Polisi yapiga ‘stop’ maandamano ya Ukawa
POLISI mkoani hapa imepiga marufuku maandamano ya wafuasi wa vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), yaliyolenga kushinikiza aliyekuwa mgombea urais, Edward Lowassa kutangazwa kuwa ndiye mshindi halali wa kiti hicho.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo18 Sep
Polisi yapiga marufuku maandamano Chadema
JESHI la Polisi nchini limepiga marufuku maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyotarajiwa kuanza kufanyika leo katika maeneo mbalimbali nchini. Jeshi hilo limeonya kuwa maandamano hayo ni batili na ni kinyume cha sheria.
9 years ago
Mwananchi06 Nov
Polisi yapiga marufuku maandamano, mikutano ya kisiasa nchini
9 years ago
Habarileo03 Nov
Jeshi la Polisi lapiga ‘stop’maandamano ya Chadema
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imepiga marufuku maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), yaliyopangwa kufanyika bila ukomo kutokana na kile kilichoelezwa kuwa ni kinyume cha sheria.
10 years ago
MichuziPOLISI YAPIGA MARUFUKU MAANDAMANO YA VIJANA WA CUF,WATAKAO ANDAMANA NGUVU YA DOLA ITATUMIKA
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezuia maandamano ya Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Wananchi (JUVICUF) na kusema watakaoandamana kesho nguvu ya dola itatumika
Akizungumza na waandishi wa habari leo,Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Kamishina wa Jeshi la Polisi (CP),Suleiman Kova amesema wamewashauri vijana hao na kusema wataandamana hivyo ni lazima nguvu itumike kuzima maandamano hayo kutokana na kuzuia kufanyika kwa shughuli...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-MutXCvJoyvI/VNIzKNk7lZI/AAAAAAAHBrk/wVlaEEYxUc0/s72-c/DSC_1394.jpg)
KAMANDA KOVA APIGA ‘STOP’ MAANDAMANO YA UVCCM ILALA,MAANDAMANO YA BAVICHA YAACHWA KIPORO.
![](http://4.bp.blogspot.com/-MutXCvJoyvI/VNIzKNk7lZI/AAAAAAAHBrk/wVlaEEYxUc0/s1600/DSC_1394.jpg)
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam imezuia maandamano ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Wilaya Ilala (UVCCM) ya kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa chama hicho pamoja na kuacha kiporo maandamano ya Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha).
Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam ,Kamishina wa Jeshi la Polisi ,Suleiman Kova ,amesema kuzuia kwa maandamano...
9 years ago
Dewji Blog02 Nov
Polisi Singida yapiga marufuku maandamao ya UKAWA kupinga ushindi wa Rais mteule Dk. Magufuli
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Singida, Thobias Sedoyeka akizungumza na waandishi wa habari juu ya kupinga maandamano ya vyama vinavyounda Katiba ya Wananchi (UKAWA) kupinga matokeo ya tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kumtangaza Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
Na Hillary Shoo, SINGIDA
JESHI la polisi Mkoani Singida limepiga marufuku maandamano yanayotarajiwa kuandaliwa na kufanyika chini ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ya kupinga ushindi wa...
11 years ago
Mwananchi23 Apr
Polisi yawapiga ‘stop’ tena Ukawa Zanzibar
10 years ago
Mwananchi27 Nov
Serikali yapiga ‘stop’ uchimbaji madini
10 years ago
Mwananchi15 Feb
TBS yapiga ‘stop’ mabati ya Uni Metal