Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jeshi la Polisi lapiga ‘stop’maandamano ya Chadema

POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imepiga marufuku maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), yaliyopangwa kufanyika bila ukomo kutokana na kile kilichoelezwa kuwa ni kinyume cha sheria.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Jeshi la Polisi nchini lapiga marufuku maandamano ya vyama vya Siasa nchini.

Jeshi la Polisi nchini limepiga marufuku ombi la maandamano la baadhi ya vyama vya siasa nchini baada ya uchunguzi wake kubaini kuwepo na mihemko ya kisiasa ndani ya jamii inayoweza kusababisha uvunjifu wa amani.

Kutokana na hali hiyo, jeshi hilo linasema litaendelea kushikilia msimamo wake wa awali wa kuzuia mikutano na maandamano yeyote mpaka hali itakapotengemaa.

Kauli ya Jeshi imefatia baada ya baadhi ya vyama vya siasa kuwasilisha kuwasilisha ombi la kufanya mikutano ya hadhara na...

 

10 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA LAZUIA MAANDAMANO YALIYOPANGWA NA CHADEMA

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishina Msaidizi wa Polisi (ACP) EMMANUEL G. LUKULANa Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma.Jeshi la Polisi mkoani Dodoma limetoa tamko la kuzuia maandamano ya Chama cha CHADEMA hapo tarehe 18/09/2014 na kuwataka wananchi kuyapuuza.Akiongea na waandishi wa habari, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishina Msaidizi wa Polisi EMMANUEL G. LUKULA (ACP) alisema kuwa; Kufuatia Viongozi wa CHADEMA kutaka kufanya maandamano kuelekea viwanja...

 

10 years ago

GPL

JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA LAZUIA MAANDAMANO YALIYOPANGWA NA CHADEMA

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Kamishina Msaidizi wa Polisi (ACP), Emmanuel G. Lukula. Na Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma Jeshi la Polisi mkoani Dodoma limetoa tamko la kuzuia maandamano ya Chama cha CHADEMA ya tarehe 18/09/2014 na kuwataka wananchi kuyapuuza. Akiongea na waandishi wa habari, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishina Msaidizi wa Polisi EMMANUEL G. LUKULA (ACP) alisema kuwa;...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

JESHI LA POLISI LAPIGA MARUFUKU SHUGHULI ZA KUAGA MWILI WA ALPHONSE MAWAZO

Viongozi wa Chadema wakijadiliana baada ya Jeshi la Polisi kupiga marufuku shughuli za kuaga mwili wa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita Ndugu Alphonse Mawazo, zilizokuwa zifanyike Jijini Mwanza.  Pichani baadhi ya vijana walioshiriki kuchimba kaburi la marehemu Alphonse Mawazo anayetarajia kuzikwa kijijini kwao alipozaliwa Mkoani Geita.

 

9 years ago

Habarileo

Polisi yapiga ‘stop’ maandamano ya Ukawa

POLISI mkoani hapa imepiga marufuku maandamano ya wafuasi wa vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), yaliyolenga kushinikiza aliyekuwa mgombea urais, Edward Lowassa kutangazwa kuwa ndiye mshindi halali wa kiti hicho.

 

11 years ago

Habarileo

Maandamano ya Chadema Arusha mjini ‘yapigwa stop’

POLISI imezuia maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), yaliyopangwa kufanyika leo jijini Arusha, kwa madai kuwa malalamiko yao yanashughulikiwa.

 

9 years ago

Vijimambo

JESHI LA POLISI MBEYA LAPIGA MARUFUKU KWENDA KUPIGA KURA UKIWA UMEVAA SARE ZA VYAMA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya


Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya limetoa rai kwa wafuasi wa vyama vishiriki katika uchaguzi mkuu Octoba 25 mwaka huu kujiepusha kufika katika kituo cha kupigia kura wakiwa wamevaa nguo zenye picha za wagombea, maneno au nembo ama rangi za chama cha siasa.

Aidha wametakiwa , kuepuka kutumia uvumi, maneno ya uongo, hisia au visingizio vyenye lengo la kuwazuia wengine kwenda kupiga kura.
Pia amewataka  kuepuka kufanya kampeni katika kituo cha kupigia kura iwe kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani