TBS yapiga ‘stop’ mabati ya Uni Metal
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limepiga marufuku usambazwaji wa mabati kutoka Kampuni ya Uni Metal East Africa Ltd baada ya kuthibitishwa kuwa hayajakidhi viwango.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo03 Nov
Polisi yapiga ‘stop’ maandamano ya Ukawa
POLISI mkoani hapa imepiga marufuku maandamano ya wafuasi wa vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), yaliyolenga kushinikiza aliyekuwa mgombea urais, Edward Lowassa kutangazwa kuwa ndiye mshindi halali wa kiti hicho.
10 years ago
Mwananchi27 Nov
Serikali yapiga ‘stop’ uchimbaji madini
Wizara ya Maliasili na Utalii, imepiga marufuku uchimbaji wa madini ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara.
10 years ago
MichuziKAMPUNI YA MABATI YA AFRICAN ALLUMIUM (ALAF), IMEZINDUA MABATI AINA YA ROYAL VERSATILE
Ofisa Mauzo wa Kampuni ya Mabati ya Alluminium Afrika (Alaf), Yahya Ngoza akizungumza na mmoja kati ya wateja waliotembelea banda hilo, wakati wa Maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF), katika Viwanja vya Mwalimu J.K Nyerere barabara ya Kilwa. Ofisa Mauzo wa Kampuni ya Mabati ya Alluminium Afrika (Alaf), Monica Reuben akitoa maelezo kwa baadhi ya watu waliofika katika banda la kampuni hiyo, wakati wa Maonyesho ya 39 ya Biashara...
10 years ago
MichuziKAMPUNI YA MABATI YA ALAF YATOA MSAADA WA MABATI KWA AJILI YA UJENZI WA MAABARA ZA SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA MBEYA
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Dk. Norman Sigallah King, akitoa shukrani kwa kampuni ya ALAF kwa kujitolea mabati kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa maabara kwa shule za sekondari za Wilaya ya Mbeya.
Meneja wa Kampuni ya ALAF Tawi la Mbeya, Greyson Mwakasege akitoa taarifa kwa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya kabla ya kumkabidhi msaada wa mabati 384 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa maabara. Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Dk. Norman Sigallah King na Meneja wa ALAF tawi la Mbeya, Greyson Mwakasege wakikabidhiana...
Meneja wa Kampuni ya ALAF Tawi la Mbeya, Greyson Mwakasege akitoa taarifa kwa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya kabla ya kumkabidhi msaada wa mabati 384 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa maabara. Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Dk. Norman Sigallah King na Meneja wa ALAF tawi la Mbeya, Greyson Mwakasege wakikabidhiana...
10 years ago
GPLAIRTEL WAZINDUA HUDUMA YA UNI WI-FI
Wakwanza kulia ni Meneja Masoko wa Airtel Tanzania Aneth Muga akiwa ameshilia bango linaloonyesha huduma mpya ya Airtel Wi-Fi intaneti maalum kwa wanavyuo iliyozinduliwa rasmi kwa mara ya kwanza Mwanza katika chuo cha St Augustine (SAUT) pamoja nae anaefuata ni raisi wa serikali ya wanafunzi Sogone Wambura, Mshauri wa wanafunzi chuoni hapo bw,Liberates Ndegeulaya na Afisa masoko wa Airtel Mwanza Bw, Emanuel Raphael
Afisa...
10 years ago
MichuziAIRTEL YAZINDUA HUDUMA YA UNI WI-FI
Wakwanza kulia ni Meneja Masoko wa Airtel Tanzania Aneth Muga akiwa ameshilia bango linaloonyesha huduma mpya ya Airtel Wi-Fi intaneti maalum kwa wanavyuo iliyozinduliwa rasmi kwa mara ya kwanza Mwanza katika chuo cha St Augustine (SAUT) pamoja nae anaefuata ni raisi wa serikali ya wanafunzi Sogone Wambura, Mshauri wa wanafunzi chuoni hapo bw,Liberates Ndegeulaya na Afisa masoko wa Airtel Mwanza Bw, Emanuel RaphaelAfisa masoko wa Airtel bw, Prospa Mwanda akitoa maelekezo ya jinsi huduma mpya...
11 years ago
BBC10 years ago
TheCitizen13 Oct
Appeal against scrap metal deals timely
I followed keenly Zanzibar President Ali Mohamed Shein’s address to the Idd ul-Hajj Baraza in Pemba last week. He decried the acts of socially irresponsible people, who engage in vandalism and sabotage at the expense of Isles’ development efforts.
11 years ago
BBCSouth Africa metal workers to strike
The National Union of Metalworkers of South Africa has said its members will down tools on 1 July, days after platinum workers returned to work after a five-month stand off.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania