha Solo Lucci.
Imeandaliwa na Andrew...
9 years ago
Bongo528 Nov
Chris Brown aachia mixtape mpya ‘Before The Party’ kwa kushtukiza
![chris-brown-btp](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/chris-brown-btp-300x194.jpg)
Chris Brown amewa-surprise mashabiki wake #TeamBreezy kwa kuachia Mixtape ya kushtukiza ‘Before The Party’ siku ya Ijumaa November 27.
Mixtape hiyo imetoka wiki chache kabla hajaachia rasmi album yake mpya ‘Royalty’ itakayotoka Dec.18.
#BeforeTheParty is available now! This is for you #TeamBreezy! #BlackFriday #Royalty https://t.co/qnGLM4Lznw pic.twitter.com/RCB8XjveAw
— Chris Brown (@chrisbrown) November 27, 2015
‘Before The Party’ ina jumla ya nyimbo 34, zikiwemo collabo ambazo hazikuwahi...
9 years ago
Bongo530 Nov
Hii ndio orodha kamili ya nyimbo za album mpya ya Chris Brown ‘Royalty’
![](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/breezy-royalty-300x194.jpg)
Album mpya ya Chris Brown inatarajiwa kutoka tarehe 18 December na tayari watu wameanza kuweka pre-oder toka Ijumaa iliyopita.
Wakati watu wakisubiri kupata nakala zao za album hiyo pindi itakapotoka, kwa sasa Breezy ametoa orodha ya nyimbo 14 zitakazokuwemo kwenye album hiyo pamoja 4 za ‘delux bonus tracks’.
Hii ndio orodha kamili
1. “Back to Sleep”
2. “Fine by Me”
3. “Wrist” (Feat. Solo Lucci)
4. “Make Love”
5. “Liquor”
6. “Zero”
7. “Anyway”
8. “Picture Me Rollin’ ”
9. “Who’s Gonna...