Maandamano ya Chadema Arusha mjini ‘yapigwa stop’
POLISI imezuia maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), yaliyopangwa kufanyika leo jijini Arusha, kwa madai kuwa malalamiko yao yanashughulikiwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo13 Feb
Maandamano ya Vijana CUF yapigwa ‘stop’
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imepiga marufuku maandamano ya Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Wananchi (JUVICUF) kutokana na kile ilichosema yana lengo la kusababisha uvunjifu wa amani.
10 years ago
Habarileo28 Jan
Maandamano ya chama cha CUF yapigwa ‘stop’
CHAMA cha Wananchi -CUF kimeamua kuahirisha maandamano yake, yaliyopangwa kufanyika jana, ikiwa ni ishara ya kuadhimisha miaka 14 ya vifo vya wafuasi wake waliopoteza maisha Januari 27, mwaka 2001.
9 years ago
Habarileo03 Nov
Maandamano ya Chadema yapigwa marufuku
POLISI mkoani Shinyanga imezuia maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mjini hapa yaliyotarajiwa kufanyika leo.
9 years ago
Habarileo03 Nov
Jeshi la Polisi lapiga ‘stop’maandamano ya Chadema
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imepiga marufuku maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), yaliyopangwa kufanyika bila ukomo kutokana na kile kilichoelezwa kuwa ni kinyume cha sheria.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-MutXCvJoyvI/VNIzKNk7lZI/AAAAAAAHBrk/wVlaEEYxUc0/s72-c/DSC_1394.jpg)
KAMANDA KOVA APIGA ‘STOP’ MAANDAMANO YA UVCCM ILALA,MAANDAMANO YA BAVICHA YAACHWA KIPORO.
![](http://4.bp.blogspot.com/-MutXCvJoyvI/VNIzKNk7lZI/AAAAAAAHBrk/wVlaEEYxUc0/s1600/DSC_1394.jpg)
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam imezuia maandamano ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Wilaya Ilala (UVCCM) ya kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa chama hicho pamoja na kuacha kiporo maandamano ya Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha).
Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam ,Kamishina wa Jeshi la Polisi ,Suleiman Kova ,amesema kuzuia kwa maandamano...
10 years ago
Mtanzania04 May
Chadema Arusha Mjini hali si shwari
ELIYA MBONEA NA JANETH MUSHI, ARUSHA
JOTO la Uchaguzi linazidi kupanda mjini hapa, baada ya vijana takribani 1,000 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika Jimbo la Arusha Mjini, kutangaza kutomsaidia Mbunge wao Godbless Lema wakati wa kampeni.
Vijana hao wakiongozwa na aliyekuwa dereva wa kwanza wa Lema ambaye pia alikuwa mratibu wa mawakala katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010, Rashidi Shuberti, wamekutana mjini hapa na kutangaza kupambana na mbunge huyo.
Wakati kundi hilo la...
9 years ago
StarTV13 Nov
CHADEMA chazindua kampeni Arusha Mjini
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimezindua kampeni za ubunge katika jimbo la Arusha Mjini ambazo zilisitishwa baada ya kufariki kwa mgombea wa nafasi hiyo kupitia chama cha ACT Wazalendo.
Mgombea Ubunge wa CHADEMA Godbles Lema amewataka wananchi kujitokeza kushiriki mchakato huo ili kupata kiongozi atakayewaletea maendeleo jimboni hapo.
Akizungumza na wananchi waliojitokeza kusikiliza sera za chama Cha Demokrasia na mendeleo mgombea anaetetea kiti chake Godbles Lema amesema bado...
10 years ago
Mwananchi12 Feb
Maandamano ya vijana CUF yapigwa marufuku
9 years ago
StarTV04 Nov
Maandamano ya UKAWA Singida yapigwa marufuku
Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano ya kupinga matokeo ya Urais katika uchaguzi mkuu uliofanyika wiki iliyopita yaliyopangwa kufanywa mkoani Singida leo Jumanne na wanachama na wafuasi wa vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA.
Imeelezwa kuwa Maandamano hayo yanayotarajiwa kuanza saa 4:00 asubuhi na kuishia kwenye Ofisi za wakuu wa Wilaya na mkoa pia yanalenga kushinikiza kutangzwa kwa Edward Lowasa wa CHADEMA kuwa ndiye mshindi wa nafasi wa Urais suala...