Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kipande cha barabara ya Mandela kufungwa leo

MKANDARASI Mkuu anayeshughulikia mradi wa mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam, Strabag International ametangaza kufungwa kwa muda kipande cha barabara ya Mandela hadi makutano ya Ubungo Mataa kuanzia leo....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Kipande cha barabara ya Mandela kufungwa kuanzia leo

Mkandarasi mkuu anaeshughulikia mradi wa mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam, Strabag International ametangaza kufungwa kwa muda kipande cha barabara ya Mandela hadi makutano ya Ubungo Mataa kuanzia leo.
Akiongea jana na waandishi wa habari, Ofisa Uhusiano wa kampuni hiyo, Bw. Yahya Mkumba alisema kipande cha barabara ya Mandela kuanzia makutano ya barabara ya morogoro upande wa kushoto uelekeo wa Tabata kuanzia ubungo mataa hadi darajani patafungwa.
Kipande hicho kitafungwa kuanzia...

 

10 years ago

Habarileo

Barabara Mandela kufungwa siku tano

KIPANDE cha Barabara ya Mandela hadi makutano ya Ubungo Mataa jijini Dar es Salaam kinafungwa kwa siku tano kuanzia leo kupisha ujenzi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Barabara ya Kawawa/Kinondoni kufungwa leo

MKANDARASI Mkuu wa Ujenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka, Strabag International GmbH, imetangaza kufungwa kwa muda kipande cha makutano ya barabara ya Kawawa na Kinondoni kuanzia leo na kesho....

 

5 years ago

Michuzi

Naibu waziri Uujenzi aagiza kipande cha barabara Njombe-Moronga kikamilishwe ifikapo mwezi Octoba Mwaka huu.

Na Amiri kilagalila,Njombe Naibu waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi  Elias kwandikwa amemuagiza mkandarasi anayejenga barabara ya Njombe kuelekea wilayani Makete kipande cha Njombe-Moronga kuhakikisha anakamilisha ujenzi  wa kipande hicho na kuhakikisha imekamilika ifikapo mwezi Oktoba mwaka huu. Agizo hilo amelitoa wakati akikagua ujenzi wa barabara hiyo katika ziara yake ya kikazi ya siku moja ambapo amesema anataka kuona ujenzi huo unakamilika ili wananchi waendelee...

 

10 years ago

Bongo5

Video: Wizkid ashare kipande cha video yake mpya ‘In My Bed’ anayotarajia kuitoa leo (Sept 22)

Baada ya Wizkid kuachia album yake mpya na ya pili, ‘AYO’ ambayo imefanikiwa kukamata nafasi ya kwanza kwenye mauzo ya mtandaoni kupitia iTunes ndani ya saa 24 toka ilipoachiwa September 17, star huyo wa Nigeria ameahidi kuachia video mpya leo (September 22) Kupitia Instagram ameshare kipande cha video hiyo ya wimbo unaoitwa ‘In My Bed’. […]

 

10 years ago

Bongo5

Video: Iyanya aonjesha kipande cha video yake mpya ‘Mr Oreo’ inayotoka leo (Sept 23), tazama BTS

Iyanya ameonjesha kipande cha video mpya ya wimbo wake ‘Mr Oreo’ aliyoshoot nchini Marekani hivi karibuni. Video hiyo anatarajia kuitoa rasmi leo.Tazama kionjo Tazama behind the scenes

 

10 years ago

GPL

MJUKUU WA MANDELA KUFUNGWA, AU KULIPA FAINI

Mandla Mandela, mjukuu wa kwanza wa aliyekuwa rais wa Afrika Kusini, Nelson Mandela. Mandla akiwa na babu yake Mzee Nelson Mandela. MANDLA MANDELA, mjukuu wa kwanza wa aliyekuwa rais wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, amehukumiwa kwenda jela au kulipa faini ya kwa kumshambulia na kumtishia kwa bastola mwalimu wa shule moja mwaka 2013. Mandla, ambaye ni mbunge wa… ...

 

11 years ago

Bongo5

Video Snippet: Nicki Minaj aonjesha kipande cha video ya wimbo wake mpya ‘Anaconda’ uliotoka rasmi leo

Nicki Minaj ameachia rasmi single yake mpya ‘Anaconda’ leo (August 4) kwenye Itunes, bada ya kuvuja mtandaoni weekend iliyopita. Kupitia Instagram Minaj (31) pia ameshare kipande kidogo cha video ya wimbo huo ambayo imefanyika Jumamosi iliyopita huko Los Angeles, Marekani. “Check out the WORLD PREMIERE video snippet of Anaconda. Now on iTunes!!! #AnacondaOniTunes Official Mastered […]

 

10 years ago

Michuzi

KIPANDE KIDOGO KILICHOBAKIA KATIKA BARABARA YA NDUNDU-SOMANGA KUKAMILIKA MWEZI HUU

Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Gerson Lwenge wapili kutoka kulia akipewa maelezo kutoka kwa Mhandisi Mkazi Agarton Mwenda kuhusu kazi zinazoendelea kwenye barabara hiyo ya Ndundu-Somanga inayotarajiwa kukamilika mwezi huu wa 11. Sehemu ya barabara ya Ndundu-Somanga ikiwa imeanza kuwekwa lami kwenye kipande hicho kilichobakia. Baadhi ya sehemu ya barabara hiyo ikiwa imeweka lami kama inavyoonekana. Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Gerson Lwenge akifanya kazi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani