Chris Brown kuita album yake ijayo jina la mtoto wake ‘ROYALTY’
Chris Brown (26) anajivunia kuwa baba ndio sababu amekuwa hafichi hizia zake juu ya mtoto wake wa mwaka mmoja. Kuonesha kiasi gani anampenda mtoto huyo wa kike, weekend iliyopita Breezy ametangaza jina la album yake itakayofata kuwa itaitwa jina la binti yake “Royalty”. Kwa maneno mafupi kupitia Twitter Breezy aliandika: MY NEW ALBUM WILL BE […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo517 Oct
Picha: Chris Brown azidi kuonesha mapenzi kwa mwanaye ‘Royalty’ kwenye cover ya album mpya aliyoipa jina la mtoto huyo
9 years ago
Bongo515 Oct
Chris Brown atangaza tarehe ya kuachia album yake mpya ‘Royalty’
10 years ago
Bongo523 Aug
New Song: Chris Brown aachia single mpya inayobeba jina la album yake ‘X’
9 years ago
Bongo529 Sep
Mtoto wa Chris Brown sasa ni Royalty Brown rasmi
9 years ago
MillardAyo18 Dec
Chris Brown anaisogeza hii ya mwisho akiwa na Royalty, ‘Little More (Royalty)’ – (Video)!
Chris Brown anafunga mwaka wa 2015 kwa style ya kipekee zaidi… baada ya kuachia video za nyimbo nne zinazopatikana kwenye album yake mpya Royalty, staa huyo wa muziki wa R&B anaisogeza video ya mwisho kwenye maskio na macho yetu. Official music video ya ‘Little More (Royalty)’ ipo hewani ikiwa ndio final chapter inayokamilisha stori ya […]
The post Chris Brown anaisogeza hii ya mwisho akiwa na Royalty, ‘Little More (Royalty)’ – (Video)! appeared first on...
9 years ago
Bongo526 Oct
Chris Brown na mzazi mwenzie waweka tofauti pembeni kumlea pamoja mtoto wao Royalty
9 years ago
Bongo506 Jan
Chris Brown ali-direct video 8 za album yake mpya ‘Royalty’, zitazame zote
![breezy](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/breezy-300x194.jpg)
Chris Brown ni muimbaji wa R&B ambaye ameshatuonesha kipaji kingine cha kuongoza utengenezaji wa video za muziki. Hua anapenda ku-direct baadhi ya video zake.
Kwenye album yake iliyopita ‘X’ ali-direct video 6 ambazo baadhi ni ‘Fine China’, ‘Love More’, ‘Loyal’, ‘New Flame’.
Kwa mujibu wa Billboard, Breezy pia ame direct video nane (8) za album yake mpya ‘Royalty’ aliyoitoa mwishoni mwa mwaka jana. Video hizo ni, ‘Liquor’, ‘Zero’, ‘Fine By Me’, ‘Back To Sleep’, ‘Wrist’, ‘Anyway’, ‘Picture...
9 years ago
Bongo524 Nov
Chris Brown abadili tarehe ya kuachia album yake ‘Royalty’ iliyokuwa itoke Ijumaa hii
![Breezy2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Breezy2-300x194.jpg)
Yale yaliyojitokeza kwenye album iliyopita ya Chris Brown, ‘X’ (kuahirisha tarehe ya kuachia) yameanza kujitokeza tena kwenye album yake mpya ‘Royalty’ ambayo hapo awali ilipagwa itoke Ijumaa hii November 27 lakini sasa imesogezwa mbele.
Chris Brown mwenyewe amethibitisha kuwa sasa album yake hiyo itatoka December 18 mwaka huu.
Hadi jana Nov 23. Breezy alikuwa akipromote tarehe 27 kuwa ndio angeachia ‘Royalty’, lakini taarifa za terehe mpya amezitoa kupitia mahojiano mapya aliyofanya na...
9 years ago
Bongo518 Dec
Video: Chris Brown – ‘Little More (Royalty)’
![final4](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/final4-300x194.jpg)
Chris Brown ameachia video mpya ya wimbo ‘Little More (Royalty)’ ikiwa ndio final chapter inayokamilisha album mpya ya Chris. video queen si mwingine bali mwanae mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu, Royalty! angalia hapa.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!